Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,340
- 283,369
Hivi vyeo vya kuteuliwa ni vya kupita tu, iko siku vinaondoka
Huyu ni miongoni mwa walamba miguu ya mama Samia.
Huyo kichwa chake hakiko sawa mkuu
Kuna picha ali-post mwashambwa siku Samia anaagwa kuelekea Comoro, huyu ndiye alikuwa mbele miongoni mwa viongozi kwenye Ile picha.
Yuko sahihi kabisa
Anamjua father alikua Mwalimu wake pale SAUTHivi vyeo vya kuteuliwa ni vya kupita tu, iko siku vinaondoka
Kenge weweKwani uongo, hasa hasa hao wa katoliki
Father has victimized a lot of people aliwa mwanza na hqdi leoAnamjua father alikua Mwalimu wake pale SAUT
Andika tena kidogoFather has victimized a lot of people aliwa mwanza na hqdi leo
Hana utakatifu wowote na Mengine Acha ruyaweke kando
KUWA SHEHE MKUU AU ASKOFU MAANA YAKE WEWE NI KIONGOZI WA KIDINI AU ELIMU AHERA!
Hata mimi nasubiri asee 😊😊😊Kuna picha ali-post mwashambwa siku Samia anaagwa kuelekea Comoro, huyu ndiye alikuwa mbele miongoni mwa viongozi kwenye Ile picha.
Labda kishajiona ndiye namba mbili.
Btw, kesha pokelewa toka Comoro?
Anatafuta kutiwa mimba
Nani ambaye hakulijua hilo hadi lisemwe na Chalamila?Yuko sahihi kabisa
Ulitaka asemeje?
Maana sasa hata askofu kibaibo mwamakula atadai ni mkuu anchi
Tulishafundishwa kutenga ya Kaizari
Msilazimishe mambo
Nikushauri kitu ingawa hujaomba ushauri!
Pesa ya ukuu wa mkoa ni tamu kuliko dini yake