Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Pichani Tundu Lissu akitoa elimu ya No Reform No Election. Hapa ni Namanyere, Jimbo la Nkasi Kaskazini Tunaomba Radhi kwa kuwaleteeni Taarifa kidogo za Mikutano ya No Reform No Election, hii...
24 Reactions
85 Replies
4K Views
Sote tunajua ukweli kwamba mtu aliyefocused,determined, anayeshindana na yeye mwenyewe ndio atakuwa bora SIKUZOTE kuliko anayeshindana na mwingine. Utaratibu wa kushindanisha matokeo ya mitihani...
8 Reactions
63 Replies
3K Views
https://www.facebook.com/share/r/14jspCwC7r/
0 Reactions
3 Replies
468 Views
Halmashauri ya Wilaya ya Ngara ni Miongoni mwa Halmashauri 8 zinazounda Mkoa wa Kagera ikiwa na Jumla ya Vitongoji 389, Vijiji 75, Mitaa 34, Kata 22 na Tarafa 4. Mapema mwaka huu Halmashauri hii...
2 Reactions
8 Replies
787 Views
Na:Abdull Najad Faiq Zote Tanzania bara na Zanzibar linapokuja jambo ambalo lipo ndani ya orodha ya mambo ya Muungano, huwakilishwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ndio Serikali...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni Taasisi inayojitegemea chini ya Ofisi ya Rais iliyoanzishwa kwa mujibu wa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Zaidi ya vijana 1,000 wa Mkoa wa Arusha, leo Machi 26, 2025 wamefika katika ofisi za mkuu wa mkoa huo kwa ajili ya kufanya usaili wa kuwania nafasi za ufadhili wa masomo nchini India. Vijana hao...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Katika watu makini katika wakati huu ni watu waliotengeneza hii slogan ya No Reform, No Election,.mmeweza. Wenzenu wanasema kazi na utu, wakati hizo kazi hazionekani Wala huo utu haonekani. No...
2 Reactions
12 Replies
941 Views
Aliyekuwa Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tawi la Ramadhani Victor Kawogo amejiunga Chama cha Mapinduzi (CCM) Machi 05, 2025 katika Mkutano wa Usomaji wa Taarifa ya...
0 Reactions
2 Replies
655 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ofisi za Chama nchi nzima zinapaswa kutumika kutatua changamoto za wananchi. Kupata matukio na taarifa zote...
0 Reactions
3 Replies
410 Views
Awali ya yote natumaini wananchi wenzangu wote mpo salama. Ndani ya kipindi hiki cha miezi miwili kumeibuka mjadala mkali ukihusu changamoto za muungano kutoka pande zote mbili za muungano. Mda...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha wamekataa kuligawa Jimbo la Arusha mjini mara mbili wakidai ukubwa uliopo hivi sasa unakidhi mahitaji ya Wananchi huku wakikubaliana kugawanywa kwa kata...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu, Wakati viongozi wa Chadema wakiendelea kuinadi kampeni ya ‘No Reforms No Election’ katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, chama hicho kimewaita walioomba (watia nia) wa nafasi mbalimbali...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Ndugu Nuru John Ngereja ameanza majukumu yake rasmi baada ya kukabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Katibu CCM Mkoa wa Morogoro, Ndugu Solomon Kasaba...
0 Reactions
3 Replies
782 Views
Kesho tarehe 26/3/2025 Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Mh. Tundu Lissu atafanya mkutano mkubwa wa hadhara mjini Sumbawanga kuendeleza kampeni ya No Reforms No Election. Kitu cha kushangaza ni kuwa...
9 Reactions
103 Replies
6K Views
KIKAO cha Kamisheni ya Ushauri ya Mkoa (RCC) wa Geita kimeridhia majimbo mawili ya uchaguzi ya Chato na Busanda yagawanywe kupata majimbo manne ili kuchagiza maendeleo. Kupata matukio na taarifa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Pamoja na uzee wangu, wanangu, nina swali dogo. Je umewahi kumpenda mtu, ukamsifu, ukamtukuza, ukajikomba hata kujidhalilisha halafu ukamchukia? Nauliza hivi kutokana na ninayoshuhudia kuhusu...
0 Reactions
4 Replies
406 Views
Chama cha ACT Wazalendo kimesema hakiwezi kunyamaza kimya endapo CHADEMA itakandamizwa, kikisisitiza mshikamano wake na chama hicho kikuu cha upinzani nchini. Akizungumza katika kikao cha ndani...
10 Reactions
34 Replies
2K Views
Baada ya Jana John Heche kionekana akiwa na Baraza Dogo la Viongozi wa dini walioalikwa kuaddress na kueleweshwa kuhus No Reform No Election leo huko Makambako ni Gumzo. Watu ni wengi sana...
15 Reactions
44 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekanusha madai kuwa gari lake lilitumika kubeba wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mnamo Machi 22, 2025, kama ilivyosambaa kwenye mitandao ya kijamii. Kwa...
12 Reactions
40 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…