Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wewe Angelia watu wote waliofanya Siasa za mafanikio huku Tanganyika ni lazima walipelekwa kwanza Zanzibar kujifunza ndio hawa akina hayati Mzee Mwinyi, mzee Kikwete nk Chadema na vyama vingine...
2 Reactions
39 Replies
1K Views
Kwa wanaomjua Tundu Lissu na baraka alizonazo hawatapinga hili Huyu Bwana ana kismart cha ajabu sana. PAmoja na kwamba yuko lockup leo uchaguzi ukifanyika huyu bwana akapelekewa form aisee...
9 Reactions
21 Replies
1K Views
"Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkataba wake na wananchi mpaka kufika mwaka 2025 haikuwa (kufikisha umeme kwenye) vitongoji, ilikuwa vijiji tu, vijiji imemaliza kabla ya wakati, na kabla ya wakati...
0 Reactions
4 Replies
397 Views
NI kujulishana juu ya Viongozi wa Serikali ,kuanzia Mkuu wa Nchi akifuatiwa na ngazi mbali mbali hadi balozi wa nyumba kumi kumi. Ni kesi ngapi maarufu za kupotea watu maarufu ,tuwaweke pembeni...
2 Reactions
1 Replies
348 Views
Kama ni kweli basi CCM tunatudi nyuma kwa kasi ya mwanga Yaani Covid 19 walipewa Ubunge wa bure na Shujaa Magufuli na sasa wapewe tena kupitia CCM?!!!
3 Reactions
9 Replies
584 Views
Wanabodi, Naamini kwamba msimamo wa mahakama kuhusu kesi ya Tundu Lissu ndio utakao tufahamisha kama kweli hana hatia.Ushahidi wa kutosha kutoka upande wa serikali ndio unaoweza kumshawishi...
3 Reactions
68 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
4 Reactions
68 Replies
3K Views
Prof Janabi anatosha WHO. Nashauri timu ya kampeni iwe na watu wenye exposure ya Kimataifa haswa. Huku Peramiho tunawaunga mkono. PIA SOMA - Ikitokea tukapewa nafasi nyingine, Prof. Janabi...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Kamanda Muliro amesema jeshi la polisi linamshikilia Dereva aliyepiga kelele za kutekwa na kusababisha Wananchi kuwashambulia Watumishi wa TRA Dereva huyo anashikiliwa kwa sababu za kiuchunguzi...
14 Reactions
206 Replies
13K Views
Kwa mujibu wa Sheria za Tume ya Uchaguzi ndugu zetu Chadema wamejiondoa kushiriki Uchaguzi mkuu 2025 Tumuombe Allah wasigombee kweli vinginevyo wanaweza kusumbua sana CCM tusisahau Siasa ni...
1 Reactions
20 Replies
775 Views
Wasalaam. Sikiliza mwenyewe. From Makitaba. Nanukuu "Utasubiri na CHADEMA yako na CUF yako, siku ukipata uraisi na chama chako na mimi nitashika kitabu chako na kukupigia saluti ! Lakini kwa sasa...
0 Reactions
1 Replies
239 Views
Nimewasikia viongozi wa cdm wakihamasisha wafuasi nchi nzima waende kwa wingi Kisutu kusikiliza kesi ya Lissu, lengo hasa ni nini kuita watu wengi wakusanyike kwenye eneo dogo sana la mahakama...
7 Reactions
70 Replies
3K Views
Arusha ni mji wa wafanyabiashara huwenda kuliko miji yote Tanzania Arusha kila mtu ni mfanyabiashara Arusha wahuni ni wengi saana Juzi nipo na wazee na viongozi baadhi waandamizi wa CCM mkoa wa...
13 Reactions
66 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa AAFP, Said Soud akiongea na SAUT DIGITAL amesema ni vigumu mtu akikuajiri halafu ukamkataa, ataka tume huru yenye kuweka usawa ili kufanya uchaguzi uaminike kwa wananchi wote na kuwa...
11 Reactions
88 Replies
4K Views
Salaam Wakuu, Hii imenishangaza na kunistaajabisha sana! Watu waliokuwa wanapokea wageni (ushers) wale ambao walivaa tisheti waliambiwa wakabadilishe au watoke hapo! Inanishangaza sana! Ndio...
0 Reactions
3 Replies
413 Views
“DP tutashiriki uchaguzi na sasa tumeshatoa kalenda na tutakuwa na Mkutano Mkuu wetu tarehe 10/6/2025 na tutaufanya Morogoro. Maana hata Mkutano Mkuu wa uchaguzi mwaka juzi tuliufanya Mogororo,”...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, Kufuatia kuingezeka maradufu wa kasi ya sasa ya maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa Corona, Je, tuendelee kuupongeza msimamo wa rais Magufuli wa ushujaa wa Ka...
41 Reactions
177 Replies
26K Views
Ukiwasikia wanavyojitapa hadharani utadhani ni chama kilichojaa watu mahiri na jasiri, lakini ni chama kilichojaa watu waoga kupindukia. Sheria wanazotunga nyingi zake ni kwa ajili ya kujihami na...
14 Reactions
24 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence Samizi hachoki wala kupumzika kulipambania Jimbo lake ambapo anafanya ziara kila kukicha na Bungeni anapambana kutafuta maendeleo ya...
0 Reactions
3 Replies
394 Views
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), Dkt. Charles Kitima, amesema kuwa jukumu la viongozi wa dini kukemea maovu katika jamii, likiwemo wizi wa kura na ukiukwaji wa...
9 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…