Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waliofanya hii editing Mungu anawaona. Huu ni upotoshaji na Heche ana haki ya kuwafungulieni mashitaka. Video hapo chini
0 Reactions
5 Replies
491 Views
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, amesema Yanayoharibu taifa nitayasema hata kama wataniita mwanaharakati. Tunayoyafanya sasa hivi Tanzania Venezuela...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Lengo la No reform no election sio watu wachukuwa mawe na kupiga polisi. Lengo kubwa ni kuleta mabadiliko ya sheria za uchaguzi. Kama watalazimisha ni kukakikisha kwa Watanzania wengi...
6 Reactions
9 Replies
872 Views
Samia ameingia madarakani kama Rais miaka minne iliyopita baada ya kifo cha Rais Magufuli. Mwezi october mwaka huu anategemewa kutangazwa tena na Tume ya Taifa ya uchaguzi (aliyoiunda yeye...
3 Reactions
10 Replies
690 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema chama hicho kipo tayari kushiriki uchaguzi kama kutakuwa na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi wanayoyadai kupitia kauli ya 'No reforms No...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia aendelea kuchanja mbuga kwenye mioyo ya watu. Sasa amevuka mipaka na kuanza kuteka hata mioyo ya wageni Kama ilivyokuwa kwa Barack Obama aliyependwa na...
7 Reactions
183 Replies
7K Views
Watumishi wanastastafu, lakini BAdo, CCM na serikali yake wanaendelea kuwakumbatia, wanaungeza gape ya uhaba wa ajira, kuna wafanyakazi tangu enzi NYERERE wapo BAdo serikalini. Thinking tank ya...
1 Reactions
12 Replies
455 Views
Mwenyekiti wa Taifa wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo, Abdul Nondo, amesema kuwa watu wanaowahamasisha wananchi kutoshiriki kupiga kura wanakipa nguvu Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa sababu hatua...
0 Reactions
4 Replies
413 Views
Wakuu, Kama swali linavyojieleza hapo juu Yaani kwa mfano mimi naitwa XYZ muda wa kujiandikisha alafu miezi michache baadae nikabadilisha jina langu kuwa XYS je ina maana nimepoteza haki yangu...
0 Reactions
6 Replies
377 Views
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde (Mb) amebainisha kuwa Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameelekeza kutolewa kwa leseni ya uchimbaji madini ya nikeli kwa...
0 Reactions
1 Replies
390 Views
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema, "Hali ya Nchi yetu kuelekea Uchaguzi Mkuu [Oktoba 2025] ni wazi Maaskofu wanataka Uchaguzi unaozingatia...
15 Reactions
50 Replies
3K Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameishauri serikali kupitia Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) kuwa karibu na wa...
0 Reactions
0 Replies
223 Views
Hii ni kwa vile hakukuwa na sababu yoyote ile ya Maana au ya Kijinga ya kumualika Katibu Mkuu wa CCM kuwa Mgeni Rasmi kwenye Mkutano Mkuu wa TEF. TEF si mali ya Balile na wala si mali ya ccm...
18 Reactions
77 Replies
3K Views
Benki Kuu ya Tanzania inatarajia kuanza kuondoa kwenye mzunguko noti za zamani za shilingi ishirini (20), mia mbili (200), mia tano (500), elfu moja (1000), elfu mbili (2000), elfu tano (5000), na...
13 Reactions
86 Replies
11K Views
Imezoeleka walimu limekuwa daraja la wanasiasa kufanikisha mambo yao. Kila jambo lao linapokwama wataongelea walimu kwasababu hili ni kundi kubwa la watumishi wa umma Kwenye uchaguzi wa serikali...
1 Reactions
16 Replies
758 Views
KUTOKA KIKOMBE CHA BABU hadi MAFUTA YA UPAKO NI Jumapili 6/7/2025, Wakristo tumeenda makanisani, Mahemani na mahekaluni. Uhuru wa kuabudu tunao mpaka unafurika! Hata kuabudu wakati unalia...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Dar es Salaam, Sheikh Mohamed Mawinda, amesea kauli yake kuhusu wanaovunja amai nchini aliyoitoa Julai 5, 2025 haikumaanisha kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Huo ndio ukweli hao akina Sauli wanajitutumua tu Waswahili huwaita “ debe tupu” Nakumbuka tulivyofagia kuanzia Mutukula hadi Kampala dadeki 🥷
0 Reactions
9 Replies
316 Views
“…Takrima za watia nia ya kugombea ni rushwa.” Haya yamesemwa na Bw. Ahmad Sungura, Mkuu wa TAKUKURU (W) Iramba wakati akijibu maswali katika semina ya elimu ya makosa ya rushwa katika uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
263 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…