Ni aibu sana kwa wanasiasa kama Heche na Mnyika kujidai wana misuli ya kupambana na Sheria kwa kutegemea fedha na harakati za watetezi wa ushoga huko ulaya.
TII SHERIA BILA SHURUTI
Yaani imefika wakati sasa wafanya maamuzi wa siasa za nchi ni Polisi
Waziri anasimamisha mikutano ya kisiasa kwa kutumia Polisi kwa kushindwa hoja.
Tuombe kesi ya Mama iende haraka tuondokane...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi ammwagiza IGP Wambura na Makamanda wa Polisi Mikoa kufungia maeneo yote ambayo yatakuwa na viashiria vya uvunjifu wa amani nyakati za usiku
Pia soma...
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Songwe @fatumamnahwate amesikitishwa na namna Viongozi wa Chadema wanavyoeneza chuki na kupakiza uchochezi kwa watanzania kwa maslahi yao binafsi.
Fatuma ameeleza kuwa...
Vichwa vitatu vimetosha kabisa kabisa kumsimamisha siasa na miktano ya hadhara STEPHEN WASIRA na vijana wote wa CCM na kama litakuwa jema na wamepatia bila kujua madhara yake hapo badae. Hili ni...
Unajua amani ndo uchumi wenyewe pasipo na amani hakuna shughuli za uchumi, hakuna ajira, hakuna shule, hakuna madawa, hakuna nyongeza za mishahara, hakuna haki ya kuabudu nk.
Haiwezekani mtu...
Tunaishi kwa kutegemea kutembea nje ya nyumba zetu ili maisha yetu yaendelee, hatuna access ya soft money kama nyie wenzetu chadema ambao mnategemea mle kupitia Hela za mabeberu.
Kwahyo chadema...
Wananchi wameendelea kushuhudia maeneo ya wazi Dar es salaam yakigawanwa na vigogo kama Karanga au Pipi wakiweka showroom za magari na mengine kugeuzwa matumizi kwa kisingizio uwekezaji...
Wote tunajua maana ya neno Tukufu kwamba ni kitu kisafi chenye hadhi ya utakatifu. Rais Benjamin William Mkapa alikataa asiitwe mtukufu rais kwakuwa alijua hadhi na upekee WA neno Hilo.
Sasa...
Uyo mtaalamu wa siasa apo jumba jeupe hafai yawezekana mzee sana au elimu na uelewa wake wa kisiasa ni mdogo sana pia hawezi kunyumbulika kutokana na mazingira,haiwezekani uyo mtu atoe ushauli...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amekosoa kauli ya Waziri Patrobas Katambi, akidai kuwa haina msingi wa kisheria na kwamba hana mamlaka ya kufuta mikutano ya vyama vya siasa.
Kuhusu...
Naona dalili za Muungano kuvunjika zinanukia.
Kila kona ya Tanganyika ni minog'ono juu ya Wazanzibari kuwanyonya Watanganyika kwenye kila sekta.
Mfano, teuzi nyingi kwa sasa wanapewa Wazanzibari...
Awamu zote hiii awamu kiboko Ina viongozi mzigo kuanzia kitongoji mpka huko juu kwenye mihimili wana uwezo mdogo sana IQ na EQ zao kwakweli zinatia mashaka makubwa sana...
Nadhani wafuasi wa chadema huwa Wana high expectations za kisiasa ambazo hazipo nchini.
wanajidanganya na kuamini. Nenda hapo Rwanda hakunaga siasa taka kama za chadema.
Leo mmekesha mnaandika...
Maandamano ya 7/7 Dunia inayamulika mwaaaaa !!.
Kesi yao Iko Active ICC.
Si Katambi Wala Muliro Wala Abdul Wala Yoyote yule aliyetayari kutoa Amri ya Kuua.
Matamko yao ya sasa ni Mbinu za Kuuza...
Ni kweli kabisa Katiba ya JMT inaruhusu watanzania kujumuika na kufanya shughuli za kisiasa kwa mujibu wa ibara ya 21 ya katiba ya JMT.
Japokuwa kuna limititations kwa mujibu wa ibara ya 30 (5)...
Nyie UVCCM kauli za wapinzani zinasumu kwenu?
Vipi kauli zenu nyie CCM na kauli zenu ya kwamba ni kauli za asali sana. Embu kuwe weledi hata kidogo basi
================
Baraza la Umoja wa Vijana...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika na Jasiri Muongoza...