Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amewataka wale wote wanaotaka kugombea ubunge kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuchukua fomu za...
10 Reactions
39 Replies
3K Views
TUME YA MADINI KUENDELEA KUWASAIDIA WASAMBAZAJI NA WAUZAJI BARUTI. Tume ya Madini imesema itaendelea kutoa ushirikiano na kuwasaidia wasambazaji na wauzaji wa baruti nchini ili wafanye shughuli...
0 Reactions
0 Replies
302 Views
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Kiziguzigu Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma Mwl. Martin Runaku Mpemba, amefariki usiku wa Aprili 3 katika Kijiji cha Kibingo Kata ya Kiziguzigu, baada ya kushambuliwa na...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Kwanza ni matapeli Mtu Kama yeriko na mrema ni watu wa kukisemea chama kweli kweli? Wahuni,!! Futa uwanachama wao haraka kabla hawajapokea pesa yao chafu Kuna tetesi wamevuta pesa nyingine Kama...
5 Reactions
10 Replies
776 Views
Ukinunua dai Risiti, Ukiuza toa Risiti. Mhe Mjumbe habari, Kwanza, natumia jukwaa hili kukupongeza wewe binafsi pamoja na wenzako wote kwa kuaminiwa na kuchaguliwa na Mhe Rais Dkt...
27 Reactions
86 Replies
4K Views
Kama unataka kuogombea kagombee sio kuweka uchawa wa kupika data za uongo mfano kusema uchumi umekuwa kwa 20% ni uongo. Wewe sio gavana wa bank kuu waache watupe data za ukweli badala ya...
10 Reactions
12 Replies
764 Views
UJUMBE: CCM chukueni hii miaka mitatu ya bure Kwakuwa nyie sio Mungu hamuwezi jua yatakayotokea kwenye Uchaguzi kama mtalazimisha kuingia kwa lazima. !!!!!! Chama kikuu cha Upinzani nchini...
11 Reactions
82 Replies
4K Views
Ataangua anguko kubwa kuliko hata walivyomuhujumu Magufuli What goes around comes around Atakataliwa kila upande na atapingwa na kila mtu Kila aina ya kashifa itafukuliwa Kuanzia Kizimkazi...
4 Reactions
4 Replies
599 Views
Mbombo ngafu, Lissu na Heche wakalia kiti moto, wapingwa nchi nzima.
0 Reactions
1 Replies
325 Views
Hili ni swali ambalo najiuliza. Kama 4R ni falsafa ya Raisi, kwanini chama chake kinapinga Reforms zinazopendekezwa na wapinzani? Badala ya kuchangamsha bongo zao namna ya kuyachukua mapendekezo...
9 Reactions
16 Replies
840 Views
Ni muhimu kuhitimisha kwa kusema tu kwamba, Tundu Antipas Lisu Chadema imemshinda ndani ya kipindi kifupi tu, na kabisa kuna ishara zote kwamba muungwana hatakua na jipya tena ndani ya Chadema...
1 Reactions
8 Replies
614 Views
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameweka video hii na kuambatanisha na ujumbe huu...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
" Miaka kumi na mbili iliyopita Lindi hii na Mtwara waliambiwa mnaletewa utajiri wa gesi, Miaka kumi na mbili iliyopita walichukuliwa Masheikh hapa, Viongozi wa dini na Maaskofu, wakati ule mimi...
0 Reactions
0 Replies
288 Views
Kuna watu wanajiuliza kwanini CHADEMA wanataka kuzuia uchaguzi wakati hawataki kushiriki huo uchaguzi? Wanajiuliza: Kwanini wasikae pembeni tu wakawaacha wafanye huo uchaguzi? Jibu:Kitendo tu...
2 Reactions
3 Replies
406 Views
https://www.instagram.com/reel/DIBH73iuz8Y/?igsh=bHV3ZXhqMDU5czRx Gerald Hando ametafsiri maneno ya Lissu kuwa no reform no election ilikuwa ni chambo ya kuongezewa dau kama matusi kwa Freeman...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari JF, Pamoja na kelele nyingi dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka, Wapinzani wakidai uchumi wa Tanzania unadorola.! Taarifa hii ya IMF naamini itakuwa si njema sana...
54 Reactions
343 Replies
18K Views
Toka ameshindwa uchaguzi ameamua kukaa mbali na chama hataki hata kuhudhuria vikao vya chama.
6 Reactions
55 Replies
2K Views
=== Akihojiwa na kituo cha runinga cha Clouds Media Group Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPP -Centre David Zacharia Kafulila alikuwa na haya ya kusema ;- "Tafiti...
27 Reactions
133 Replies
5K Views
Mpasuko Mkubwa CHADEMA: Wagombea Wapinga Kauli za Viongozi Wakuu, Wapinga Mpango wa Kususia Uchaguzi Katika kile kinachoweza kufasiriwa kama dalili za kuporomoka kwa umoja na mshikamano ndani ya...
1 Reactions
12 Replies
942 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Neema ya No Reform No Election, Ambayo kwa sasa ndio Habari Kuu Nchini Tanzania, Imefika kwenye Mji wa Kihistoria Kilwa Kivinje na Kupokelewa kwa Shangwe...
9 Reactions
26 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…