Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Kwahiyo huduma ya maji tunapewa kama hisani, yaani tunabembeleza kupatiwa huduma bora na stahiki! Kwamba kupata maji siku za sikukuu na weekend ni mpaka maelekezo yatoke kwa...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Rais Samia akizindua Sera ya Taifa ya Maji ya Mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025 Mlimani City, Dar es Salaam https://www.youtube.com/live/7kRHbQNjPp4?si=klF3x6WIcU8awoZZ Viongozi mbalimbali wa chama...
1 Reactions
3 Replies
587 Views
Rais wetu Dokta Samia Suluhu Hassan, inadaiwa anataka kuchanganya damu changa sababu kazungukwa na wazee wakina Wasira na Mizrengo Pinda. Jumaa Aweso ameonekana ni Mchapakazi, sio mla Rushwa...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Ni vyema kuzingatia kuwa hoja kama hizi zinahitaji kuwasilishwa kwa heshima na staha ili kuonyesha nia njema na kuzingatia utu. Huu hapa ni mfano wa u Kulingana na hesabu za numerology pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
327 Views
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamisi Mwinjuma maarufu MwanaFA amezindua mradi wa maji katika Kijiji cha Kwatango wenye thamani ya shilingi milioni 679. Akizindua mradi huo...
1 Reactions
4 Replies
515 Views
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema licha ya kutokuwa sehemu ya uamuzi wa kugawa jimbo hilo, lakini ni miongoni mwa wanaosubiri mchakato huo kukamilika, huku akikanusha...
4 Reactions
48 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Wa Balaza la Wanawake Chadema Mbeya, ambaye pia niMakamu Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa, Elizabeth Mwakimomo amewataka wanachama na wasio wanachama kufika katika mkutano wa hadhara...
1 Reactions
6 Replies
711 Views
Wananchi wa Kata ya Funta Halmashauri wilaya ya Bumbuli wamemshukuru Mbunge wa Jimbo hilo January Makamba kwa kutatua changamoto kubwa ya maji iliyokuwa ikiwakabili. Kupata matukio na taarifa...
1 Reactions
9 Replies
530 Views
Katika muktadha wa siasa za Tanzania, wananchi wa Moshi wamekuwa na sauti kubwa kuhusu masuala yanayowahusu. Sasa, kupitia bango linaloonekana wazi, wananchi hao wanatoa ujumbe mzito kwa Rais...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Akitoa maoni kuhusu mchakato wa Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Nchini unaoendelea Dar es Salaa, Msanii wa Bongo Fleva, Joh Makini amesema: Ni haki ya Msingi ya Mwananchi...
0 Reactions
14 Replies
918 Views
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Sengerema wameaswa kutojihusisha na wagombea wa "mfukoni" wanaojipitisha majimboni na kata kutafuta nafasi za uongozi kabla ya wakati rasmi...
1 Reactions
1 Replies
276 Views
Maelfu ya vijana kutoka mikoa mbalimbali nchini, 19 Machi 2025 wamekutana mkoani Morogoro kusherehekea miaka minne ya dhahabu ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kupata taarifa na...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Bodi (JUKATA), Dkt Ananilea Nkya anazungumzia mchakato wa zoezi la Uandikishaji na Uboreshaji Wapiga Kura linaloendelea Dar es Salaam. Kuhusu mwitikio sijafanya utafiti lakini...
1 Reactions
1 Replies
381 Views
Wakazi wa Tawi la Mnarani, Jimbo la Pangawe, Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Dimani, Unguja ni kama hawana tawi licha ya kwamba lipo na Wananchi wanalijua. Nina mzee wangu ambaye yupo hapo...
0 Reactions
1 Replies
488 Views
Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman ameshangaa kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephan Wasira na Mwenezi wa CCM Zanzibar Khamis Mbeto kufuatia yeye pamoja na...
4 Reactions
40 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa shilingi milioni 50 kwa ajili ya maendeleo ya Shule ya...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu, Msemaji wa Mbezi Beach nilienda kujiandikisha jana na hizo ndio changamoto na kasoro nilizoziona kwenye zoezi hilo; 1. Hakuna utaratibu maalum wa kuwapokea wananchi na kuwaelekeza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo ambaye ni Mtia nia nafasi ya Urais katika Uchaguzi wa Oktoba mwaka huu Dorothy Semu anasema kuwa wao hawakubaliani na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
“Nape yalimtoka yaliyokuwa moyoni akizungumza kwamba kushinda inategemea nani anayetangaza yule ni kijana wa kwenye chama kile kwa muda mwingi sana kwa hiyo kwa vyovyote ni vyema tukamsikiliza...
0 Reactions
5 Replies
612 Views
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Dar es Salaam utafanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 17 hadi 23 Machi, 2025 ambapo wapiga kura wapya 643,420 wanatarajiwa kuandikishwa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom