Jumuiya ya umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi wilaya ya biharamulo imempa tuzo ya uwakilishi bora uliotukuka mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa kama ishara ya kukubali kazi kubwa...
Je, kwanini CCM muda unavyozidi kwenda kinabadilika kutoka kwenye mwenendo na falsafa ya katiba ya chama?
Nani anaidanganya CCM kuwa watanzania hususani watanganyika wataendelea kuvumilia uonevu...
Ni wazi kuwa watu wamebaki kuwazawaza kuhusu maneno ya Rais Samia alipowapongeza KKKT kwa kazi nzuri huku akisema "sio kama yule na dini za kishetani". Watu wanaweza kufikiri alikuwa anamzungumzia...
#rent
#STAND_ALONE HOUSE
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI
———————————————————
KODI USD 1300$/=KWA MWEZI
________________
MALIPO YA MIEZI 6
————-
IKO PEKE YAKE...
Waziri wa JK kuburuzwa mahakamani
WAZIRI wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe, aweza kufikishwa mahakamani, kujibu shitaka la utapeli. Anatuhumiwa kumtampeli raia kutoka Korea, Chris...
Mwanasiasa James Mbatia ametoa wito kwa Serikali na Viongozi mbalimbali kupata utulivu wa kutatua changamoto mbalimbali zilizopo nchini ili kupata majibu badala ya vuta nikuvute zinazoendelea huku...
Rais Magufuli amezungumza hayo akiwa Mkoani Njombe akiwahutubia wananchi wa maeneo kutokana na kero alizoambiwa na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Sarah Cooke juu ya wawekezaji kupata...
Aloooooo hii ni nomaaa, yaani huyu ndio akapata na nguvu za kutuita sisi kenge? Kweli?
Wizara ya Elimu embu njooni mtuambie hapa, hivi mtu anaweza kusoma form four miaka 16? Wachaaa banaaa! Hapo...
Habari ya wakati huu waungwana! I hope mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu yenu!.
Moja kwa Moja kwenye mada yangu. Kitendo Cha mbunge katika BUNGE la jamhuri ya muungano kusakwa kama ngedere...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari akiwasilisha maelezo ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2025 (The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2025) Juni...
Ndugu zangu Watanzania,
Mimi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa ziara za Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa...
Mama kuku ana vifaranga vingi sana vimezagaa kila sehemu ya jaa la taka vikijitafutia. Vipo vilivyo dhoofu na vipo vyenye afya tele. Vingine vimeanza kuota mbawa, vingine bado.
Lkn kwenye jaa...
Samia wakati anaingia madarakani kama rais alitupa tumaini la kidemokrasia na alisema ataongoza tu awamu moja sasa hivi amebadilika.
Samia wa sasa hivi sio yule tunaye mjua aliyesema atatuvusha...
Hapa Panaitwa Mang'ula, Kata ya Mwaya.
Wananchi wote wamekubaliana kwamba bila Mabadiliko hakutakuwa na Uchaguzi.
Pichani ni Kamanda Ole Sosopi akiwaonyesha wananchi Makaburi ya Wanachadema...
Ikumbukwe kwamba kuna amri ya Haramu iliyotolewa na viongozi wa Tanzania ya kuzuia Viongozi wa Chadema kusafiri Nje ya Nchi.
Nabii huyo wa Mungu amenyang'anywa Passport yake na kutakiwa kuripoti...
Wengi wanajiuliza Gwajima yuko wapi? Minong'ono ni mingi lakini ni wazi mpaka sasa hajaingizwa kwenye 'mikono salama'.. Na wakili wake Peter Kibatala kasema mteja wake yuko salaam
Gwajima ni...
Ofisi iliyokuwa ikimilikiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), mkoa wa Mara, imebadilishwa na kuwa Ofisi ya Chama Cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA).
Awali ofisi hiyo kwa nje ilikuwa...
Kina Mama washika mabango yenye ujumbe wa "No Reforms, No Election" na "Tundu Lissu Sio Mhaini" katika Kata ya Minepa Kivukoni, Wilaya ya Ulanga, wakionesha msimamo wao dhidi ya kile walichokiita...
Moto wa 'No Reforms No Election' wazidi kushika kasi, tazama Mkutano wa saa 4 asubuhi leo Juni 5, Kata ya Igima, Jimbo la Mlimba (Morogoro), uliohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa...