Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23...
Tume ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake tarehe 23 mwezi huu (Alhamisi) kwa Rais Samia Suluhu.
Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Othman...
Jaji Chande akielezea kuhusu vichocheo vya matukio ya Oktoba 29, 2025 amesema kuwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia changamoto za wananchi zilizotokana na vyanzo mbalimbali kama fursa...
Kazi ya uchunguzi ilihusisha maeneo 202 yaliyoathirika zaidi katika wilaya 21 na mikoa 11, tume pia ilitembea Zanzibar na Kilimanjaro kama sampuli ya maeneo ambayo hayakuwa na ghasia ili kujifunza...
Jaji Chande anasema kuwa kuna vyama vya siasa vichache, wanaharakati, wanasiasa na viongozi wa NGo wachache walioalikwa kufika mbele ya tume lakini hawakufa hivyo
Katika kipindi hiki nyeti cha kihistoria, macho na masikio ya Watanzania yameelekezwa kwenye Ripoti ya Jaji Chande.
Hii si nyaraka ya kisiasa kwa ajili ya wanasiasa pekee, bali ni hati muhimu...
Guys guys
Kweli waliosema hii tume ni sawa na mwanaume ajichunguze mwenyewe kama ana mchepuko imedhihirika wazi wazi kabisa.
Hii tume inatarajia kutuletea madhara tu wala si kusema nani...
Kesho Aprili 23 Inayojiita Tume ya uchunguzi wa Matukio ya uvunji wa amani na vurugu yalitokea Oktoba 29 inayoongozwa na Jaji Chande itatoa ripoti yake.
Watanzania wengi wameikataa tume hiyo...
Mamlaka ya Uteuzi imeridhia maombi ya muda wa ziada kwa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 hivyo imeiongezea tena muda wa siku ishirini...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amewasilisha orodha ya mambo saba muhimu anayoyachukulia kama msingi wa mustakabali wa demokrasia na utawala wa sheria...
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi kuhusu nafasi ya Chadema katika maandamano yaliyoacha athari mbaya kwa jamii. Kinachonitatiza ni kauli zinazoeleza kuwa chama hicho au viongozi wake...
Wakuu,
Haki nacheka kama mazuri:BearLaugh::BearLaugh::KEKWlaugh:, mara hii mmeshasahau yote yaliyotokea? Aaah bana mbona mnataka kutupa mpira mapema hivi?
Sasa hivi mtakuwa mnalia na kusaga meno...
Mimi ni Chadema pure kabisa, katika watu top 5 waliohamasisha MO29, hapa jamii forum na Mimi nimo.
Nimekaa nkatafakari je tutasongaje bila kukaa meza moja?? je tukisusia maridhiano ajenda zetu...
Ibrahim Lipumba ataka Serikali ya Mpito kusimamia Maridhiano na Katiba Mpya. Aikataa tume ya Chande.
Lipumba amesema Tume ya Chande ilienda kufanya kazi ambayo majibu yashatoka.
Amesema Mama...
Chama cha NLD Doyo Hassan Doyo amesema ana matumaini makubwa na Tume ya Jaji Chande inayochunguza Matukio ya Vurugu wakati na NA baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
CHUNGUZ Imani na...
Katika mahojiano yake na Wasafi FM, John Heche alitoa mtazamo wake kuhusu hali ya kisiasa, kuhama vyama, na msimamo wa Chadema kwa waliohama CHADEMA na kwenda Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)...
Mahakama ya Rufaa inatarajiwa kusoma uamuzi wa kesi ya Saidi Issa Mohamed dhidi ya CHADEMA leo Aprili 15, 2026. Chama kimesema kimepokea taarifa hiyo kutoka mahakamani na kuahidi kuujulisha umma...
Mchambuzi wa masuala ya siasa na diplomasia, Dennis Muchunguzi, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Aprili 13, 2026, amesema si sahihi kuanza kutoa hukumu au kuzusha...
Serikali imetoa ufafanuzi kwa umma kufuatia taarifa iliyoelezwa kuwa potofu iliyotolewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kuhusu uteuzi wa Mbunge uliofanywa na Rais Samia Aprili 2...
Wakuu,
Nilivoona hii habari nikakumbuka sauti ya Mange Kimambi 'issue iko deep' 😂 😂 😂 😂 😂
---------------
Wananchi wamempongeza Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wake wa kuunda tume maalum ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.