Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Bariadi Eng Kundo Mathew wakati akitoa hotuba yake fupi mbele ya Rais amesema wanabaridi wanamdai fomu ya kugombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM, mengine waachiwe wanabariadi...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Habari za muda wana JF Nimefuatilia kwa muda matukio mbali mbali yanayoendelea kwa sasa nchini kwetu na nimeona niweke uzi huu kujadili athari chanya au hata hasi inayoweza kuletwa na matukio...
1 Reactions
5 Replies
532 Views
Mods tunaomba hizo habari za Vita ya Israel na Iran ziunganishwe kwani zimekuwa kero na nyingi ni za uongo. Nawasilisha.
8 Reactions
25 Replies
869 Views
Ahadi zote za maendeleo ziko kwenye ilani ya Uchaguzi ya CCM hata zile zinazoahidiwa na Rais kwenye mikutano huinguzwa kwenye ilani Mbunge wa CCM ni Mjumbe wa vikao vyote vya maendeleo wilayani...
1 Reactions
13 Replies
820 Views
Rais Samia wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi Mkoani Simiyu amesema ni lazima maendeleo yetu tujizatiti wenyewe. Halmashauri zote zijitahidi katika makusanyo mapato, kwa upande wa TRA...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
"Serikali ya awamu ijayo (2025–2030) ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina budi kupunguza ukubwa wa baraza la mawaziri, na kurekebisha sheria za kodi ziwe jumuishi kwa kila mmoja. Zaidi ya...
0 Reactions
0 Replies
226 Views
Baada ya habari za utekaji kufikia mabeberu na watu wengi wakilalamika akiwemo josephat gwajima Jeshi la polisi limeamua kufanya siasa kwenye kushughulika na hili swala badala ya weledi...
4 Reactions
3 Replies
415 Views
Aliyekuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa CHADEMA na Mtia nia wa Ubunge katika Jimbo la Rombo, Andrea Lemnge Oisso, ametangaza kujivua uanachama wa chama hicho akilaani msimamo wa kususia...
0 Reactions
10 Replies
698 Views
My Take Naungana kabisa na Mzee Wasira ,wajinga wanachoweza ni kuropoka tuu vitu wasivyovijua. https://www.instagram.com/p/DLDLtKzhNPA/?igsh=MWdhdGVha2o1MnR1ag==
0 Reactions
7 Replies
347 Views
Bakhresa kwa kawaida huwa hachanganyi biashara na Siasa na anaing’arisha Tanzania duniani kote Nawatakia kheri mnapokwenda kusherehekea miaka 50 ya Kampuni yenu Nimekuwa mteja wenu tangu 1970s...
1 Reactions
5 Replies
476 Views
Moja ya mambo yanayowafanya CCM kutotaka kamwe kusikia kauli mbiu ya CHADEMA ya NO REFORMS NO ELECTION ni pamoja na ukweli kwamba tayari CCM wameshatumia mabilioni ya wananchi kuagiza na kuandaa...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Katika dunia ya leo, ambapo wenye mamlaka hupuuza kanuni na kupata wanachotaka, mtu anaweza kujiuliza. Je, falsafa na maadili yana maana yoyote? Ikiwa ukweli haubadilishi matokeo, kwa nini basi...
0 Reactions
6 Replies
380 Views
Eti wanyonga Pedeli. Lengo la kuchukua Mzigo wa Baiskeli ni nini .?.
1 Reactions
8 Replies
443 Views
Dini sio mhimili miongoni mwa mihimili kwenye taifa. Kazi kubwa kupita zote za dini ni kukusanya sadaka na kazi nyingine zitafuatia tu. Hakuna tukio Wala kusanyiko la dini lisilokuwa na utoaji...
6 Reactions
77 Replies
2K Views
Poleni Watanzania. Kwako Mama Samia Suluhu, nakuomba sana uturudishie haki yetu iliyopotea ghafla ya fao la kujitoa NSSF. Nakuomba sana futa sheria kandamizi dhidi ya Wafanyakazi. Mtu anaacha...
25 Reactions
88 Replies
13K Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema tangu kupata uhuru Tanzania imepata maendeleo makubwa na kwamba wanaosema hakuna kilichofanyika ni vema wakakaa kimya...
0 Reactions
4 Replies
614 Views
Waziri wa maji Mhe Jumaa Aweso amesema Rais Samia amefanya kazi kubwa sana katika Sekta ya Maji kwa wilaya ya Bariadi, Mkoa wa Simiyu na Tanzania kwa ujumla wake hadi kufikia hatua ya kutambulika...
1 Reactions
3 Replies
390 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (@ccmtanzania) Tanzania Bara, Stephen Wasira amezuru kuburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk. John Magufuli, Chato mkoani Geita. Wasira amezuru kaburi...
0 Reactions
7 Replies
622 Views
Mungu amekupa nafasi ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa raisi wa Tanzania tangu Mungu iumbe Tanzania. Badala ya kuitumia nafasi hiyo vizuri ili ionyeshe watanzana na dunia zima kuwa hata wanawake...
4 Reactions
1 Replies
319 Views
Kila zama na kitabu chake, na kondomu ilitengenezwa ili iweze kutumika mara moja tu na baada ya hapo kutupwa mbali kama uchafu hatarishi. Huenda hichi ndio kinaendelea vichwani mwa wabunge wa...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…