Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hichi kitendo cha kuwa anaya ponda baadhi ya makanisa wazi wazi akiwa kwenye hayo matamasha yake ina maana gani wakuu!? Kwamba yeye ndio anajua kanisa lipi la kweli na lipi la uongo mpaka...
2 Reactions
46 Replies
2K Views
Nianze kwa kukemea watu mnaorushia hotuba sijui za Rungwe, Zitto, Madeleka n.k tusipotezeane muda. Tunajua CCM hawana ustahimilivu wa kuwavumilia wapinzani wakijinadi. Hii ni game, watachezewa...
2 Reactions
2 Replies
262 Views
Mdau wa siasa na mkazi wa Dar es Salaam, Ramadhan Mashauri, amesema idadi kubwa ya watu wanaojitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi za uongozi, ikiwemo ubunge, inatokana na viongozi wengi...
0 Reactions
1 Replies
327 Views
1. Humuwezi kuzuia uchaguzi ulio kinyume na katiba huko ni kutaka kuonyesha uasi, kitendo ambacho kitahatarisha na kukiingiza kwenye matatizo yasio ya lazima, Na pengine wapinzani wenu wanaweza...
6 Reactions
167 Replies
6K Views
TRANSFORMATIONAL LEADERSHIP SUMMIT 2025 Province of the Eastern Cape - Social Development PANEL: OPPORTUNITIES IN TOURISM AND HOSPITALITY INDUSTRY CONFIRMED SPEAKER 📅 SAVE THE DATE 7ᵀᴴ AUGUST...
0 Reactions
1 Replies
348 Views
Mo wakati anaingia Simba alitoka kustaafu kuwa Mbunge wa CCM uko Singida Akaja Simba akatudanganya Simba itaichukua champions ligi Akajaza wahuni wa CCM kwenye timu Kama Mangungo na Try Again...
5 Reactions
11 Replies
568 Views
Ukimsikiliza Kagame anavyozungumza hivi sasa, unaelewa kabisa huyu mtu anawajua majirani zake inside out kiasi ambacho hawawezi kumwambia chochote au kufanikiwa kumfanya chochote. Ukimsikiliza...
55 Reactions
229 Replies
12K Views
Kumekuwa na kasumba ya baadhi wa viongozi wa Africa kuabudu na kusujudu viongozi wa mataifa beberu Kiasi kwamba imekuwa ni aibu. Raisi wa Burkina Faso Traole alipoonana na Putin Kwa mara ya kwanza...
0 Reactions
7 Replies
511 Views
Hivi vyeo vya kuteuliwa ni vya kupita tu, iko siku vinaondoka
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Nani anamkumbuka Stopa? Stopa The ryme maker, katika track moja alikuwa na uwezo wa kuchana style tatu peke yake. Usipokuwa makini utadhani ni watu watatu tofauti. Sasa huyo ndio Zitto Kabwe...
6 Reactions
15 Replies
865 Views
Kesi ya Habeaus Corpus iliyofunguliwa na Sije Emmanuel Mbugi, mke wa kada wa Chadema, Mpaluka Mdude Nyagali ilishikilizwa Juni 30 katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ya Mbeya. Mdude alitekwa...
1 Reactions
10 Replies
817 Views
Kitu kilichofanya CCM leo iitwe chama tawala na CDM iitwe chama kikuu cha upinzani ni uchaguzi uliopita. Ikitokea chama chochote kati ya hivyo viwili hakitashiriki uchaguzi ujao basi ni wazi kuna...
2 Reactions
15 Replies
759 Views
Nikiwa na pitapita zangu jijini jana nikakutana na mama mmoja mwandamizi wa chama mjini Nikamuuliza kwahiyo mama ndo tunaenda kumpa Arusha mtu ambae hata haijui Arusha, hata miaka mitatu hana...
17 Reactions
72 Replies
4K Views
Hakuna Volume ya magari ya mizigo kwenye Barabara ya Geita Mwanza, na nature ya uchumi wa Tanzania Volume zinatoka Bandarini Dar kuelekea Mikoani na kutoka Mikoani kuelelekea Dar, Sasa mkoa wa...
24 Reactions
207 Replies
9K Views
Mimi kwangu hayo ni maajabu katika kutafsiri madaraka.ya uongozi wa chama Na hii inatafsiri kuwa kwa Tanzania bara Zito ndiye defacto Kiongozi wa Chama
4 Reactions
23 Replies
907 Views
Mtangazaji na mtia nia ya ubunge Mwemba Burton (Mwijaku) amefunguka kuwa kwa elimu yake aliyonayo na endapo akapata bahati ya kuingia bungeni basi hawezi kukosa unaibu Wazari hususani Naibu wa...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
KIBATALA NDIE WAKILI WA ASKOFU GWAJIMA KWENYE HILI LINALOENDELEA. PPeter Kibatala: Nimepewa rasmi maagizo na KANISA LA UTUKUFU WA KRISTO TANZANIA, linalojulikana kikanisa kama KANISA LA UFUFUO NA...
19 Reactions
40 Replies
3K Views
Askofu Gwajima ambaye ni mbunge wa Kawe amesema mafanikio hayaoti tu kama uyoga bali yanaletwa na jitihada, ubunifu na uthubutu Amesema yeye alianza maisha kwa kazi ya kukata kuni na kuuza mkaa...
30 Reactions
82 Replies
4K Views
Mzee Wasira alibainisha hivi karibuni, kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinao wanachama hai wasiopungua milioni kumi na tatu. Sote tunajuwa hakuna nchi yoyote duniani inayoruhusu chaguzi zake...
13 Reactions
22 Replies
1K Views
Tembelea, Kijiji Cha Itumbi, kilichopo kata ya Matundasi, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya. Kuna wachina ambao ni wa Tanganyika na wanajiandaa kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…