Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa TFF Wallace Karia wa kipindi cha Rais Magufuli ni tofauti kabisa na Wallace Karia wa kipindi cha Rais Samia, au ndiyo anakula kwa urefu wa kamba? Wallace Karia wa kipindi cha Rais...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Rais Samia ameanza kuiga mambo ya mtangulizi wake aliyekuwa anakwambia wananchi yakuwa hawana naendeleo kwa sababu walichagua upinzani. Sasa Rais Samia amemchukia mpina kisa kusema ukweli Kwa...
2 Reactions
9 Replies
401 Views
Uhimilivu wa Deni la nje kulinganisha na Pato la Taifa umefikia Asilimia 35.4% Kati ya 40% , hivo kubakisha 4.6% tu kufikia Ukomo Elekezi !! Kile kiswahili Cha kwamba, Deni letu linahimilika...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Yapo Manung'uniko kwamba Mabadiliko ya sasa ya baadhi ya Maofisa wa Jeshi la Polisi yamechagizwa na Madhara ya Mikutano ya Chadema ya No Reforms No Election. Taarifa za ndani zinaeleza kwamba...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Ukitafakari kwa makini, utagundua huu ndio ujumbe ambao Mpina alikuwa anajaribu kuifikisha kwa Mama Samia. Mpina alilenga kuwakosoa wanaosema hawamdai Mama wakati hii nchi na watu wake ni...
11 Reactions
20 Replies
1K Views
Mbunge wa Bariadi na Naibu Waziri wa Maji, Kundo Mathew anadaiwa kutumia jina FEKI kupata elimu na kazi. Inadaiwa Kundo alibadilisha jina baada ya kufeli na kurudia darasa la saba. Jina halisi la...
0 Reactions
1 Replies
479 Views
Sasa anaposema kama hujui tulikotoka kaa kimya yuko sahihi kabisa Wasira alikuwa jirani yangu pale Makangira ni Mzee mmoja mwenye busara sana Tumegonga sana beer pale Leecars akiwa na swahiba...
0 Reactions
0 Replies
199 Views
Hello wana Jukwaa; Kama nlivyotangulia kusema kuwa mimi sio Mtabiri, wala mfuatiliaji wa siasa kiviile na sijui mengi katika mambo ya siasa. Ila mimi huaga hata katika maisha yangu ya kawaida...
0 Reactions
0 Replies
327 Views
Mambo Yasiwe Mengi; Huu uzi ni Maalum kwa Ajili ya Pini za Luhaga Mpina. Sasa Hizi Pini za Luhaga Mpina Sifa yake ni Zianze na Mheshimiwa Raisi Sisi Wakazi wa Bado Tunakudai___ Hivyo kama Hao...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Kwa msiojua hii ndo Modus Operandi ya CCM katoka kuendelea kuwalaghai Watanzania na Jumuiya ya Kimataifa kuwa Wanapendwa nchini ( Wana Popular Support). Wanajua kabisa hawawezi kujaza mikutano...
11 Reactions
29 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti Tanganyika, John Heche kuzungumza na Watanzania kupitia Chadema Media TV YouTube, Jioni hii baada Polisi kuzuia Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliokuwa ufanyike leo Juni 17...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
Bora ule muda ningeenda zangu VETA nisomee ufundi wa mabomba au umeme, nikitoka niende English course ili nifanye mtihani wa kiingereza wa IELTS au PTE baada ya hapo nitafute kazi ughaibuni au...
1 Reactions
2 Replies
261 Views
Kijana umekosa adabu mbele ya viongozi wako. Kabidhi jimbo kwa mwingine kusubiria uteuzi. Asante
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Kajitangaza kawa ni mshindi tiyari wa urais, ni yeye anayeamua nani awe au asiwe mbunge, tiyari keshaanza kugawa nafasi zake 10 za ubunge. Je kuna haja tena ya kupoteza mabilioni ya kodi zetu...
4 Reactions
3 Replies
457 Views
Mchumi nguli nchini Dkt Bravious Kahyoza amelalamikia kitendo Cha Bunge kuendelea kubeba watu wenye elimu ya kujua kusoma na kuandika Kwa ni sawa na upotezaji wa bure wa rasilimali za Taifa, Soma...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Kauli ya Mh Rais kwa wananchi wa kisesa dhidi ya mbunge wao imekaaje ovyo sana. Yaani Rais anawataka wananchi wa kisesa kuchagua mtu mwingine sio mpina kwa madai ya mpina kuzungumza utsifa na sio...
1 Reactions
2 Replies
303 Views
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, Daud Nyalamu amesema kutokana na utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo wilayani humo, wao hawana deni kwa Rais wa Jamhuri ya...
1 Reactions
5 Replies
456 Views
Hii nimeona huko Kenya Prof mmoja akiwaeleza wafuasi wa Kenya Kwanza Je, unakubali kunakuwaga na Amani ya Mchongo? Ahsanteni sana 😁
0 Reactions
5 Replies
213 Views
Aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Vyuo na vyuo vikuu mkoa wa Dodoma 2022-2023) Salum Ismail Salum ametangaza nia yakugombea ubunge jimbo la Kahama Mjini baada ya serikali ya awamu ya sita chini ya...
2 Reactions
10 Replies
522 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…