Kuna kundi la wakristo wakisema waislam sio wapenda haki na kua wanatetea Samia, mara waseme tatiso ni elimu, hii yote ni kutokana na matamko ya BAKWATA, mkiendelea na utaratibu hii mtaifitinisha...
Team Maalim ilipohama CUF na kujiunga na ACT hukuwahi kuwasikia wakiwashambulia CUF, sio Lipumba , Sakaya wala Nachuma. Sii Jussa, Maalim mwenyewe wala Mansour
Hii tofauti na viongozi wa CHADEMA...
Nimeshangazwa na kauli ya ajabu Sana na iliyojaa visasi, hasira na chuki kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM.
Kutamka kuwa "Wengine ni watumishi wa Shetani" huku tukijua fika anamlenga Nani ni...
Leo Juni 7,2025 baadhi ya viongozi wamezuia eneo la comments kwenye account zao za mitandao ya kijamii kufuatia wimbi la wafuatiliaji kuandika kauli ya 'No Reforms No Election' kwenye kila post...
Huwa narudia mara kwa mara kusikiliza hizi nasaha za Mufti Zubeir
Huu ni mwaka wa uchaguzi basi tuchague viongozi kwa akili na siyo kujichagulia tu kwa kushawishiwa bila uelewa wako madhubuti...
MOJA ya Jukumu kubwa la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni kuchunguza Malalamiko au tuhuma zinazotolewa na wananchi dhidi ya kiongozi fulani wa umma, Mwigulu Nchemba amekuwa...
Ukiitazama na kuisikiliza hii video ya unabii huu toka kwa Mwl. Steven Jacob, toka Arusha, inafikirisha na kutafakarisha kiasi chake. Tazama na sikiliza👇🏻👇🏻👇
Kwa ufupi sana kwa wale wasio na...
Hii safari ya Boti kusafirishwa kutoka Mtwara hadi Mwanza naona inatangazwa sana mitandaoni
Cha ajabu sasa kwenye hiyo boti kuna bango limeandikwa UOKOZI ZIWA VICTORIA lakini kuna picha ya Samia...
Mahakama ya Tanzania imeondoa Maudhui ya Kesi ya Tundu Lissu kwenye Akaunti ya Mtandao wake wa YouTube. Hii ina maana gani?
Ikumbukwe, zaidi ya watu 18,000 walifuatilia kesi hii 'Live' kwenye...
Mheshimiwa Rais wa Tanzania na serikali yake walikuja na dhana ya 4R kama dira ya kujenga taifa lenye umoja, maendeleo na demokrasia. Dhana hii ya 4R ilijumuisha:
1. Reconciliation (Maridhiano) –...
Raisi wa Pili wa Gabon raisi Bongo aliwahi zuia Mwanamziki wa Rumba Oliver Ngoma asiende kutibiwa Ufaransa kwa sababu za kisiasa make wakati huo Oliver Ngoma alikuwa maarufu sana kuliko Raisi...
Kama mchango wangu mdogo katika hizi juhudi za kila Mtanzania mpenda nchi yake ya kuijenga Tanzania mpya yenye siasa safi, uchaguzi huru na wa haki, uongozi na utawala bora nimetengeneza wimbo huu...
===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,
Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono...
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo 07/06 2025, Chadema badala ya kuita Matajiri wenye uwezo wa kuchinja chochote na kula nao Idd, ili kutafuta sifa kama wanavyofanya viongozi wengine, Wao...
"Wakati vijana wa Ulaya na Asia wanaitumia AI kuingiza mamilioni, vijana wa Tanzania, Kenya na Uganda wako bize kuvua viongozi nguo, kuwaweka kwenye majeneza na kuedit picha za mizinga. Halafu...
Nimeshitushwa na umati wa Wasichana waliojitokeza kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura, huku Tandika Mwembeyanga, wasichana na akina mama wametia fora.
Lakini baada ya timu yetu kuanza...
>>Video iliyokuwa inaeleza uhalisia na uamusho kwa binadamu waliolala na kuoteshwa imefutwa mtandaoni >>>>
### Utangulizi
Wazo la "Matrix" limejikita katika tamaduni maarufu tangu kuanzishwa...
Hapa kuna hotuba ya kishetani iliyojaa mawazo na hisia, iliyotolewa na P. Diddy na kuongezea kina katika muktadha wa kutafakari kuhusu roho na nguvu:
---
Katika giza la usiku, tunakutana na...