Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi ndivyo CCM imetufikisha na kutuharibia nchi. Ili kuirudisha nchi kwenye misingi na kuwarudisha vijana kwenye sense of life and minds …… REFORM NI LAZIMA NDUGU ZANGU. REFORM YA...
13 Reactions
95 Replies
4K Views
WAZIRI wa KILIMO, Hussein Bashe anatajwa kuwa ni mgonjwa sana na haijulikani anaumwa nini tangu alipoonekana kwa mara ya mwisho kwenye ziara ya Rais Samia alipokuwa Tanga mwezi mmoja uliopita hadi...
9 Reactions
54 Replies
4K Views
Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha...
16 Reactions
168 Replies
12K Views
Mwaka 2013 nilikuwa namkubali sana Magufuli kwa namna alivyokuwa anasimama imara kufuata sheria kama waziri. Nilileta huu uzi kumfanyia lobbying kwenye chama Kwa timu hii ya rais na makamu wa...
35 Reactions
176 Replies
9K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Antiphas Lissu ameamua kumtangaza aliyekuwa mgombea wa nafasi ya uenyekiti katika kijiji cha Ntalamila wilayani Nkasi mkoani Rukwa...
11 Reactions
62 Replies
4K Views
Mbunge wa zamani wa Iringa Mjini na Mwenyekiti wa mstaafu wa kanda ya Nyasa Chadema, akiambatana na Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Ndugu Amos Makalla amebainisha kuwa Chama chake cha...
1 Reactions
7 Replies
523 Views
Jamani ufisadi na unyonyaji hautokaaa kuisha Tanzania. Hii kampuni ya GSM ni jipuuuuuuu. Yaani Msione hivyo wanatoa misaada ni bonge moja la jipu. Sasa bwana issue iko hivi; Hawa wenye wenye...
8 Reactions
311 Replies
48K Views
Angalia hapa chini siku ambayo utafikiwa Hakuna kijiji kitakachoachwa
11 Reactions
58 Replies
4K Views
Kijana Riz1 ni the next president in the making. Kuna kipindi alikuwa kwenye kashfa mbali mbali za Ufisadi na mambo mengine. Alikuwa hakauki kwenye midomo ya wengi dhidi ya Ufisadi. Kwa sasa...
7 Reactions
159 Replies
6K Views
Akihojiwa na Azam TV, Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kuwa wao kama wapinzani hawatapinga kila jambo litakalokuwa linafanya na Serikali ya awamu ya tano. Amesema kazi yao ni kuisimamia Serikali...
0 Reactions
93 Replies
15K Views
Kamati Kuu ya CCM (CC) iliyoketi leo hii chini ya Mwenyekiti Jakaya Kikwete imempongeza Rais Magufuli kwa mapambano aliyoyaanzisha na kumtia moyo kuwa CCM,kwa ujumla wake,iko pamoja naye...
1 Reactions
217 Replies
34K Views
HATIMAYE Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, amekamilisha kuunda safu mpya ya wajumbe wa Kamati Kuu (CC) ya chama hicho ambayo mwaka jana alishindwa kuiunda mjini Dodoma...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Rais Samia kupitia mawaziri wake wameingilia mtanziko kuhusu Derby, kikao kinaendelea chini ya gwiji wa reconciliation Profesa nguli wa sheria (MVP) , genius wa wakati wote wa kitivo cha sheria...
1 Reactions
58 Replies
2K Views
Hatimaye nimemaliza kusoma kitabu cha Erick! As a scientist, kuna CLAIM na TRUTH. Ili claim iwe truth, ni lazima iwe evidence based, that can be checked and verified by anyone beyond the...
22 Reactions
135 Replies
5K Views
Maelf ya wakazi wa mkoa wa Arusha wakiwa kwenye futari.
2 Reactions
8 Replies
643 Views
Nimejikuta niamue kuuliza tu..hivi lile jengo la abiria uwanja wa ndege Mwanza lilishaisha na kuanza kutumika? Maana updates tunazopata kwa kiwango cha dozi za kisonono ni mambo ya SGR...
9 Reactions
22 Replies
1K Views
Aliyekuwa mhalifu wa matukio ya wizi wa pikipiki mkoani Njombe ameamua kuachana na uhalifu na kumrudia Mungu baada ya kupata maono akiwa gerezani. Baada ya kuokoka, Jeshi la Polisi mkoani humo...
5 Reactions
7 Replies
731 Views
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ameitembelea Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Ushirombo (UWASSA) Wilayani Bukombe mkoa wa Geita kujionea hali ya utendaji na utoaji huduma ya Maji wa...
0 Reactions
0 Replies
255 Views
Katibu wa NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi na Mafunzo, Amos Makala, amesema Mbeya itabaki kuwa ngome ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hakuna jimbo ambalo watamwachia mtu. Amesema kata zote...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Kuna jambo linaenda kimya kimya, chama changu cha Chadema hakijajipanga nalo. Katibu Mkuu wa Chadema ndiye anasaini nyaraka za wagombea wa ubunge na Urais ili ziende Tume ya Uchaguzi. Hata...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…