Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Foreign wa Kenya Mh Mudavadi amewataka Wananchi wa Africa mashariki kuheshimu Serikali za kidemokrasia zilizopo Mudavadi amesema msiombe mje kuongozwa na wale jamaa wanaotembea na...
1 Reactions
14 Replies
686 Views
Ni Katika Kata Ya Ilolangulu Wilaya Ya mbogwe ambampo basikeli zilikua zmepakiwa nnje ya baa mida ya saa mbili usiku ambapo hata basikeli nyingine tatu zilikuepo nnje Wamiliki wa baskeli hizo...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa Maridhiano na Amani Tanzania kupitia Jumuiya ya Maridhiano Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Mohammed Abdallah Mawinda amesema "Kwa kazi anayoifanya Rais Samia, jukumu letu ni...
1 Reactions
14 Replies
722 Views
Maandamano hayatakuwa mubashara kwenye luninga kwa sababu Katiba yao hairuhusu Ila tutapata fursa ya kufuatilia kupitia mitandao ya Jamii nami nitakuwepo hapa JF kuwajulisheni yanayojiri...
0 Reactions
3 Replies
192 Views
Wakuu, Kada wa CCM Mch Peter Msigwa, amesema Kauli mbiu ya Chadema ya No reform No Election ni kauli butu kwani haiwezi kufanikiwa. Msigwa amesema Reforms zimeshafanyika na uchaguzi uko pale...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nauliza tu katika kujijengea uwezo zaidi kimaarifa Dominica njema 🙏
2 Reactions
53 Replies
1K Views
Yaani hawa maafisa wa haashauri ambao wote kwa mujibu wa kanuni za utumishi wa umma wanatakiwa kuwa watiifu kwa serikali iliyopo madarakani. Uchaguzi hauwezi kuwa huru na wa haki Tunahitaji...
0 Reactions
2 Replies
301 Views
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu. Nikiwa ukweni wilayani Rombo nikifanikiwa kufika katka kata ya SHIMBI KWANDELE, huko nilishuhudia matumizi makubwa ya fedha kabla hata mchujo wa...
1 Reactions
3 Replies
344 Views
Mh. Bashungwa shauriana na Mama yetu, waache watu wamwabudu Mungu wao, maandamano yanayofanywa kila Sunday kwa Gwajima hayana tija na wakiachwa wakasali haina madhara makubwa maandamano yanaharibu...
0 Reactions
2 Replies
226 Views
Wakati Tanzania ikiendelea kujigamba kuwa nchi ya kidemokrasia ya vyama vingi, takwimu haziungi mkono propaganda hiyo. Hii hapa ni grafu inayoonesha wazi takwimu kutoka mwaka 1995 hadi 2020...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Unajua kitu kimoja ni kwamba kuna mambo na hisia ambayo yanakutambulisha wewe ni mtu wa namna gani. Kuna vitu ambavyo vitakutambulisha wewe kuwa mtu mstaarabu au mwenye roho mbaya ya kishetani...
10 Reactions
51 Replies
1K Views
Hii ni hatari misaada ikisitishwa itakuwa ni Kilio na kusaga meno. Hatua iyo ya Amsterdams ni kutokana na ukandamizwaji wa haki za binadamu, na jaribio la kumuwekea sumu Tundu Lissu. Mto wa Mbu...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Hello guys, It's supercalifragilisticexpialidocious on our current political trends not only that but it's flabbergasted, lambasted & distressed. Niende kwenye Mada baada ya kutoa sumu kupitia...
4 Reactions
11 Replies
422 Views
Kwa yanayoendelea naona kabisa Kuwa CCM imeamua kuwa Mungu. Kauli za Viongozi wa CCM Zinaleta sintofahamu, wanaongea Kauli za uchochezi na zinazoweza leta Mgongano, CCM inaongea as if Rais wa...
9 Reactions
35 Replies
3K Views
Jana ikageuka sehemu ya kampeni. Hadi tukasikia kauli za kukata vichwa watu. Daaa! Hii nchi inaongozwa kisela sana. Kale kale kajamaa kalikohubiri tusichanganye dini na siasa Jana kalikuwepo...
2 Reactions
4 Replies
421 Views
- Kwenye ukristo manyanyaso hasa ya watawala huibua hisia kali za Imani. Waumini huamini shetani yupo kazin kuwatenganisha na Mungu wao. - Huko kwenye Bible kuna verse zinazo sisitiza waumini...
3 Reactions
3 Replies
401 Views
Ktk maandamano ya kongamano la pongezi hapo jana.
5 Reactions
29 Replies
920 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Jeshi la Umoja wa Visiwa vya Comoro alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bergamo Moroni leo...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Mtia nia amekwenda ofisini kwake na kumpa rushwa ya Sh. 5,000,000/= live, kwa nini hakuwaita TAKUKURU wamkamate? Je ni moja ya sera za CCM kulindana? Soma Pia: RC- Chacha Agomea Millioni 5 za...
0 Reactions
3 Replies
325 Views
Mtume Boniface Mwamposa akimuombea Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa Ufunguzi wa Kanisa Jipya la Arise and Shine la Mtume huyo.
10 Reactions
98 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…