Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi kuna tatizo gani kwenye vichwa vya viongozi wetu? Yaani leo hii unaajiri mtendaji wa kijiji ama mtaa mwenye elimu ya kidato cha nne na cheti cha taaluma alichosomea mwaka mmoja ama miwili ...
2 Reactions
12 Replies
863 Views
Aliyekuwa Katibu wa NCCR Wilaya Rungwe, Benard Mwamenywa amejiunga na ACT Wazalendo leo Julai 05, 2025. Mwemenywa amesajiliwa kidigitali katika chama hicho na Zitto Kabwe; ambaye ni Kiongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
257 Views
Mwandishi wa habari mwandamizi, Ansbert Ngurumo, ameibua mjadala mpana kuhusu mwenendo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akikitahadharisha dhidi ya kile alichokiita “ubinafsi wa...
5 Reactions
58 Replies
3K Views
Kulinda hadhi ya chama hawa watu wawili hawakupaswa hata kusogelea ofisi ya chama Ningekuwa muhusika nisingewapa hata fomu,ningewafukuza kama mbwa mwizi
15 Reactions
69 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Sheikh Zuberi Said Nkokoo (53) mwalimu wa dini na kiongozi katika taasisi ya Islam Foundation mkoani Singida baada ya kutengeneza tukio la uongo la kutekwa...
7 Reactions
45 Replies
3K Views
𝖧𝖠𝖡𝖠𝖱𝖨 𝖬paka wa Kasumulu, pole kwa ukimya wa mda mrefu kufuatia taarifa ya ujumbe wa sauti kutoka kwa Mwenyekiti wa Madereva Nchini Malawi. Iliotumwa na Mjumbe mwenzetu "Ndugu Amani Jackson...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo na Waziri Kivuli wa Fedha katika chama hicho, Kiza Mayeye, amesema licha ya rutuba ya ardhi ya Tukuyu na mvua nyingi zinazonyesha kila mwaka, wananchi wa eneo...
0 Reactions
0 Replies
247 Views
Hakuna Mjumbe atakusikiliza blah blah zako huku unaendekeza ubahili. Toa pesa upigiwe Kura. Kama huna kajiajiri kulima matikiti. NB. Wajumbe Wana familia/bills za kulipa
0 Reactions
11 Replies
508 Views
Ndio kusema hajui kama kuna Mahakama? Amependekiza watu wakatwe vichwa ili amani iendelee kuwepo 👇
1 Reactions
12 Replies
857 Views
Samia Suluhu ni Mgombea wa CCM ambaye atakutana na upinzani mkali kuwai kushudiwa katika Historia ya vyama vingi. Samia atachuana na majabali ya siasa hapa Tanzania kina, Chief Ryemba, na...
2 Reactions
11 Replies
586 Views
Kama Albert Chalamila alibarikiwa saa 10 jioni na Usiku wa Siku hiyo hiyo akateuliwa kuwa Mkuu wa mkoa wa DSM basi wote mliopokea Baraka akiwemo Mh P wa Kinondoni njia ni nyeupe bungeni Yesu...
4 Reactions
13 Replies
756 Views
Mwamposa anasema, kila kitu kimelipiwa na serikali, Kuna nini nyuma ya serikali kulipia fedha zote hizi ambazo zingeweza kujenga km 15 za lami? Angalia hii clip Mwamposa akipngea. Tukio la leo...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Nadhani kwa sasa Mwamposa ni Nabii na Mtume mkuu Africa mashariki Wakenya wamemtaka Ruto badala ya kujenga Jengo la kuanudia Ikulu awekeze Imani ya Roho mtakatifu kwenye mioyo ya Wakenya...
0 Reactions
1 Replies
249 Views
Katika ripoti mpya ya Global Peace Index (GPI) 2025, Tanzania imetajwa kuwa nchi yenye amani zaidi Afrika Mashariki, ikishika nafasi ya 73 kati ya nchi 163 duniani. Ingawa Tanzania imeporomoka...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Mm ni muumini wa dhana ya wajibu wa raia kwa viongozi, kama ulivyo wajibu wa viongozi kwa raia. Kama raia wema tunao wajibu kuikosoa serikali inapokosea ili ijisahihishe, vilevile tunao wajibu wa...
2 Reactions
2 Replies
322 Views
Mchungaji wa Kanisa la Gospel Revival Center, Anthony Lusekelo, maarufu kwa jina la Mzee wa Upako, akiongea kwenye Uzinduzi wa Kanisa la Mwamposa
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Baada ya kumsikia RC Chalamila akiyasema haya pale Kanisani kwa Mtume Mwamposa nilicheka sana Benjamin Netanyahu geukia msitu 😂
1 Reactions
4 Replies
348 Views
  • Poll Poll
1. October Tunatiki 2. No Reforms No Election Haya kazi kwako
1 Reactions
15 Replies
502 Views
Hali ipo hivyo kuanzia kule juu mpaka chini, tatizo nini' mbona inashangaza sana?!!!!!!
4 Reactions
34 Replies
964 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…