Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Iringa Mjini, Pascal Chibala amehamia na kutangazwa rasmi kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Chibala ameeleza kuwa utekelezaji...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/live/4zaJF1ulpWo?si=IAPHRSt9HALIxBDp Chuo Kikuu Mzumbe kinatarajia Kumtunuku Rais Samia Shahada ya Udakatri wa Heshima katika Uongozi wa Chuo kama ishara ya kutambua...
10 Reactions
144 Replies
6K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Usimamizi ya Utalii na Masoko ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA) leo tarehe 28 Desemba...
2 Reactions
50 Replies
8K Views
Salaam Wakuu, Leo tarehe 15/11/2021 shahidi wa 'Diary' anaendelea ikitarajiwa maamuzi kwenye kesi ndogo katika muendelezo wa kesi Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe. Kujua kesi ilipoishia...
29 Reactions
231 Replies
40K Views
Katika kipindi Cha hivi karibuni Chadema wamezindua kampeni ya 'No reform -No election' (NRNE). Lissu kama mwenyekiti na icon ya chama amejikita zaidi kuelezea ubovu wa katiba na Sheria mbovu...
11 Reactions
27 Replies
1K Views
=== Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu na mashaka Watanzania kwani Serikali yao ya awamu sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan ina nia na dhamira njema dhidi...
33 Reactions
352 Replies
9K Views
by Prof Shivji Do we have any guideline of this kind in Tanzania? With or without guidelines, what is stated in this press release is well known and respected in most international institutions...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakati deni la Taifa linakua kwa kasi ya kutisha, ukweli ni kwamba; 1. Watoto wetu bado wanasoma kwenye shule zenye miundombinu duni sana huku elimu yao ikiwa haijengi kesho bora kwao kwenye...
8 Reactions
31 Replies
1K Views
Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema nchi inakopa kwa ajili ya kufanya mambo tukayoishi nayo na faida zake zitakuwepo kwa miaka mingi kwa kizazi cha sasa na hata...
4 Reactions
73 Replies
4K Views
Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es salaam (RCC) ikiongozwa Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila leo Machi 24, 2024 imepokea na kuridhia mapendekezo ya Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Ilala (DCC) ya...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Hakuna taifa lililowahi kufikia maendeleo ya kweli kwa kuwa na viongozi chawa. Taifa lolote linalotegemea kujipendekeza badala ya utendaji linajenga utawala dhaifu, usio na uwajibikaji na hatimaye...
3 Reactions
12 Replies
658 Views
Bila shaka kwa nguvu na Muumba tu wazima na harakati za kujenga maisha yetu pamoja na taifa kwa ujumla. Leo nikiwa kama Mwalimu kitaaluma, naomba nizungumzie madai, lawama na kuhusishwa kwa kundi...
5 Reactions
64 Replies
4K Views
Ali Hapi ambaye anatoka familia ya Mzee Ugula katika kijiji cha Tutu, Kata ya Kiomboi, Wilayani Iramba amekuwa na safari nyingi za kumtembelea bibi yake Mzaa Mama kijijini hapo na safari ya mwisho...
10 Reactions
53 Replies
5K Views
Wakuu, Dkt Slaa akiwa anazungumza kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake yaliyoandaliwa na BAWACHA amesema kuwa Rais Samia kama atataka anaweza kumrudisha tena gerezani maana amejifunza mambo...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Ninamashaka makubwa na sera za polisi hapa Venezuela hasa kutoka makao makuu ya jeshi Hilo hapa mjini Colombo kama linalinda raia na mali zao ama lipo kupambana na wanasiasa ! Polisi hapa mjini...
4 Reactions
5 Replies
456 Views
Bado ccm na serikali Ina haha ni kwa namna Gani CHADEMA inaenda kudhibiti uchaguzi mkuu ingali vyombo vya ulinzi viko kwake pasipo watu. CHADEMA yenyewe Ina watu ndio maana hamasa imekuwa kubwa...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Katika muktadha wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, wananchi wa Mkoa wa Mbeya, pamoja na wilaya zake zote, wameonyesha hisia za kutoridhika na hali ya kisiasa na kiuchumi nchini. Kauli mbiu yao ya...
4 Reactions
3 Replies
508 Views
Watanzania wamechoka maigizo. Sijui kuna watu wanaitwa Takukuru ! Yaani hongo za traffic za barabarani na stendi zimawashinda wataweza kupigana na hongo za mikataba🤦🏾‍♂️ huu ujinga jamaa hatuuoni...
9 Reactions
35 Replies
1K Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Ile Kampeni Tukufu ya No Reform No Election inayoendeshwa na Watanzania wote wakishirikiana na Chadema, inaendelea kuchanja mbuga, na sasa imeingia Mbalizi, nje...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…