Saa Tisa alasiri kutakuwa na hardtalk mahojiano ya moja kwa moja kati ya Tido Mhando na Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally kupitia Azam TV.
=======
BASHIRU: Ajenda kubwa(Mkutano wa CCM Dodoma)...
Mkurugenzi wa Uchaguzi CHADEMA(kulia), akimkabidhi Fomu ya Kuomba Uteuzi Kugombea Nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Wakala wa Mhe. Tundu Lissu, David Jumbe, leo Jumamosi 04/07/2020, Makao Makuu ya...
Kila awamu ilifanya mema na mabaya. Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa katika awamu yake yako mema amefanya na yako mabaya amefanya pia. Akashauri kuwa unachukua mema unayandeleza mabaya...
Ninajiuliza ni sheria zipi zinazosimamia na kuzuia matusi wakati wa Uchaguzi ujao wa Udiwani, Ubunge au Urais hapo Oktoba 2020. Tafsiri ya tusi/matusi ni nini? Je,hawa watakaotuhumiwa kuwa...
Wakati umoja wa vya vyama vya upinzani (UKAWA) vikiwa katika mchakato wa kutafuta mgombea watakaemuunga mkono wote kwa pamoja ili awawakilishe katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, ghafla palizuka agenda...
" Mimi nimezaliwa Kisarawe lakini Ilala pia ni nyumbani kwa baba yangu, nimeamua kugombea hapa Ilala kwa sababu ninaijua vizuri, nimeona nisimpe presha mdogo wangu Selemani Jafo, na kusema kweli...
Ukweli ndio huu anasisitiza huyu mzee. Anasema kura inazoenda kupata Ccm zaidi ya 95% ni zawadi kwa JPM na chama cha mapinduzi.
Mfano tu kodi ilikuwa inakusanywa kwa wastani wa bil 800 lakini kwa...
Wakuu Wasalaam!
Natumai mnaendelea vyema na Ujenzi wa Taifa letu tukufu. Leo napenda kuwajulisha rasmi azma yangu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Same Magharibi kwa tiketi ya Chama Changu cha...
Wakili Gaspar Mwanalyela amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea Urais kupitia Chadema ambapo moja ya vipaumbele vyake amesema atafumua mfumo wa elimu nchini na kusuka upya sambamba na kuahidi...
Lazaro Nyalandu yuko live Clouds tv akiweka wazi mipango yake endapo atachaguliwa kuwa Rais wa JMT.
Maendeleo hayana vyama!
=======
Nyalandu: Mbowe ni mtu ambae amestahimili, amepambana na...
Kamati ya siasa ya halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Iringa imepiga marufuku watia nia wa nafasi za ubunge na udiwani kuweka vipeperushi na mabango mitaani na mitandaoni.
Hatua hii inalenga...
Mkutano Mkuu wa CCM unakutana hivi karibuni kumchagua mwana CCM wa kupeperusha bendera ya chama kwenye nafasi ya Urais wa Jamhuri wa Tanzania,msifanye makosa turudishieni JPM Ili akamilishe kazi...
Benard Membe ameweka wazi kuwa ikiwa vyama vya upinzani vitaungana na kumkubalia agombee ,basi yuko tayari kupeperusha bendera.
Hili litakua kosa kubwa, usaliti wa hali ya juu na dhambi isiyo...
WISTON MOGHA AJITOSA KWENYE UBUNGE KIGOMA MJINI (Kigoma Tuitakayo)
Na Mwandishi wetu
Ally Mahmoud
Wiston Mogha amesema ameamua kugombea nafasi hiyo ya Ubunge baada ya kugundua kero nyingi katika...
Yule mbunge pekee anayewakilisha wanyama na binadamu, ambaye pia amesimikwa kuwa msemaji rasmi wa Mkoa wa Morogoro, Joseph Haule amechukua tena fomu ya kuomba ridhaa hiyo.
Ninakusudia kuchukua fomu ya Kugombea Ubunge. Safari hii ni Kupitia Chama Cha Mapinduzi.
Kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa Mgombea wa CCM Jimbo la Buyungu itawasaidia Wana CCM wa...
Bilionea wa Chadema Nabii na mtume Daniel Daniel Shilla ametakiwa kuripoti kituo kikuu cha polisi wilayani Ifakara leo asubuhi.
Shilla ametia nia ya ubunge jimbo la Kilombero na jana alichukua...
Mhe. Sabreena Sungura Atia Nia Kugombea Ubunge Jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala Mkoani Dar es Salaam Kupitia Chama Cha Wananchi CUF.
Sabreena Sungura Mwanamama Jasiri Na Mpambanaji...
Serikali ya awamu ya tano chini ya Dr John Magufuli wakati ikipambana kuhakikisha nchi inakua kiuchumi kuna baadhi ya viongozi wa ovyo wao akili zao wanawazia nafasi za uongozi wao. Ni tarehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.