Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa Chama cha AdaTadea na Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania, Juma Ali Khatib. WADAU wa siasa wakiwemo viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani wameipongeza Serikali ya...
1 Reactions
8 Replies
584 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imefurahishwa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) ambao umechochea uboreshaji wa huduma katika bandari mbalimbali hapa nchini...
0 Reactions
0 Replies
342 Views
Leo, tarehe 19 Machi 2025, Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Wilaya ya Nachingwea umefanyika katika ukumbi wa TTC Nachingwea, Mkuu wa Wilaya Mheshimiwa Mohamed Hassan Moyo, aliongoza...
0 Reactions
1 Replies
346 Views
Wakuu Walimu wenye Kero mbalimbali wamejitokeza kwenye Kliniki ya Walimu na Samia Mkoani Morogoro kusikilizwa na Kikosi kazi cha Kliniki hiyo ili kutatua Kero zao Soma: Kliniki Ya Walimu Na...
1 Reactions
6 Replies
576 Views
Nawaza sana Nawaza sana nawaza nasipati majibu. Nani alimtonya Mh Mpango abwage manyanga na akamsikia mapema nakung'atuka? Alafu akakosekana Mzee wakukishauri kiti badala yake akasogeza kiti...
9 Reactions
23 Replies
2K Views
Ninayo furaha kubwa kuwataarifu kwamba, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi imefanikiwa kushinda Tuzo Mbili zinazotolewa na EWURA kwa mwaka 2023/24 1. Tumeshinda tuzo ya Mamlaka...
0 Reactions
0 Replies
306 Views
Kuficha jambo ambalo unalipenda ni ngumu sana, nafsi hauwezi kuipinga juu jambo fulani. Ukimwangalia Peter Msigwa kwa jicho la tatu bado CHADEMA anaipenda sana, ingawaje yupo CCM, unaweza kuona...
8 Reactions
46 Replies
2K Views
Wakuu, CHADEMA kupitia Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara, Amani Golugwa watoa ratiba ya mikutano ambayo wanatarajia kufanya kuanzia Machi 23, ambapo Machi 23: Pamoja na mambo mengine, kwenye...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Tunamtaka Rais Mwinyi, kuunda Tume huru kuchunguza matukio ya Mauwaji ya Raia) ACT Wazalendo tunalaani vikali tukio la mauaji ya kinyama dhidi ya Ndugu Juma Ame Ngwali, mwenye umri wa miaka 58...
0 Reactions
1 Replies
721 Views
Baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Tabora wametoa maoni mseto juu ya msimamo wa chama kikuu cha upinzani nchini Chadema wa kudai watazuia uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika...
0 Reactions
0 Replies
325 Views
Wakuu, Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara, Amani Golugwa amesema watu wa CCM wamegeuka kuwa wasemaji wao, lakini wao msemaji wao ni mmoja tu, Brenda. Anasema ukiwasikiliza wasemaji wa CCM kama...
4 Reactions
4 Replies
574 Views
Nimefika kituo cha kujiandikishia wapiga kura cha Tegeta 'A' inasikitisha sana kwani mashine iliyopo ni moja tu na watu waliopo na wanaoendelea kuja ni wengi sana kiasi cha kushindwa kukidhi...
2 Reactions
15 Replies
616 Views
Wakuu, CHADEMA kupitia Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara, Amani Golugwa wamegusia kuhusu zoezi la kujiandikisha na kuboresha taarifa kwenye daftari la mpiga kura ambapo wanasema waliletewa barua...
0 Reactions
0 Replies
353 Views
Wakuu, TAARIFA KWA UMMA Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, imefanya kikao chake maalum jana tarehe 10 Machi, 2025 jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
3 Reactions
76 Replies
8K Views
Waziri Kombo alipowasilisha Ujumbe Maalum wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mhe. Dkt. Emerson Mnangagwa, Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe
1 Reactions
6 Replies
587 Views
Hii kaulimbiu imekaa kipigaji sana. Haitatufikisha popote kama Taifa. Zaidi zaidi, tutarajie wachache walioko madarakani kutajirika wao pamoja na washirika wao ilhali wengi wa raia wakiishia...
4 Reactions
11 Replies
528 Views
Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo, ameongoza kwa mfano kwa kuwa miongoni mwa watu wa kwanza kuhakiki taarifa zake katika...
0 Reactions
0 Replies
376 Views
Wakuu Kwahiyo kazi ya Mwenge wa Uhuru ni nini sasa? == Mwenyekiti wa "Kalamu ya Samia Inaongea" Ahmed Kombo amewajuza Watanzania ya kwamba kila mkoa uwe tayari kuipokea Kalamu ya Rais wa...
-1 Reactions
3 Replies
329 Views
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amesema kuwa Mwekezaji hatakiwi kuchoma mahindi mtaani, ni kazi za wazawa "Mtu anakuja kwa lengo la uwekezaji lakini sio sifa ile ya uwekezaji...
3 Reactions
12 Replies
997 Views
Wakuu tune Clouds FM radio Ili mpate kumsikiliza SELEMAN JAFO na hoja zake dhaifu kuhusu wachina
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…