Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt Benson Bagonza anazungumzia mchakato wa Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura:
Kila Mtu anatakiwa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara kimewasilisha ripoti maalum kwa Kanisa Katoliki, ikielezea matukio ya watu waliouawa au kupotea katika mkoa huo. Sambamba na hilo, chama...
Nchi yetu ya TANZANIA, watanzania, na serikali kupitia wizara ya afya, tumejipanga vipi ama tuna mipango ipi na gepu lililopo ama litarajiwalo kutokea la kukosa ama kutopokea tena misaada kutoka...
Hili sio kwa Raisi Samia pekee ni utamaduni hata wakati wa Kikwete
1. Wakati wenzetu wa South Afica na Kenya wana enda na katiba zao za Dunia ya sasa Tanzania tunapoteza muda . Kikwete aliweka...
Chama cha ACT Wazalendo tunaungana na mamilioni ya Watanzania nchini kuitaka serikali kumaliza tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama nchini. Leo Machi 22, 2025, tunapoadhimisha Siku ya Maji...
Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam unawataka raia wa Marekani kuepuka kusafiri kwenda visiwani na maeneo ya pwani kusini mwa Kisiju, Tanzania. Wafanyakazi wa serikali ya Marekani wamezuiwa...
Hakuna aliyewahi kuthibitisha kuwa Tundulisu amewahi kuhujumu mali au fedha za umma hata sh. Mia mbili.
Hajawahi kuwa muoga kwasababu ya maslahi.
Anaposimamia jambo uhai wake huuweka pembeni...
KAMATI YA UTEKELEZAJI YA UMOJA WA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (UVCCM) MKOA WA DAR ES SALAAM IKIONGOZWA NA NDUGU MWENYEKITI NASRA M.RAMADHANI
Umoja wa vijana wa CCM Wameandelea na zoezi wilaya...
Akizungumzia zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambalo limeanza kufanyika katika Mkoa wa Dar es Salaam Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC)...
Mhe. Rais wa Tanzania amefanya mengi sana makubwa na kubwa kuliko yote ni kumalizia Miradi waliyoianzisha yeye na Hayati Magufuli.
Ambayo hawakuyaanisha ni mfano kizimkazi festivo ilo sio la...
Hivi karibuni kumeshuhudiwa kuongezeka kwa matumizi makubwa ya pombe kali, hususa kwa vijana kati ya miaka 15 mpk 30, kubeti, uvutaji bangi, mirungi, movi za hovyo, miziki ya hovyo n.k, kama...
Wakuu,
Kwahiyo huduma ya maji tunapewa kama hisani, yaani tunabembeleza kupatiwa huduma bora na stahiki!
Kwamba kupata maji siku za sikukuu na weekend ni mpaka maelekezo yatoke kwa...
Tanzania imefanya mazungumzo ya makubaliano makubwa ya kuiuzia Zambia umeme wa hadi megawati 1000 kwa mwaka, kupitia mkataba wa ununuzi wa umeme kati ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na...
Kuporomoka kwa thamani ya shilingi ni changamoto inayohitaji mikakati madhubuti ya muda mfupi na mrefu ili kuhakikisha tunarejesha uthabiti wa uchumi wetu. Ili kuimarisha shilingi dhidi ya sarafu...
Rais Samia akizindua Sera ya Taifa ya Maji ya Mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025 Mlimani City, Dar es Salaam
https://www.youtube.com/live/7kRHbQNjPp4?si=klF3x6WIcU8awoZZ
Viongozi mbalimbali wa chama...
Rais wetu Dokta Samia Suluhu Hassan, inadaiwa anataka kuchanganya damu changa sababu kazungukwa na wazee wakina Wasira na Mizrengo Pinda.
Jumaa Aweso ameonekana ni Mchapakazi, sio mla Rushwa...
Wakuu,
Hamuoni kama inachekesha, yaani kama vile serikali na wizara ya maji inatung'onga! Tunalalamika ukosefu wa huduma hii kila leo, kwa wiki tunapata maji mara moja halafu huko kwenye majukwaa...
Sikutegemea kuona tangazo linalo akisia kurudi kwa ubaguzi wa rangi, miaka 64 baada ya uhuru.
Tangazo linalotembea mitandaoni linasoma ubaguzi.
ASIANS AND ARABS ONLY NEED APPLY.
Haya ni matusi...
Hayati Magufuli amenifundisha usipokuwa na msimamo hutafanikisha jambo la maana hapa duniani kwa sababu ukianzisha jambo watakaokupinga ni watu wako wa karibu na huenda ni wasomi sana kuliko wewe...