Mimi ni mpitaji wa barabara hii kila siku.
Tokea walipojenga hiyo barabara wale jamaa zetu wa KONOIKE ya Japan, mwaka 2012, pamejitokeza tatizo kubwa la maji ya mvua kubwa kupita maeneo kadhaa...
Mi nafikiri ustaarabu unahitajika zaidi na si ubaguzi kwenye kushughulikia suala hili maana tutajikuta tuko kinyume hata na UN Resolution on Race and Human Rights though we have ratified the...
Huku Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es Salaam (RCC) ikipokea mapendekezo ya Kamati ya Wilaya Ilala (DCC) na kuridhia kuhusu kugawanywa kwa Jimbo la Ukonga na kuanzishwa kwa Jimbo jipya la...
Mbunge wa Ukonga, Mhe. Jerry Silaa, ameahidi ujenzi wa barabara ya lami katika Kata ya Kivule, akisema kero hiyo itaondolewa hivi karibuni.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi...
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Kuombea uchaguzi mkuu 2025, Alex Msama leo ameongea na wandishi wa habari kuwa Maandalizi ya Tamasha la kuombea uchaguzi yanaendelea vizuri na kuwa...
Najua kuna watu wengi pamoja na mimi binafsi tunamshangaa huyu Mama kubadilika sana kuanzia 2021. Sababu moja wapo inawezekana ikawa watu wake wa protokali ambao wanajiona sasa wenyewe ndiyo wana...
Ufisadi ndio tatizo kubwa linaloigharimu serikali ya CCM kwa sasa!
Watu walewale,Mambo yaleyale na Mfumo uleule uliokuwa umeidhoofisha CCM kabla ya 2015.
Ndio Ujinga uliorudi kwa kasi ya 4G hivi...
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kawaida (MCC) ametoa maagizo kwa Viongozi wa UVCCM mikoa yote na wilaya Tanzania kuwa na vitega uchumi ili kuondoa utegemezi.
Kawaida ameyasema hayo leo...
Watu wanasema kama rais Samia anaweza kuonesha ukali kwa viongozi wa vyama vya upinzani na watu wenye mawazo kinzani na yeye kumbe anaweza kuwa mkali kwa wazembe na mafisadi waliopo nchini ambao...
Wanabodi,
Kama ilivyo kawaida yetu jf, wewe kama mwana JF, una pata ile kitu inaitwa the jf advantage to "be the first to know" kuwa ujio wa Lawassa kujiunga Chadema, sio tuu utakipaisha...
Wanabodi,
Baada tuu ya Uchaguzi Mkuu wa 2010, Chadema ilipopata ushindi wa kutimiza Akidi ya Kuunda Kambi Rasmi ya Upinzani, nilipandisha Uzi unaoitwa huu, CCM Imechokwa; CHADEMA Haijajipanga...
Kada Godfrey Sitta wa CCM kutoka Wilaya ya Meatu, ajitokeza hadharani kufichua yaliyojificha ndani ya Chama kuelekea uchaguzi mkuu 2025.
Mimi ni CCM, lakini kwa hapa tulipofikia nipo tayari kufa...
Wakuu,
Msemaji wa Mbezi Beach leo nimeenda kuboresha taarifa zangu kwenye daftari kudumu la wapiga kura katika Ofisi ya Serikali ya Mtaa Mbezi Beach B. Wakati niko nasubiri kuandikishwa ilikuwa...
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu amekabidhi pikipiki sita kwa ajili kuwawezesha viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutekeleza majukumu yao hasa wakati huu chama hicho kikijiandaa...
Prof.Alikuwa akizungumza kwenye kongamano la kumpongeza Rais Samia na kuangazia mafanikio ya miaka 4 madarakani.
--
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi...
Sheikh wa Wilaya ya Nkasi, Sheikh Hadhi Daruweshi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Maridhiano katika wilaya hiyo, amesisitiza kuwa kushiriki katika uchaguzi ni jambo linalopaswa...
Rejea sheria mpya ya uchaguzi, Rais Samia, Serikali ya CCM na Bunge bandia la CCM, waliwadharau na kuwapuuza Watanzania wote.
Vyama vya upinzani, taasisi za dini, chama cha wanasheria Tanganyika...
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza, Omari Mtuwa, amewaonya viongozi wa chama hicho kuacha tabia ya kuwa madalali wa siasa badala ya kukitumikia chama kwa uaminifu.
Kupata matukio...
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amekabidhi gari kwa ofisi ya UVCCM mkoa wa Singida ili kusaidia shughuli za kila siku.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...