JUMUIYA ya Madola (Commonwealth) imeridhia wito wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan wa kuanzisha mpango maalum wa ufadhili wa masomo wa Commonwealth Julius Nyerere...
Ni Wazi kabisa kwamba siasa za kisasa zinahitaji watu wa kisasa, namaanisha wale waliotoa tongotongo machoni mwao, kwa maana ya watu waliotembea na kuona mambo kwenye mataifa mengine kwa kiwango...
Akiwa jijini Mwanza,Hayati Rais Daktari John Pombe Joseph Magufuli alisema umeme usiotosheleza Tanzania nzima utakuwa historia,aliyasema hayo wakati akifungua kiwanda cha Victoria Moulders...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa maono ya kujenga Kanisa Kuu la Jimbo Katoliki la...
Habari wadau wa JF.
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wa 26/4/1964 ulihusisha tukio nyeti ktk historia la kuchanganya udongo wa pande mbili. Mwl Nyerere na Karume ni watu moja wapo waliohusika...
Kuna mtoto wa kiume sitomtaja jina akitokea Singida, anaandaliwa na baba yake kuwa Rais wa nchi hii kupitia CCM 2050. Ni mtoto wa mwisho ktk familia na ana miaka 6 hivi sasa. Wazo la kuwa Rais...
Ikiwa yamesalia masaa machache kuelekea sikukuu ya Eid Al- Fitri ikiashiria kutamatika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani, Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa...
Habari JF siasa.
Nguli wa siasa nchini aliyefubaa kisiasa Mheshimiwa Edward Lowassa, alipoiona kasi ya Rais Magufuli kipindi hicho Rais akiibuka na mambo mbalimbali kama ufichuzi wa ufisadi...
Wakuu,
Kwa wanaomfatilia Fred Vunja Bei alishawahi kusema kuwa ana "interest" za kugombea Ubunge, jimbo analotaka kugombea hakutaja na hata kwenye mkutano mkuu wa CCM pia alikuwepo
Leo katoa...
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zawadi za vitu mbalimbali kwa watoto na wazee wanaolelewwa kwenye vituo saba vilivyopo mkoani Shinyanga ili nao washerehekee Sikukuu ya Eid el Fitr kwa furaha...
Kwa mujibu wa report ya CAG deni la taifa Kwa miaka minne pekee ya uwepo wa Rais Samia madarakani ni zaidi ya Trilioni 30. Kwa mujibu wa maelezo ya wasemaji mbalimbali wa serikali pesa hizo...
ITOSHE tu kusema, Wakati wa Mungu ni wakati ,ukifika umefika.
Licha ya CCM na ngonjera zake zote, Wananchi waamua kwenda na CHADEMA !!
https://www.youtube.com/live/pfTT4SvfnVs?si=TU8MLjx9txKwG1HO
Kwa akili na uelewa wa watanzania kwa sasa hawana shida na mabadiliko ya uongozi ,wanachotaka wao ni kula na kulala ?! Watanzania asilimia 97 Wana Imani na ccm.
Kwa hiyo kwa nafasi ya urais...
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) imetoa taarifa ya kuelezea kuhusu upotoshaji uliofanywa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche kuhusu Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro...
KWA NYOMI HILI LA CHADEMA IRINGA MJINI NI WAZI JIMBO HILI NI LA CHADEMA TENA NOV 2025.
My bother Peter Msigwa kazi ulioifanya ya kumwondoa Freeman Mbowe kwenye Uenyekiti CHADEMA ni njema sana...
Nitafutieni kiongozi yeyote wa Serikali ya Marekani na majimbo yote 50 ambaye kwenye jina lake anaanza na Professor fulani kama utapata!
Hili ni jina linatumika wakati wewe bado ni mwalimu wa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amemjibu Kiongozi Mstaafu wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe kuwa CCM haibishani na CHADEMA kwa kuwa iliwaambia wazungumze wakajibu...