Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAVICHA), Siglada Mligo, ameendelea kufichua kwa undani tukio lililompelekea kupigwa na hatimaye kulazwa hospitalini akiwa katika hali mahututi.
Kwa mujibu...
Niliachana na mambo ya Dini huu ni mwaka wa 10. Nilikuwa na amani na furaha wakati wote. Nilijawa na upendo kutetea lililo la haki na kutumia hekima na busara wakati wote.
Niligundua mapungufu...
Hakika ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni! Wakati wa awamu ya tano, nchi ilikuwa busy mno huku miradi ya maendeleo ikirindima kila pembe ya nchi, Kuanzia mradi mkubwa wa bwawa la Nyerere, Mradi...
Kwa mujjibu wa takwimu xa sensa asilimia 20 ya watanzania wanaishi mijini na asilimia 80 wanaishi vijijini
Upinzaji Tanzania unajikita mijini kwenye asilimia 20 ya watu CCM inajikita vijijini...
Professor Janabi is set to compete with other candidates in a debate for the position of Director of the WHO Africa Region on April 2.
I feel a sense of sympathy for him, as many Tanzanians are...
Roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa amani -AMINA
Leo mara baada ya kupata taarifa za kifo cha aliyewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya awamu ya nne (4) chini ya...
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mhe. Shaka Hamdu Shaka jana aliandaa Iftari maalum Nyumbani kwake ambayo Viongozi mbalimbali walialikwa katika hafla hiyo.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea...
Amos Makalla, amesema hakuna chama chochote chenye mamlaka ya kuzuia uchaguzi kwa kuwa ni takwa la katiba ya nchi.
Makalla amesema hayo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika siku ya Alhamisi...
Generation Samia imewahamasisha wakazi wa mkoa wa Kanda ya Ziwa kuchangamkia fursa ya bajeti ya asilimia 30 ya tenda za Serikali iliyotolewa makundi ya vijana, wanawake, wazee na watu wenye...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo hakina hoja ya msingi ya kuzuia Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwani kama ni mabadiliko...
Wakuu
Mbunge wa Kinondoni Mhe Tarimba Abbas amekutana na akina Mama wapatao 54 wa Kata ya Mzimuni na kuwapatia mitaji kuendeleza shughuli zao za ujasiriamali.
Pia, Soma
Kinondoni...
Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amewataka Viongozi wa Dini kusaidia Serikali katika mapambano ya dhidi ya Vitendo vya Ukatili na Mmomonyoko wa maadili,Ulinzi na amani kuelekea Uchaguzi...
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mussa Kilakala, ametoa msaada wa vyakula vya futari na Eid kwa wafungwa wa Gereza la Wanawake Kingolwira na Gereza la Mahabusu Morogoro.
Akizungumza baada ya kupokea...
Bila shaka kila Mwananchi sasa ataelewa maana ya No reforms No election na kuachana na propaganda za serikali hii ya kidhalimu ya CCM.
Tundu Lissu anatumia lugha rahisi kabisa kueleweka kwa kila...
Miradi yote inajengwa kwa fedha ya rais samia. Kila fedha ni ya Rais samia.
Tuwe na consistence, Like wise, na deni mikopo ya tanzania la liwe ni deni la Rais samia!
Lissu amesema watatumia njia mbalimbali kuzuia uchaguzi, ameeleza pia no reform no election maana yake siyo kususia uchaguzi.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ofisi za Chama nchi nzima zinapaswa kutumika kutatua changamoto za wananchi.
Wasira ameyasema hayo leo Jana...
Akiwa anapokea ripoti ya CAG na ripoti ya mwaka ya TAKUKURU siku ya leo, Rais Samia amesema kwamba pamoja na mapungufu aliyotaja CAG lakini kumekuwa na ufanisi mkubwa serikalini na kwamba...
Watawala wa Afrika wanadhani JWTZ ni Wanachama wa CCM.
Watawala wanadhani JWTZ ipo kwaajili ya kuwalinda wabaki madarakani.
Nawakumbusha tu. JWTZ ni Jeshi la wananchi wa Tanzania. Na wapiga kura...