Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Yanayoendelea nchi hii, kila mtu anaona na hata mwenye akili ndogo kama za kuku, anajua kabisa kuna biashara haramu ya kugawan majimbo kwa kisingizio cha wahusika kushinda uchaguzi. Kwahiyo...
1 Reactions
3 Replies
374 Views
Katika wale waliohamia CHAUMMA Kuna ambaye Ruzuku haikumpa Mshahara? Katika ile orodha sijaona mpambanaji ninayemjua zaidi ya Rungwe aliyesusia Bunge la Katiba Tukumbushane 😂 RIP Shujaa
4 Reactions
24 Replies
972 Views
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ametoa agizo la kujazwa kwa nafasi zote zilizoachwa wazi na viongozi waliojiondoa kwenye chama hicho, ili kuimarisha uongozi na kuendeleza kampeni yao ya "No...
10 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakuu, Wanachama zaidi ya 200 wakiwemo viongozi 28, watangaza kujivua uanachama CHADEMA Zanzibar, wakilalamikia kile walichokiita ukandamizaji na upotevu wa mwelekeo ndani ya chama hicho. Uamuzi...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Kuna mambo kwa kiburi chetu Cha uzima tunaweza kubishana lakini si-utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan, Nani asiyejua hii PPP ilianza tangu enzi na enzi lakini chini ya mama huyu matokeo...
24 Reactions
130 Replies
5K Views
Rosemary Mayemba ni mjumbe wa kamati kuu ya Chadema. Alikuwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Njombe kabla uchaguzi haujafutwa ambapo yeye Rose anadai uchaguzi ulikuwa na figisu. Sio lengo langu kujadili...
5 Reactions
17 Replies
879 Views
Leo tarehe 21/05/2023 ni kumbukumbu ya ajali mbaya ya meli Buboka, ajali iliyosababisha pigo kubwa kubwa kwa watanzania waliopoteza na wapendwa wao kwenye ajali hiyo iliyotokea 21/05/1996. Tukio...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Yale ya COVID 19 kule CHADEMA ni ngumu kutokujirudia huko CHAUMMA, Wanawake mnakwenda CHAUMMA Kwa malengo ya viti maalum fanyeni hivyo Kwa tahadhari Sehemu sahihi ni CCM tu.
1 Reactions
5 Replies
395 Views
Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko...
4 Reactions
88 Replies
3K Views
Wakuu, kuna uhitaji au ulazima wowote wa kujenga ofisi mpya za mkuu wa mkoa wa Dar es salaam zikiwa zimetolewa bilioni sita sasa, Ofisi zilizopo sasa zina changamoto gani mpaka kutaka kujenga...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni? Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu ziara za mwenezi wa CCM. Zaidi ya kumsikia akitaja mara mbili mbili tatu CHADEMA, Lissu sijamsikia hata mara moja akitaja mengine ambayo...
0 Reactions
2 Replies
308 Views
Wakuu Watu wa uyole wamefikiwa sasa, Stuxnet upo wapi, Spika Tulia Akson Mwansasu atakubali kuliachia jimbo la Mbeya mjini uchaguzi wa mwaka huu akagombee Uyole? Waziri wa kilimo Hussein Bashe...
1 Reactions
7 Replies
935 Views
Ndugu zangu kwa hali hii sasa ma papa wamejipanga kupeana vitengo wao kwa wao kwa mipango yao. Tayari wanataka waonyeshe kwamba kuna demokrasia kumbe ni hakuna kitu. Mwananchi wa kawaida kazi...
4 Reactions
17 Replies
705 Views
CHADEMA mbinu za kuwaleta au kuwatumia makasisi na maustaaz baada ya kuzimwa wamejaribu kumreta Kirua, hivi hawa waliopo Tanzania akina hawatoshi kumtetea mkubwa wa kudharau wenzake? Mimi...
1 Reactions
9 Replies
557 Views
Mzee Kikwete akitoa neno katika msiba ya Hayati Mzee Cleopa Msuya, amesema Mzee Msuya hakuwahi kuitisha waandishi wa Habari na kuanza kuisema Serikali inafanya mambo ya ovyo (Walio msibani...
13 Reactions
113 Replies
7K Views
Kuna wimbi la wanasiasa na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kukihama chama hicho kikuu cha upinzani na kuhamia chama kingine cha upinzani cha Ukombozi wa Umma (Chaumma)...
0 Reactions
4 Replies
622 Views
Msemaji wa serikali ya Tanzania mh Gerson Msigwa amesema Wakenya waliojaribu kuingilia mambo ya ndani ya nchi yetu wote watatu wamerejeshwa kwao Msigwa mmoja kati ya hao watatu Ana historia ya...
1 Reactions
4 Replies
399 Views
Akifanya mahojiano na Bongo FM Pascal Mayalla nimekusikia ukisema waliohamia CHAUMMA, hakuna aliyewahi kuwa na jimbo, bila malegend waliowahi kuwa wabunge chama hicho hakitoboi. Pia nimekusikia...
1 Reactions
6 Replies
734 Views
JIMBO LA HANDENI MJINI NA SIASA ZA 2025. Kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba, 2025 tumekuwa tukiona harakati za kisiasa zikipamba moto kwenye majimbo mbali mbali Nchini. Jimbo la Handeni mjini ni...
0 Reactions
0 Replies
584 Views
Kila nikiutafakari Uchaguzi mkuu wa October naona kabisa MAZOEA na KUKARIRI yaliyopita hakuna nafasi Mambo mengi yatakuja kwa surprise Chadema ya sasa imesheheni Watu wa taaluma ya Sheria wana...
0 Reactions
5 Replies
388 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…