Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tume Huru ya Uchaguzi ni vema ikatenda HAKI kwa asilimia mia moja. Iachane na makosa madogo madogo/ pingamizi kwa mfano. (1) Mtu kukosea herufi ya jina lake au chochote kilichoandikwa kwenye...
3 Reactions
15 Replies
703 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mlezi wa CCM kwa Mikoa ya Kusini na Kaskazini Unguja...
1 Reactions
3 Replies
548 Views
Mimi nilijiandaa na nimejiandaa kugombea urais kupitia CCM 2025 kwa kuwa uwezo ninao na nimekidhi vigezo vya kuwa mgombea halali kupitia CCM ! Nashangaa Leo mkutano unaadhimia tu bila kuuliza ni...
17 Reactions
61 Replies
4K Views
Balozi wa mazingira na mhamasishaji ndugu Michael Msechu amewatembelea wavuvi na mabaharia katika bandari ya Pangani ambapo Rais Samia anatarajiwa kukabidhi boti 80 kwa vijana moja ya kumbukumbu...
0 Reactions
0 Replies
161 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru kutolewa kwa amri ya Mwanasiasa Mkongwe, Dkt. Wibroad Slaa (76) kufikishwa mahakamani ifikapo Machi 4, mwaka huu ili uweze kutolewa uamuzi wa kesi hiyo...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
"Nitoe wito kwa OCD Misungwi, nitoe wito kwa RPC Mwanza, nitoe wito kwa Waziri wa mambo ya ndani, na nitoe wito kwa anayefanya kazi ya kuteua hao wote, Amiri jeshi mkuu ambaye ni Rais wa Jamhuri...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga, Husna Sekiboko amewataka Wanakilindi na Wanatanga kwa ujumla kujitokeza kwa wingi kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan...
1 Reactions
4 Replies
668 Views
HAwa jamaa kumbe huwa wanajua hawashindagi kwa haki bhana eti wanadai mwaka huu watashinda kwa haki. Haki gani sijui wananzungumzia ==== MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi...
1 Reactions
2 Replies
516 Views
"Yeyote mwenye akili na macho ya kuona anajua kuwa chaguzi za nchi hii zimekuwa za hovyo sana na ni za hovyo kwa sababu mfumo mzima wa kiutawala wa nchi hii ni mfumo wa hovyo" - Tundu lissu...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Ngara Ndaisaba George Ruhoro pamoja na uongozi wa CCM Wilaya na kata pamoja na MH.BURINDORI diwani wa Kibogora wameshiriki zoezi la kuwashwa Kwa Mnara katika Kijiji Cha...
2 Reactions
5 Replies
640 Views
Tayari Chama cha Mapinduzi CCM Kwenye Mkutano wake Mkuu Kimempitisha MH Samia Kuwa Mgombea Urais na Dr Nchimbi Kuwa Mgombea Mwenza,Kule Visiwani Zanzibar Dr Hussein Mwinyi Rai Yangu Kwa Chama...
0 Reactions
0 Replies
351 Views
Katika kile kinachoonekana kuendelea kwa mivutano ya makundi ndani ya Chadema, kada mmoja wa chama hicho, amepinga uteuzi wa viongozi watendaji wa juu wa sekretarieti na wajumbe wa kamati kuu ya...
5 Reactions
83 Replies
7K Views
Ameandika Hilda Newton "Tulienda kwenye Uchaguzi wenzetu walikuwa na msemo wao unasema ‘UKIPIGWA HAKUNA KUHAMA CHAMA’ wakiamini kwamba Mhe. Lissu na Heche watapigwa na wakipigwa hawatabaki ndani...
9 Reactions
45 Replies
2K Views
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma Halima White Zuberi amesema uchaguzi mkuu wa mwaka huu mamlaka yapo kwa wananchi kwakuwa watachagua viongozi bora wanaowataka...
0 Reactions
1 Replies
318 Views
HISTORIA YA MKOA WA KILIMANJARO Mkoa wa Kilimanjaro ulianzishwa rasmi mwaka 1963 kwa Tangazo la serikali Na.450 la mwaka huo ukiwa na wilaya za Kilimanjaro na Pare. Kabla ya Uhuru Mkoa wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA (BAVICHA) Kanda ya Victoria limelaani na kukemea matukio ya watu kutekwa yanayoendelea kujitokeza nchini. Akitoa kauli hiyo, tarehe...
0 Reactions
0 Replies
346 Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameonya vikali Wanachama wanaotafuta uteuzi wa udiwani na uwakilishi ambapo Balozi Nchimbi alisema baadhi ya Wanachama...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Wakuu, CCM ndio mko deparate kiasi hiki?:BearLaugh::BearLaugh: Nguvu kubwa sana inatumika kumpaisha 'mama' lakini watanzania wamegoma kutoa kiki:BearLaugh::KEKWlaugh::pepeLaughers: Barabara...
30 Reactions
112 Replies
6K Views
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Dar es salaam Edward Mpogoloe amesema kampeni ya ‘Hala Bi Mkubwa” iliyoanzishwa na Mtangazaji Barton Mwemba maarufu Mwijaku itasaidia kunadi kazi nzuri zilizofanywa chini...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu Mmesikia majibu ya Semaji la Serikali Msigwa? Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amemjibu kuhusu hpla za 'Goli la Mama' kwa timu za mpira wa miguu za Simba na Yanga ambazo hutolewa...
6 Reactions
82 Replies
3K Views
Back
Top Bottom