koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
601
1,138
Kila kukicha shillingi ya Tanzania inazidi kuporomoka huku tuna Waziri wa Fedha mahiri, tuna Gavana wa Benki mahiri na wachumi mahiri. Leo fedha ya Tanzania inabadilishwa kwa Tshs. 2,675 kwa dollar moja kutoka Tshs.2,300 miezi michache iliyopita.

Siku za karibuni fedha ya Tanzani ilikuwa inabadilishwa kwa 1 ke(Kenya) = Tshs.16 na leo hii 1 ke(Kenya) = Tshs. 20.26. Ninajiuliza kama nchi tunaelekea wapi?

Ni vema Mhe. Rais akaliona hili na kuwabadili Mhe. Waziri wa Fedha na Gavana wa Benki na kuwapangia majukumu mengine.

====

Pia soma: Kushuka kwa thamani ya shilingi, zigo lililomshinda Mwigulu kulielezea kiuchumi
 
Kila kukicha shillingi ya Tanzania inazidi kuporomoka huku tuna Waziri wa Fedha mahiri, tuna Gavana wa Benki mahiri na wachumi mahiri. Leo fedha ya Tanzania inabadilishwa kwa Tshs. 2,675 kwa dollar moja kutoka Tshs.2,300 miezi michache iliyopita. Siku za karibuni fedha ya Tanzani ilikuwa inabadilishwa kwa 1 ke(Kenya) = Tshs.16 na leo hii 1 ke(Kenya) = Tshs. 20.26. Ninajiuliza kama nchi tunaelekea wapi?. Ni vema Mhe. Rais akaliona hili na kuwabadili Mhe. Waziri wa Fedha na Gavana wa Benki na kuwapangia majukumu mengine.
👏👏👏
 
Shilingi ya Uganda vs Dola ni 3,800 na maisha yanaenda safi kabisa,2,675 ni nini?

View: https://twitter.com/UchumiForum/status/1801573821041848825?t=Ig7OOZ-Bs8hsG76ZG-RUHA&s=19
 
Kila kukicha shillingi ya Tanzania inazidi kuporomoka huku tuna Waziri wa Fedha mahiri, tuna Gavana wa Benki mahiri na wachumi mahiri. Leo fedha ya Tanzania inabadilishwa kwa Tshs. 2,675 kwa dollar moja kutoka Tshs.2,300 miezi michache iliyopita. Siku za karibuni fedha ya Tanzani ilikuwa inabadilishwa kwa 1 ke(Kenya) = Tshs.16 na leo hii 1 ke(Kenya) = Tshs. 20.26. Ninajiuliza kama nchi tunaelekea wapi?. Ni vema Mhe. Rais akaliona hili na kuwabadili Mhe. Waziri wa Fedha na Gavana wa Benki na kuwapangia majukumu mengine.
Uchumi wa bwana rameck maderu alosomea chuo cha nyerere pale kigamboni
 
Kila kukicha shillingi ya Tanzania inazidi kuporomoka huku tuna Waziri wa Fedha mahiri, tuna Gavana wa Benki mahiri na wachumi mahiri. Leo fedha ya Tanzania inabadilishwa kwa Tshs. 2,675 kwa dollar moja kutoka Tshs.2,300 miezi michache iliyopita. Siku za karibuni fedha ya Tanzani ilikuwa inabadilishwa kwa 1 ke(Kenya) = Tshs.16 na leo hii 1 ke(Kenya) = Tshs. 20.26. Ninajiuliza kama nchi tunaelekea wapi?. Ni vema Mhe. Rais akaliona hili na kuwabadili Mhe. Waziri wa Fedha na Gavana wa Benki na kuwapangia majukumu mengine.
ngoja nikupe mbinu moja ya kijeshi alafu next time usijichoshe kuwaza haya mambo
_muda mwingine wanashusha wenyewe serikali ili wakope madollars huko nje wakija kuyacovert huku wanakuwa na pesa nyingiiii zaidi. ambapo athari za kupanda kwa dollor dhidi ya tsh. inakuwa ni ndogo kiunchumi kuliko mpunga ulioingia nchini.
 
Uzuri ni kwamba Haina maana yeyote kiuchumi.

Fedha ya Uturuki vs Dola Imeshuka thamani Kwa zaidi ya asilia.90% lakini maisha yanasonga Wala hakuna shida.

Kushuka Kwa thamani hakujawahi mzuia maendeleo kama hivi 👇👇

View: https://twitter.com/Sisimizi3/status/1802275646267117942?t=_7npAw2VGglkYu9ul-pMzQ&s=19

Unatolea mifano nchi ambazo currency iko chini halaf unaita “maisha yanaenda” , kwa hiyo just because maisha yanaenda huko na sisi huku tu relax , accept failure just because maisha yanaenda?
Tusichukue hatua yoyote because maisha yanaenda?
 
Huyo ndie mfano wa chawa wasio na akili yoyote kichwani.
 
Back
Top Bottom