Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Stendi ya Mabasi ya Dkt. Samia imeanza rasmi kutoa huduma za usafirishaji leo Mei 27, 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, mkoani Manyara, ikiwa ni hatua muhimu katika kuboresha...
5 Reactions
12 Replies
919 Views
Mbunge wa Viti Maalum Salome Makamba mmoja kati ya wabunge 19 wa Viti Maalumu CHADEMA amekataa msimamo wa Chama kuzuia Uchaguzi huku akisisitiza kuwaunga mkono kundi la G55 ndani ya Chama hicho.
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Mbunge viti maalum Arusha Catherine Magige amvaa kwa matusi mbunge mwenzake. Amemshambulia kwa matusi mbunge Mpina utadhani wapo vyama tofauti. Hii ni dalili tosha kuwa CCM sasa hivi kuna moto...
19 Reactions
164 Replies
12K Views
Mwaka wa uchaguzi. Mada za kifalsafa za uchaguzi. Watanzania wengi wamekuwa wakilitaja suala la kigezo cha elimu cha kugombea ubunge kuwa kujua kusoma na kuandika kama tatizo. Mantiki yao ikiwa...
12 Reactions
49 Replies
1K Views
Wananchi wa Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga wamemtaka Mbunge wao, January Makamba kujiuzulu nafasi hiyo kwani ameshindwa kutekeleza aliyowaahidi wakati wa kampeni. Wamesema, Uchaguzi Mkuu wa mwaka...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Kama ulipata kazi na hukufanya kazi uliyotakiwa kufanya waliokuajiri wanakuja na msimamo wao. Mungu Ibariki Tanzania ---- Bumbuli Wamtaka January Makamba Ajiuzulu Ubunge, Wadai Hana Tija kwa...
1 Reactions
45 Replies
2K Views
Huenda mmeshajua kuwa sehemu kubwa ya Wananchi wana upeo mdogo wa ufahamu kuweza kufikiri na kutambua kuwa mnawapotosha kwa manufaa yenu kulingana na ukosefu wa elimu au kuw na elimu duni...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Wanamchinga wameniambia ya kuwa Ubunge wa Mchinga ni mpaka achoke mwenyewe kuongoza.Kimsingi, anasisitiza kwamba wananchi wa jimbo hilo wamemwambia wataendelea kumchagua mradi atakapojihisi...
2 Reactions
19 Replies
702 Views
Ulipata Uwaziri baada ya kupendekezwa na Wana JF, lakini bila shaka kiwango chako hakikuridhisha. Ulipewa na Ubunge wa bure ule wa Jiwe 2020 lakini sasa mbeleko imetoboka . Tunakutakia Kila la...
30 Reactions
110 Replies
10K Views
Mhe. Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe tarehe 23 Aprili, 2025 amefanya ziara Kata ya Kumwambu amekabidhi Saruji mifuko 50 Shule ya Msingi Kwizera ili kukamilisha nyumba ya...
0 Reactions
8 Replies
496 Views
Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Muhambwe tarehe 19 June 2025 amekabidhi Bati 200 Soko la Mabamba lililoezuka Tarehe 8/02/2024 baada ya kuwa lilikuwa limechoka Tangu kujengwa Mwaka 1983...
0 Reactions
6 Replies
457 Views
Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Muhambwe leo Tarehe 19 June 2025 amekabidhi Bati 200 Soko la Mabamba lililoezuka Tarehe 8/02/2024 baada ya kuwa lilikuwa limechoka Tangu kujengwa Mwaka 1983...
0 Reactions
2 Replies
390 Views
Mbunge wa Jimbo la Gairo Mkoani Morogoro Ahmed Shabiby ambaye anamaliza muda wake amechukua fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Gairo. Shabiby ambaye ndiye aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo...
1 Reactions
7 Replies
947 Views
Jumatano wiki hii watanzania watakuwa kwenye zoezi la upigaji kura kuwachagua wenyeviti wa serikali za mitaa,wajumbe wa serikali za mitaa na wenyeviti wa vijiji. Kutokana na jambo hilo serikali...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wana UBUNGO kwa kauli moja tunaenda na Prof Dr Kitila Alexander Mkumbo (PhD). Barabara za mitaa zimejengwa mfano Manzese, Mabibo, Goba na UBUNGO. Tupewe nini tena? CCM oyeeee!
4 Reactions
49 Replies
2K Views
Katika kila zama za siasa, kuna wanasiasa wachache wenye dira, msimamo, na rekodi safi ambao wanapopata umaarufu na kuwa tishio kwa wapinzani wao, huanza kushambuliwa kwa propaganda chafu, uvumi...
2 Reactions
116 Replies
6K Views
Tangu nchi hii ipate uhuru, hakuna chama cha upinzani kilichowahi kushika hatamu, Je, hii ni kusema CCM ni bora sana? Je, CCM pekee inazalisha genes za wazalendo wa kweli? Kwamba CCM ndiyo chama...
2 Reactions
9 Replies
329 Views
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, kukusanya kura za petition milioni 15 ni hatua muhimu kwa Chadema. Katika muktadha wa sera yao ya "No Reform, No Election," hatua hii ina faida nyingi ambazo...
2 Reactions
12 Replies
929 Views
https://www.youtube.com/live/1ItuJDYxY40?si=N0pVPil_hULmcM37 Wakuu, CCM wanafanya mkutano wao mkuu maalum leo na kesho (May 29-30) Dodoma, nadhani an wengine watafuatilia mahala walipo kwakuwa...
8 Reactions
71 Replies
6K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, leo tarehe 17 Mei 2025 amezungumza na waandishi wa habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom