Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,409
Mwache bora Zimwi likujualoHivi na wewe ndg Frey Coseny sijui kosenyi hivi familia yako huwa inajisikiaje unavyopigika kwenye jua na viatu vimepinda lakini hupewi hata ujumbe wa nyumba kumi? Kweli kupanga ni kuchagua aisee!
huyu mtu-lia atalia muda siyo mrefu
Huyo ni mtekajiHivi na wewe ndg Frey Coseny sijui kosenyi hivi familia yako huwa inajisikiaje unavyopigika kwenye jua na viatu vimepinda lakini hupewi hata ujumbe wa nyumba kumi? Kweli kupanga ni kuchagua aisee!
😆😆😆😆😆 Hadi Muliro kamgwaya!Huyo ni mtekaji
Asalam aleykum