Samia kashidwa swala la Rushwa, Haki na umasikini
Rushwa: Imeongezeka. Mikataba ya sirisiri na rushwa kila mahali
Haki: Hakuna tume huru ambayo haimtegemei raisi. wizi wa kura kwa kutumia Polisi...
Mpaka sasa hakuna page yoyote ya rais iliyoposti chochote kuhusu kumbukizi ya mtangulizi wake john pombe magufuli ! Sio waziri mkuu Wala makamu wa rais aliyethubutu kuzungumza chochote ! Labda...
Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ndogoTabora imeshindwa kusikiliza kesi ya madai mchanganyiko ya kuomba kurudishwa kwa mchakato wa mabadiliko ya upatikanaji wa Katiba mpya inayoikabili Tume Huru...
Kwenye video hii Ahmed Kombo, mwanaharakati huru, anaelezea ukubwa wa Rais Samia na kumwaga sifa kedekede mpaka kufikia kusema baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia! Amenikumbusha...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya maji kwa wakati na kuondoa urasimu usio wa lazima...
Chama Cha Mapinduzi CCM kupitia kwa Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Deogratius Nsokolo kimepiga marufuku wanachama wote walioanza na wanaotarajia kuanza harakati za kujinadi kuelekea Uchaguzi...
tulishakubaliana kuwa katiba ni kijitabu flani hivi, hivyo kisitusumbue sana. Uongozi bora ni utashi wa kiongozi aliyechaguliwa. Nadhani wote tunashuhudia yanayoendelea Marekani ambao ndiyo mama...
Leo tarehe 12 Machi 2025 Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad ametoa mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi wa Chama wakiwemo Wajumbe wa Kamati Kuu...
Tanzania inaendelea kuagiza bidhaa nyingi kutoka nje licha ya kuwa na rasilimali nyingi kutokana na sababu kadhaa.
1. Ukosefu wa Uwezo wa Kiviwanda
Tanzania ina malighafi nyingi, lakini haina...
Bismillah Rahman Raheem.
Mwaka wa Uchaguzi umefika na Mwezi wa Ramadhan ushawadia, leo tuko Chungu cha pili.
Sasa kama mjuavyo kwa miaka ya sasa kila jambo ni fursa, mtaalikwa kila mahali na...
Katika kuazimisha Wiki ya Mama, ambayo inatambua na kuenzi juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan, Viongozi na wanachama wa Kampeni ya Mama Asemewe walifanya ziara ya kipekee kwa abiria wa daladala...
Joseph Mbilinyi aka Sugu kuongea na taifa 20|03|2025
MY TAKE;
Viongozi wa chama kilichokupa nguvu ya Kisiasa tunakuja Kwenye kanda yako.
Bado nakushauri. Huna nguvu kuliko Tundu Lissu, uchague...
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amesema miaka minne ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa na maana kubwa katika ustawi wa maisha ya Watanzania...
Ni Pasta Dickson Kabigumila wa Kanisa la ABC
Mwezi Machi 2025 akiongoza Semina ya Mafungo ya Siku 64 akimanisha miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania amesema Yeriko inaenda kubomoka.
Alisema kuwa Yeriko...
Wakuu,
Akizungumza hivi karibuni kwenye mahojiano ya moja kwa moja na Jambo TV, mwanasiasa maarufu ambaye alishawahi kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 2010, Wilbroad Slaa amesema...
Chuo cha Ufundi Arusha kimezindua ujenzi wa mtambo wa umeme wa Kikuletwa 1 eneo la wilaya ya Hai Kilimanjaro pamoja na..
MTAMBO MKUBWA WA UMEME UNAOWEZA KUHUDUMIA MAGHOROFA MIA MOJA WAANZA HAI...
Na Askofu Benson Kalikawe Bagonza
KWA WEMA au KWA UBAYA, TUSIMSAHAU MAGUFULI
Miaka minne imepita tangu tangazo la kifo cha Rais wa awamu ya tano, hayati JPM litolewe. Kama kilivyo kitendawili...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeielekeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Mkazi, na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk. Juma Homera kuweka utaratibu mzuri wa kugawa sehemu ya ardhi kwa wananchi wa...
📌Ujenzi wafikia 94%
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika mji wa Serikali Mtumba na kuipongeza Wizara kwa hatua ya ujenzi...
Alichoandika Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha, Dkt.Godwin Mollel kwenye ukurasa wake wa Instagram:
Hapa nilikuwa namwambia boss, wapinzani wangu jimboni nimewanyoosha hadi sasa...