Kama kawaida, Vyombo vya habari vya Kimataifa vinazidi kuyaanika maovu ya Serikali ya Samia dhidi ya Wananchi wanaotumia haki yao ya kutoa maoni.
Leo Chombo cha Kimataifa kinachoaminiwa sana...
Demokrasia ni nguvu ya umma katika maamuzi na utawala wao, hio ni kwenye makaratasi ingawa kinachotokea ni tofauti sana hadi kuna siku niliwahi kusema yafuatayo...
Kaka kwanza kabisa nikupongeze na kukupa pole vyote kwa pamoja.
Kumbe kuna kipindi ulipitia moto wa tanuri. Aisee. Lakini wala hukutuambia hapa jamiiforums.
Sasa hukuona umuhimu wa kuomba msaada...
Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ameliambia Bunge la Tanzania kuwa Ushawishi wa Tanzania katika medani za Kimataifa umeongezeka chini ya Serikali ya awamu ya sita na kuiwezesha...
Ni mwanaharakati wa mapinduzi ya kifikra. Ana mtazamo chanya katika kutetea haki,wajibu na maslahi ya walimu. Muadilifu asiye na makandokando ya ubadhilifu wa mali za umma. Hapokei wala kutoa...
Mbunge wa Njombe Deodatus Philip Mwanyika
Kwa msisitizo na kujiamini, Mbunge wa Njombe Deo Mwanyika ameweka wazi bungeni kuwa wananchi wa Njombe hawahitaji kiongozi mwingine — akisema kuwa yeye...
So far hapa tulipofika kuna watu wamepambana lakini haiondoi ukweli kuwa bado tupo nyuma. Huu ndio ukweli wa wazi
Nimekuwa nikiwaza kwa namna gani tunaweza kupiga hatua mawazo yangu yakanituma...
Kumbe namba 5 alihujumiwa Sana
Hajawai fanya tukio lolote baya la hatari bila ushauri
Kumbe hakuwai kuteka Wala kulawiti ila wapambe walitumika Kama double agent na Maadui zake ili kuhujumu...
Vunjo, Kilimanjaro – 27 Juni 2025:
Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Vunjo kimeingilia kati na kutibua maandalizi ya maandamano makubwa yaliyokuwa yamepangwa kwa ajili ya kumsindikiza...
Wananchi wa Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro wamemuidhinisha Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo hilo, Dkt. Godwin Mollel, kuendelea kugombea nafasi hiyo kwa awamu nyingine.
Tukio hilo...
Mimi kama mganguzi napenda tu kuweka mambo sawa! Mwezi huu ndio utakutana na wagonjwa wengi wenye sukari na presha ! Mwezi wa kujidhalilisha ndio huu ! Na Mimi Sasa nimefungua dirisha kuanzia Leo...
Wananchiii wa Tanzania nitawazarau saaana iwapo watakubali kutumia fedha bill 500 kufanya uchaguzi bila tume.
Simba na Yanga wamefanya reforms mechi imepigwa jana.Tume ya Kenya ije Tanzania...
Salaam, Shalom!
Aina ya ukichaa ninayoiongelea Leo, ni tofauti, SI Ile inayotibika hospitalini,
Aina hii ya ukichaa ni Ile ambayo madaktari hupima Kila kitu na kuona kipo sawa, wasione ugonjwa...
Jamani hii ni hatari https://www.facebook.com/share/v/1EnUbatYXF/
Je hii ni AI au ni kweli trump kasema hivi
https://www.facebook.com/share/r/16UtvKxDSw/
Moja ya hoja zilizopendekezwa na wananchi katika rasimu ya Katiba mpya ya Tume ya Warioba ilikuwa ni kuweka ukomo wa vipindi vya mtu kuwa mbunge. Mapendekezo yalisema ukomo uwe vipindi vitatu...
UJENZI WA MADARASA 7 NEMBA SEKONDARI
Jitihada za makusudi za kuhakikisha kuwa uhaba wa vyumba vya madarasa wilayani kwetu zinamfikisha Mh mbunge wa jimbo la biharamulo Eng Ezra Chiwelesa katika...
Kimsingi kila mbunge ana wajibu wa kitaifa na wa kijimbo, lakini katika majukumu yake yote hayo mawili, yeye anastahili kuwa mwakilishi wa maslahi ya wananchi.
Tumeshuhudia mambo ya ajabu katika...
Ndugu zangu, nimekaa na kutafakari, nikaona hebu tujadili pamoja suala hili la uchaguzi ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kumbukumbu tulizonazo tangu tuanze mfumo wa vyama vingi mwaka...