Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, CHADEMA kupitia Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara, Amani Golugwa wamegusia kuhusu zoezi la kujiandikisha na kuboresha taarifa kwenye daftari la mpiga kura ambapo wanasema waliletewa barua...
0 Reactions
0 Replies
353 Views
Wakuu, TAARIFA KWA UMMA Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, imefanya kikao chake maalum jana tarehe 10 Machi, 2025 jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
3 Reactions
76 Replies
8K Views
Waziri Kombo alipowasilisha Ujumbe Maalum wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mhe. Dkt. Emerson Mnangagwa, Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe
1 Reactions
6 Replies
589 Views
Hii kaulimbiu imekaa kipigaji sana. Haitatufikisha popote kama Taifa. Zaidi zaidi, tutarajie wachache walioko madarakani kutajirika wao pamoja na washirika wao ilhali wengi wa raia wakiishia...
4 Reactions
11 Replies
529 Views
Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo, ameongoza kwa mfano kwa kuwa miongoni mwa watu wa kwanza kuhakiki taarifa zake katika...
0 Reactions
0 Replies
377 Views
Wakuu Kwahiyo kazi ya Mwenge wa Uhuru ni nini sasa? == Mwenyekiti wa "Kalamu ya Samia Inaongea" Ahmed Kombo amewajuza Watanzania ya kwamba kila mkoa uwe tayari kuipokea Kalamu ya Rais wa...
-1 Reactions
3 Replies
329 Views
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amesema kuwa Mwekezaji hatakiwi kuchoma mahindi mtaani, ni kazi za wazawa "Mtu anakuja kwa lengo la uwekezaji lakini sio sifa ile ya uwekezaji...
3 Reactions
12 Replies
997 Views
Wakuu tune Clouds FM radio Ili mpate kumsikiliza SELEMAN JAFO na hoja zake dhaifu kuhusu wachina
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Kila kukicha shillingi ya Tanzania inazidi kuporomoka huku tuna Waziri wa Fedha mahiri, tuna Gavana wa Benki mahiri na wachumi mahiri. Leo fedha ya Tanzania inabadilishwa kwa Tshs. 2,675 kwa...
11 Reactions
42 Replies
2K Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi, amesema wakati wa uzinduzi wa Sera ya Ardhi ya mwaka 1995, toleo la 2023, jijini Dodoma katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya...
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Salaam Wakuu wa Mikoa na Wilaya ndio Wenyeviti wa Kamati za Ulinzi na Usalama. Ila kila siku naona wanahudhuria Vikao na Mikutano ya Kisiasa ya Chama cha Mapinduzi lakini si vyama vya Upinzani...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Hakika Tanzania,Afrika na Dunia haitoacha kukumbuka mazuri yako. Leo hii Marekani inapiga vita dhidi ya ushoga,vita visivyo na tija,NGO s uchwara zinazoneemesha wachache kwa kisingizio cha huduma...
41 Reactions
127 Replies
4K Views
Wasalaam Huu ndio ukweli mchungu.
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Wakuu, Ukienda kujiendikisha unatumia muda mrefu unnecessary, wakati zoezi linaweza kwenda fasta fasta. Mchakato unakwama sana unapotoa taarifa zako, unakuta mtu yuko slowwww, unatumia saa nzima...
0 Reactions
0 Replies
219 Views
Vijana tunapiga kelele mishipa inatusimama kuhusu kauli ya Waziri Mkuu kwa waliomaliza degree kwenda VETA. Ni dharau ndio, Anko Maja amezingua? Ndio, pakubwa sana. Sasa tunaingia kwenye propaganda...
4 Reactions
20 Replies
967 Views
Kupiga kura ni haki ya kikatiba hakuna chama kinachoweza mzuia mtu asipige kura uchaguzi ukiitishwa Vitisho vya kusema kuna mtu au kikundi au chama kitazuia watu wanaotaka kupiga kura wasipige...
1 Reactions
6 Replies
390 Views
Naomba na sisi walemavu tujumuishwe kwenye Ubunge wa viti maalumu. CCM chama changu naomba mtuangalie na sisi tupate nafasi serikalini
1 Reactions
6 Replies
336 Views
Mkutano kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Msajili wa Vyama vya Siasa unatarajiwa kuwa na matokeo muhimu katika mchakato wa kisiasa nchini Tanzania. Msajili wa Vyama vya Siasa...
0 Reactions
5 Replies
735 Views
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Morogoro, wameandaa Kongamano kubwa litakalokuwatanisha Vijana kutoka ndani na nje ya Mkoa wa Morogoro litakalofanyika leo. Soma...
0 Reactions
3 Replies
561 Views
Mchungaji wa Kanisa la Tanga Pentecostal Asemblies of God (TPAG) la jijini Tanga, Jeremiah Kihali, ametia neno kuhusu Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Akiongea baada ya ibada ya Jumapili...
0 Reactions
0 Replies
369 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…