Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewasha Mwenge wa Uhuru kuashiria uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa Mwaka 2025 katika hafla iliyofanyika...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amaema kupitia ukurasa wake wa X kuwa Rais Samia amedanganya kwenye baraza la Eid kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi
Amesema “Rais Samia hajasema ukweli kwenye...
Raisi Samia hana majibu hata moja ya matatizo na alicho bakia nacho ni kutuuuzia Uoga, kututishia Police wake na kadhalika.
Hana majibu ni kwa nini Shiling ya Tanzania inaongoza kwa kushuka...
Ukitazama hali halisi ilivyo sasa ni wazi kabisa matajiri, watu wenye uchumi mzuri, biashara kubwa, na watu wa serikali ndo wanaridhika na mwenendo wa serikali kwa sasa. Sasahivi wanasukuma magari...
Wakuu,
Nikadhani zoezi la wananchi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura lilikuwa limeshaisha.
Naona leo RC kajitokeza kuja kuisemea tume!
Akiwa anazungmza hivi karibun Mkuu wa...
Jamani natamani sana taifa letu lipate uhuru wa mara pili, tangu mwaka 1961 mpaka 2025, Tanzania imekuwa chini ya chama cha ccm. Mambo yanaenda hovyo hovyo sana. Angalau mwaka huu Tundu Lisu...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama hicho kinaendelea kujipanga kwa uchaguzi ujao, huku akibeza kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Waziri. Mhe. Deogratius J. Ndejembi ameahidi kutoa milioni 5 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo...
Habari zenu. Hivi karibuni nilikwenda mkoa wa Ruvuma na nikapita karibu na makazi ya mkuu wa mkoa nikashangaa sana namna pesa zetu za Kodi zinavyofanya viongozi wetu waishi kifahari.
Kama Kuna...
Wakuu,
Naona trip za kuwatembelea wagonjwa zimekuwa nyingi zimekuwa nyingi kipindi hiki.
Kuna nini kwani? Au ndo maandalizi ya Uchaguzi ?
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...
Kwa vipigo vinavyoendelea miongoni mwa viongozi waandamizi wa chadema ngazi mbalimbali nchini, hususani wanawake, kuna kila dalili za magenge ya kihalifu kuhifadhiwa ndani ya chadema na...
Kiukweli tumekubwikwa na viongozi wa aina moja nkiwa na maana ya kwamba hutambua majukumu yao mpaka Wananchi wakionyesha kuriakti... Mfano wimbi la ufungaji barabara linaenda kasi sana na...
Bashungwa Ana mfumo wake wa kizamani Sana .
Anazunguka vijjini na kuwapiga picha watu waliochoka na kukata tamaa ya maisha na kuwarusha mitandaoni
Kwanza unafany kosa kubwa Sana na kudhlilisha...
Mbunge mstaafu, Abdallah Bulembo ambaye ni mshauri wa Rais (Siasa na Uhusiano wa Jamii) ameahidi kutoa milioni 3 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo...
Ndugu zangu Watanzania,
Tukio la Kupigwa ,kuumizwa ,kujeruhiwa na kuteswa kwa Katibu Mwenezi wa BAWACHA Taifa limewaacha watu na maswali Mengi sana vichwani Mwao. Watu wanajiuliza ikiwa Kiongozi...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameahidi kutoa milioni 5 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana...
Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi, ameupinga vikali mpango wa kuligawa jimbo hilo, akidai kuwa hauzingatii maslahi ya wananchi na badala yake unalenga kuwatenga baadhi ya wakazi...
Ripoti ya CAG 2023/2024 imebainisha kuwa Shirika la Umeme la Tanzania (TANESCO) linadaiwa Tsh. Bilioni 238 na Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Deni halisi...
Naibu waziri mkuu na waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko ameahidi kutoa kiasi cha Tsh. Milioni 10 kwenye harambee ya Ukarabati wa jengo la kanisa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome...
Mbunge wa Buchosha Mhe. Eric Shigongo ameahidi kutoa kiasi cha Tsh. Milioni 5 kwenye harambee ya Ukarabati wa jengo la kanisa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome iliyoandaliwa na...