Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bara la Afrika ni kubwa kuliko Urusi. Lakini kwenye Ramani inaonekana Urusi ni kubwa kuliko Bara la Afrika. Huku ni kudogosha kwa manufaa ya Wazungu. Kwa upande wa Tanzania, CHADEMA ina wanachama...
2 Reactions
11 Replies
643 Views
Natoa tu angalizo maana naona Chadema wameungana na Wahuni wa nchi jirani kuchafua hali ya hewa mitandaoni UVCCM mko wapi kuwashughulikia hawa wazushi? 🐼
3 Reactions
42 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, akiwa mkoani Morogoro katika ziara ya oparesheni, amesema: "Bila mabadiliko hakuna Uchaguzi, ndiyo oparesheni ya Chama...
6 Reactions
5 Replies
713 Views
Askofu Mkuu wa Makanisa ya SPCT na Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume, Manabii na Madhehebu ya Kikristo Tanzania, Askofu Mussa Mlawi, amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
2 Reactions
3 Replies
625 Views
Nimetawaliwa na ma-rais wa awamu zote Rais Samia Suluhu ndiye rais bora zaidi kuliko wote, Mungu amlinde. Kwenye TANU na CCM nilimpigia mbunge mmoja tu nae ni Severino Supa wa Dodoma mjini na...
3 Reactions
78 Replies
3K Views
"Chadema tunachokitaka tunataka uchaguzi wa kistaarabu sisi diwani tunapata ,wenyeviti wa mitaa tunapata na mbunge tunapata lakini tunapata kwa maumivu makubwa sana" "Ndiyo maana tumesema...
3 Reactions
7 Replies
416 Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu ametoa wito kwa watumishi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kutenda haki katika kusimamia uchaguzi Mkuu wa Oktoba baadaye...
0 Reactions
2 Replies
322 Views
Nauliza tu kama utaratibu wa Madalali wa siasa yaani Chawa unatumika na huko Chadema Pale Lumumba hadi Lucas Mwashambwa ana Vichawa vyake na yeye mwenyewe ni Chawa daraja la v Nawatakia Sabato...
2 Reactions
9 Replies
490 Views
Ukimchunguza Peter Msigwa, kidhabu na muongo wa mwaka, durusu hata marafiki na wandani wake ambao bado wako Chadema. Ukishawajua, jiulize, je Msigwa, swahiba wa Jiwe, alikwenda kuandaa njia kwa...
1 Reactions
6 Replies
511 Views
Shekhe Ponda amesema: Tanganyika na Zanzibar ugomvi mpaka lini? Mara nyingi tumewazindua kutoka kwenye Jinamizi la " MUUNGANO' Dawa kila Taifa lirudi kama zamani tuishi kama Kenya na Uganda...
30 Reactions
108 Replies
8K Views
Bilionea Mo Ibrahim anasema 70% ya bajeti ya umoja wa Afrika AU inatokana na michango ya wazungu. Mo anasema wazungu hao wakitoa fedha za misaada tunawaita washirika wa maendeleo ila wakihoji...
1 Reactions
7 Replies
559 Views
Nina miaka 47 sasa. Tangu nianze kuwafahamu Watanzania hakuna mwaka ambao nimewaona Watanzania wameanza kupevuka kiuelewa na kiakili kama mwaka huu. Mwaka huu inawezekana Mungu anataka kufanya...
43 Reactions
109 Replies
4K Views
Taasisi ya Mama Samia Support, inazidi Kusongesha Gurudumu la Rais Samia Kwa Kauli Mbiu ya ’Kazi Na Utu, Tunasonga Mbele’ Taasisi Hii Leo May 29, 2025 wamefanya Maandamano ya amani yenye Lengo la...
0 Reactions
28 Replies
1K Views
Ndio, ni Bora kuteswa na Mtanganyika labda tutasema amekengeuka, kuliko kuteswa na watu kutoka nchi nyingine ambayo hawana asili na Tanganyika, nikimaanisha wakoloni. Baba hata akiwatesa lakini...
11 Reactions
31 Replies
1K Views
Salaam, Ndugu huyu ni mkweli sana, amenyooka, penye mapungufu ya Magu a asema wazi, na penye mazuri ya Magu pia anaeleza kwa haki. Anamsema wazi kuwa Magu alikuwa mzalendo wa nchi yake. Naanza...
22 Reactions
82 Replies
3K Views
Kabla hata Hiyo Tume haijatangaza tarehe ya kutoa fomu, tayari ccm washatangaza. Hii maana yake ni kwamba ama ccm wanaipangia Tume au Tume inaripoti kwa ccm kwanza kabla ya popote. Ni aibu...
16 Reactions
35 Replies
2K Views
Askofu Mkuu wa Makanisa ya SPCT na Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume, Manabii na Madhehebu ya Kikristo Tanzania, Askofu Musa Mlawi, ameibuka na kulaani vikali vitendo vya utekaji...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
"In the journey to Election 2025, you may fail to win votes, you may lose allies or even battles, but never fail your mind, never lose your reason. For when the mind stands firm, leadership can...
1 Reactions
1 Replies
349 Views
Huku kwetu Katonto mkoani Rukwa, kila aliyekuwa anapuuza chochote sasa ameanza kuzinduka usingizini! Mamia wamejitokeza kuhudhuria ibada ya Jumatano jioni, wakiwemo wanachama wa CCM ambao kwao...
3 Reactions
19 Replies
772 Views
Viongozi wa dini mnao hamasisha Amani Mnashindwa nini kuhamasisha Haki. Haki ikitawala mambo Mengine yote yatafuata ikiwepo hiyo amani mnayoihamasisha. Kiongozi wa dini unaanzaje kuiona amani...
2 Reactions
4 Replies
350 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…