Mh.Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM CDE Samira Khalfan Amour amejenga uwanja mpya wa mpira wa pete biharamulo katika kuunga mkono kazi ya kukuza michezo mkoa wa kagera kama ilivyotafsiliwa katika...
Kubinafsisha bandari zetu
Usimamizi mbovu wa matumizi ya umma
Ukosefu wa ubunifu na kuendesha serikali kwa mazoea
Utekaji
Uhalalishaji na wizi wa mali za umma(kila mtu ale kwa urefu wa kamba)...
Katika ulimwengu wa sasa unaoendeshwa na mitandao ya kijamii na siasa za taswira, picha zimekuwa silaha yenye nguvu ya mawasiliano. Mara kwa mara tunashuhudia viongozi wa kisiasa, watu mashuhuri...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Tanzania, Padre Charles Kitima awavaa viongozi wa dini kwa kushindwa kukemea maovu yanayoendelea nchini humo hasa kupotezwa kijana Soka na...
Umewasaliti wenzako na umebariki utekaji, Uuaji, upotezwaji and the like!
Uliwahi kusema hujalelewa kupingana na serikali! What kind of this statement!
Anyway, Lakini una Mke na watoto lazima...
Mbunge wa Mkuranga ambae pia ni waziri wa ujenzi,
Pesa hizi anazogawa hadharani kama njugu anazipata wapi?
Je ni dalili ya ufisadi, rushwa na wizi wa mali ya umma?
Mbona anajiamini sana katika...
Chaumma kimekamata siasa za nchi. Taarifa niliyopata ni kwamba chama kimeagiza viongozi wake waitishe wana chama kutoka maeneo ya mbali na hata wilaya jirani wahudhurie mikutano yao. Lengo...
Mwembechai na Kwamtoro, ni misikiti miwili ambayo ilisababisha machafuko makubwa ktk nchi. Naweza kusema haijawahi kutokea hapo kabla na baada. Lakini Hatukusikia Serikali Ikifuta dini ya...
Musoma,Kada mpya wa chauma bwana Mwalimu anatumia muda mwingi kuisema Chadema
Bila aibu anasema ameikopesha chadema mamilioni ya pesa na anawadai asiulizwe pesa za chauma wanazitoa wapi
Mwalimu...
Wakuu habari za muda huu.
Uwanja wa siasa Tanzania umeanza kuchangamka na hii ni baada ya mchungaji maarufu kutoka Tanzania, Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee Wa Upako kugusia sakata la Shadrack...
Hii familia ya mzee kijani imajaaliwa kutawala kijiji chetu kwa muda mrefu. Walikuja watawala wengi kutoka katika familia hii wakafanya mambo mazuri na wakaharibu lakini si kwa kiwango hiki...
Nipo Chato sisemi uongo Gwajima anafatiliwa vibaya mno Nina washaurini sana mtu pekee ambae anaweza kuja kanda ya ziwa akashindana na wapinzani wa kweli sio Akina Chaumma ni Gwajima
Ila nyie...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, ametangaza kuwa chama hicho kitafungua kesi kupinga uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa, akisema ni kinyume na sheria na demokrasia. Ametoa...
Sijui msikitini ikoje lakini Kanisani Chama cha siasa hakiwezi kupandikiza mtu wake labda kwenye hizi huduma kama za akina Mwamposa lakini siyo KKKT, Anglican au Katoliki
Kanisa linadumu milele...
Msururu wa dalili zisizo na shaka kutoka ndani ya mfumo wa kisiasa wa China katika miezi ya hivi karibuni zinaonyesha kuwa nguvu ya Xi Jinping madarakani inadhoofika na kwamba kuondolewa kwake...
Ndugu zangu watanzania.
Nipende tu kuwakumbusha kwamba hali ya kisiasa kwa sasa sio nzuri. Kwa wanasiasa watafikiri ni kwa sababu ya uchaguzi, lakini ukiangalia kwa jicho la tatu uchaguzi sio hoja...
Sehemu kubwa ya hawa wote niliowataja, ndo wanachochea matumizi ya vyombo ya ulinzi ktk amani ya nchi. Bahati mbaya baadhi yao hawakwenda jeshini kwa kukwepa sheria iliyokuwepo. Yawezekana kabisa...
Wakuu, kwa hali ya kisiasa ya style hii katika nchi, kuna harufu pengine jeshi lililo upande wa wananchi likaingilia kati, ipo siku tutalala tukiongozwa na Rais tunayemjua tukaamka na mamlaka ya...