Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

TAARIFA KWA UMMA Kamati Kuu ya Chadema iliyokutana katika kikao chake maalum cha siku mbili kuanzia juzi tarehe 11 mpaka 12 Machi 2025 ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu...
24 Reactions
94 Replies
6K Views
Tanzania Chini ya Uongozi wa Serikali ya CCM itaendelea kupiga MatchTime. Yaani kwenda mbele na nyuma huku hali za wanyonge zikiendelea kudidimia siku hadi siku. Inasikitisha sana kuona viongozi...
3 Reactions
53 Replies
2K Views
Demokrasia ndani ya chama imesiginwa!!! Ndio kauli ya wanachama mashinani wakilalamika kwamba chama kimetoa maamuI mazito bila kuwashirikisha wala kupata ridhaa yao. Wanachama hao wanasema...
2 Reactions
75 Replies
2K Views
Tozo ya huduma ( service Levy) inatozwa kwa mjibu wa Sheria ya fedha namba 9 ya 1982 kifungu cha 6 (1)(U). (u) all monies derived from the service levy payable by corporate entities at the rate...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
1. Mtangazaji nguli na mume wa Mbunge Hanjeh ameonyesha Nia ya kulitwaa Jimbo la KAWE. 2. Kinachosubiriwa kwa sasa ni vikao vya maamuzi vya chama na mafao toka mjengon
4 Reactions
51 Replies
3K Views
Wanabodi Baadhi ya wabunge wa Bunge la JMT ni active members wa JF, mmoja wao ni Mhe. Juliana Shonza Baada ya kuchangia hotuba ya bajeti ya TAMISEMI, leo tena Mhe. Juliana Shonza anachangia...
7 Reactions
58 Replies
7K Views
Kila anayefuga chawa ni mchafu. Pia, chawa ni wachafu. Kila mfuga chawa ni dhaifu. Chawa ni dhaifu. Ili kufuga chawa, lazima uwe mchafu na mwenye damu ya kutosha. Unaipata wapi damu ya...
3 Reactions
7 Replies
394 Views
Kumbe Magufuli alipomng'oa huyu CAG Mstaafu kabla ya wakati na kwa kinyume Cha Sheria alimfahamu kuwa ni Mwanachama wa CHADEMA!!
8 Reactions
45 Replies
3K Views
Makamu Wa Rais Chama Cha Walimu Tanzania ( CWT ) Ndugu Suleiman Mathew Ikomba Aneyasema Hayo Mapema Leo Wakati Wa Ufunguzi Wa Kliniki Ya Walimu Na Samia Same Kilimanjaro Yenye Lengo La Kusikiliza...
0 Reactions
5 Replies
661 Views
Muwekezaji wa Kiswidi aliyeshinda tuzo ya Dola za kimarekani milioni 165 ameishawishi Mahakama ya Uholanzi kuishikilia ndege ndege ya Tanzania wakati pingamizi zikiendelea. Mgogoro huo umetokana...
26 Reactions
479 Replies
41K Views
Baraza la Madiwani la halmashauri ya wilaya ya Ludewa sambamba na kamati ya Ushauri wilaya limepitisha azimio la kugawa Jimbo la Ludewa na kuwa majimbo mawili ya uchaguzi ili kuweza kusogeza...
0 Reactions
0 Replies
549 Views
Naamini hapa ndipo mahali pa kuwa wazi na kueleza kilichopo mtaani ili viongozi wetu kama sio kujirekebisha basi watafute solution ya kudumu kwenye mambo mbalimbali. 1. Raia wengi, wanaamini mtu...
40 Reactions
176 Replies
6K Views
TORONTO, Nov. 20, 2024 (GLOBE NEWSWIRE) -- Montero Mining and Exploration Ltd. (TSX-V: MON) (“Montero” or the “Company”) is pleased to report a US$27,000,000 settlement has been reached with the...
5 Reactions
129 Replies
5K Views
Wakuu, Profesa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Issa Shivji, amesema kuwa ripoti ya tathmini ya namna redio zilivyoripoti Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024, iliyotolewa na Shule ya...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu Msanii Profesa Jay amesema baadhi ya Watu wanaowashambulia Wasanii kama Ay na wengine kutokana na kupanda kwenye majukaa ya Vyama vya siasa, hawawatendei haki kwasababu Tanzania ni nchi ya...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Mkuu wa Wilaya ya Lindi- Victoria Mwanziva ameendelea na ziara ya Kata kwa Kata katika Wilaya ya Lindi; na ziara hii inafanya ukaguzi wa miradi ya maendeleo na imetoa uwanda mpana wa kusikiliza na...
0 Reactions
1 Replies
316 Views
Utabiri ni kuona yale yajayo kiunaga ubaga. Utabiri lazima utimie. Kuna tofauti kubwa sana kati ya kutabiri na kubashiri. Kutabiri ni jambo la rohoni wakati kubashiri ni jambo la mwilini. Kwenye...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera, Faris Buruhan, amesema mtaa hautaki digrii wala PhD ili mtu aonekane kijana mchapa kazi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu...
0 Reactions
1 Replies
308 Views
My Take: Hizi kampuni za Matapeli zipigwe marufuku na Wale Wanaoshirikiana Wasakwe Popote Nchini Ili Wafurushwe hata kama Ni Watanzania. Huu umegeuka ni upuuzi na dili za Vibaraka wa Mabeberu 👇👇...
8 Reactions
83 Replies
4K Views
Watanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma! Wamam wajane, masikini waliofutiwa bima ya afya kwa watoto wao, Walionyimwa madawati...
13 Reactions
45 Replies
2K Views
Back
Top Bottom