Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwanasiasa James Mbatia ametoa wito kwa Serikali na Viongozi mbalimbali kupata utulivu wa kutatua changamoto mbalimbali zilizopo nchini ili kupata majibu badala ya vuta nikuvute zinazoendelea huku...
12 Reactions
67 Replies
3K Views
Rais Magufuli amezungumza hayo akiwa Mkoani Njombe akiwahutubia wananchi wa maeneo kutokana na kero alizoambiwa na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Sarah Cooke juu ya wawekezaji kupata...
8 Reactions
122 Replies
19K Views
Aloooooo hii ni nomaaa, yaani huyu ndio akapata na nguvu za kutuita sisi kenge? Kweli? Wizara ya Elimu embu njooni mtuambie hapa, hivi mtu anaweza kusoma form four miaka 16? Wachaaa banaaa! Hapo...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari ya wakati huu waungwana! I hope mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu yenu!. Moja kwa Moja kwenye mada yangu. Kitendo Cha mbunge katika BUNGE la jamhuri ya muungano kusakwa kama ngedere...
18 Reactions
79 Replies
4K Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari akiwasilisha maelezo ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2025 (The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2025) Juni...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mimi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa ziara za Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa...
-13 Reactions
115 Replies
6K Views
Mama kuku ana vifaranga vingi sana vimezagaa kila sehemu ya jaa la taka vikijitafutia. Vipo vilivyo dhoofu na vipo vyenye afya tele. Vingine vimeanza kuota mbawa, vingine bado. Lkn kwenye jaa...
0 Reactions
4 Replies
510 Views
Samia wakati anaingia madarakani kama rais alitupa tumaini la kidemokrasia na alisema ataongoza tu awamu moja sasa hivi amebadilika. Samia wa sasa hivi sio yule tunaye mjua aliyesema atatuvusha...
1 Reactions
16 Replies
630 Views
Hapa Panaitwa Mang'ula, Kata ya Mwaya. Wananchi wote wamekubaliana kwamba bila Mabadiliko hakutakuwa na Uchaguzi. Pichani ni Kamanda Ole Sosopi akiwaonyesha wananchi Makaburi ya Wanachadema...
23 Reactions
49 Replies
3K Views
Ikumbukwe kwamba kuna amri ya Haramu iliyotolewa na viongozi wa Tanzania ya kuzuia Viongozi wa Chadema kusafiri Nje ya Nchi. Nabii huyo wa Mungu amenyang'anywa Passport yake na kutakiwa kuripoti...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Wengi wanajiuliza Gwajima yuko wapi? Minong'ono ni mingi lakini ni wazi mpaka sasa hajaingizwa kwenye 'mikono salama'.. Na wakili wake Peter Kibatala kasema mteja wake yuko salaam Gwajima ni...
41 Reactions
95 Replies
5K Views
Nimechukua picha mbalimbali ili kijana wetu Ras Mtimanyongo azihakiki kama halisi au AI Nitarejea Mzidi kuniombea 😁🇹🇿
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Ofisi iliyokuwa ikimilikiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), mkoa wa Mara, imebadilishwa na kuwa Ofisi ya Chama Cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA). Awali ofisi hiyo kwa nje ilikuwa...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Kina Mama washika mabango yenye ujumbe wa "No Reforms, No Election" na "Tundu Lissu Sio Mhaini" katika Kata ya Minepa Kivukoni, Wilaya ya Ulanga, wakionesha msimamo wao dhidi ya kile walichokiita...
3 Reactions
7 Replies
965 Views
Moto wa 'No Reforms No Election' wazidi kushika kasi, tazama Mkutano wa saa 4 asubuhi leo Juni 5, Kata ya Igima, Jimbo la Mlimba (Morogoro), uliohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Chini ya uwakilishi wa mbunge wa jimbo la biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa mamlaka ya maji biharamulo imefanikiwa kuanzisha vituo vya utekaji maji katika vijiji vitano . Zoezi hili litafanyika...
1 Reactions
3 Replies
323 Views
DC Albert Msando amesema Askofu Gwajima ajitokeze kutoka huko alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea. Amesema kama Askofu Gwajima hana makosa ni kwa nini anawaogopa polisi. Pia soma ~...
6 Reactions
137 Replies
8K Views
Hivi ni kweli Samia anaagiza kuku na mayai ya kula Marekani Tena na fly Emirates? Hiki ni Nini wakuu ?? Yaani Tanzania hakuna kuku mayai mpaka yatoke Marekani? Soma Pia: Heche: Serikali ya Samia...
2 Reactions
7 Replies
878 Views
Kufuatia Kauli ya Rais wa JMT, kuwaambia baadhi ya waumini wa Kikristo kuwa Utumishi wao ni wa KISHETANI- je Presidential Department ime compromise intergrity na Misingi ya Taasisi hiyo kuwa...
9 Reactions
20 Replies
1K Views
Hili ndio swali ninalojiuliza mpaka sasa kuhusu hatima ya huyu kiongozi wa dini na ambae pia ni mwanasiasa. Je, na familua yake nayo imezuuwa kuongea chochote? Viongozi wengine wa kanisa lake...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…