Waziri wa Uchukuzi Makame Mbarawa awasilisha ripoti maalumu ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM kwa miaka mitano jimbo la Mkoani Pemba
Akiongea na Viongozi pamoja na wanachama...
1. Majengo ya Makao Makuu - AU Addis Ababa (Msaada toka China). EAC, Arusha (Msaada toka Ujerumani).
2. Bajeti zaidi ya 60% kutoka kwa wafadhili (hususani EU, huku wanachama wakisuasua kutoa ada...
ACT wazalendo wako na Shehe Ponda
Chadema wako na Askofu Mwamakula
CCM wana mixer ya Maaskofu, Mashehe, Manabii na Waganga wa Kienyeji yaani Wapiga Ramli
Uchaguzi utakuwa 🔥 sana
Hivi Samia Hana ata aibu, yaani nchi iteketeze sh 1 trillion afu contenders wake ni Rungwe,Dovutwa,na Lyemba.
Afu atatangazwa Kwa ushindi wa 98% na yeye kuchekelea.
Waangalizi wa kimataifa...
Katika historia ya maendeleo ya bara la Afrika, misaada kutoka mataifa ya Magharibi na Ulaya imekuwa ikichukuliwa kama suluhisho la umasikini na njia ya kuinua hali za kiuchumi na kijamii. Hata...
Mpaka sasa, mwenendo wa baadhi ya viongozi wetu unaashiria kuwepo kwa tatizo la kina la kisaikolojia ambalo linahitaji kuchambuliwa si kwa mihemko, bali kwa misingi ya kitaalamu ya clinical...
Huwa nasikitika sana tu yuvisisiemu namna tunatumika masikini na wanasiasa. Hawa wanasiasa wanawatumia tu ili wao wafanikishe mambo yao. Mwisho wa siku nyie mnabaki masikini wa kutupwa.
Enyi...
1. Wananchi ndio waamue kiongozi wanaye mtaka, tofauti na sasa ambapo kura ya raia haina thamani
2. Wananchi ndio wawe sauti ya mwisho kwenye maamuzi
3. Lipatikane bunge lan wananchi litakalo...
Maendeleo ya nchi yataletwa na sera nzuri za kitaifa sio za Jimbo moja la uchaguzi au Mbubunge pale Jimboni kwake.Hizi hadaaa zina tucost sana.
Hizi mindi set ndio hufanya wananchi mfano kule...
Tarehe zimewadia za kujua wale wote waliochoka kufanya kazi ya uteuzi na sasa wanataka kufanya ya ubunge.
Dakika chache zijazo kama siyo siku chache tutaona Mkeka kama Mhe. RAIS alivyoelekeza...
Daktari Elly mbobezi wa Falsafa, Teolojia na Saikolojia amesema Amani siyo ukosefu wa matatizo bali uwepo wa Haki
Mtu mwenye Amani ni yule asiye na hatia mbele ya Nafsi yake, mbele ya Jamii na...
Wakuu
=====
Msanii Mrisho Mpoto "Mjomba" Akikaguliwa kabla ya kwenda kuchukua Bahasha Kwa Rais, kinachofurahisha ni mwendo wa Mpoto na Namna alivyokaguliwa kabla ya kwenda kupokea bahasha😂.
"Ni...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametimiza ahadi yake ya kufunga taa za barabarani, hatua itakayowasaidia wananchi kuendesha shughuli za kiuchumi na kibiashara hata nyakati za usiku.
Ufungaji wa...
Na Mwandishi Wetu,
Kahe
Wazee wa mila wa kabila la Wakahe na Wamaasai kutoka Kata ya Kahe Magharibi, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kijiji cha Ngasini, Mhe. Goodluck Meshack Mlay, pamoja na wazee...
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa kupitia chama cha ACT Wazalendo, Janeth Rithe, ametaka Wanawake nchini kutomchagua tena Rais Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi ujao, akidai kuwa kiongozi...
wakuu
===
Rais Samia akitoa zawadi kwa watumbuizaji siku ya leo, alipotembelea kituo cha utamaduni na makumbukusho ya wasukuma Bujora,Kisesa mkoani Mwanza.
MAONI YANGU
Hiki kitendo...
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimetangaza kuwa kitaanza oparesheni maalum ijulikanayo kama C4C Tusonge Mbele kuanzia Mei 30, 2025 jijini Mwanza, kwa lengo la kuwafikia wananchi wa mikoa...
Ni jambo lililodhahiri kwa wengi, juu ya nani ni watekaji na wauaji wa watu wanaowakosoa watawala. Bahati mbaya sana hawa wafuasi wa shetani, wanafanya kila jitihada kuubariki uovu wao kwa kwenda...
Leo account maarufu ya Kiongozi wa machawa waliopo X ( Twitter) imeanza kutoa milio baada ya Watanzania wapenda haki wa X (Twitter) kuanza kuzi tagg account za wafadhili wa Tanzania na mashirika...