Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda katika mitaa yote minne ya Kata ya Osunyai Jr, ambapo matokeo ya mitaa hiyo ni kama ifuatavyo: 1. Osunyai 2. Mtaa wa Jr 3. Kirika B 4. Ngusero
3 Reactions
3 Replies
675 Views
Mkoa wa Singida upo kanda ya kati, ukipakana na mikoa ya Manyara upande wa kaskazini, Dodoma mashariki, Iringa na Mbeya kusini, Tabora upande wa magharibi na Shinyanga. Mkoa wa Singida una ukubwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu Hapa mori ilipanda Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai, alikumbana na hali ngumu jana katika kijiji cha Nasipaoriong, eneo la Endulen, karibu na kituo cha Ormekeke. Wananchi...
1 Reactions
0 Replies
582 Views
Chama cha ACT Wazalendo kimesema Wakala wao katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, TINGA TOGORO KERANGA kutoka Kata ya Hunyari, Kijiji cha Mariwanda, Kituo cha Kilimani alifanyiwa fujo kwa...
0 Reactions
0 Replies
389 Views
Salaam Wakuu, Nimesikitishwa sana na Kitendo kilichofanywa na Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Siasa kinachogombea, kuingilia Mchakato wa Uchaguzi Serikali za Mitaa. Huwa amekuwa...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Taarifa kamili hii hapa Vijana waliovalia Sare zenye nembo ya Chama cha Mapinduzi kama wanavyoonekana kwenye Picha wamevamia Nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Nkasi kaskazini Mkoani Rukwa Mhe...
30 Reactions
252 Replies
11K Views
Wakuu, Ili kuzifikia nyuzi hizi kirahisi, hapa utapata orodha yote ya mikoa inayoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, ambamo ndani yake utapata links za matukio yote yanayojiri katika...
2 Reactions
13 Replies
15K Views
Fadhili Nassoro (CCM) ameibuka kidedea wa nafasi ya uenyekiti wa Mtaa wa Calfonia, Kata ya Nyegezi jijini Mwanza kwa kupata kura 1,649 kati ya kura zilizopigwa 2,198. Akitangaza matokea leo...
3 Reactions
7 Replies
775 Views
Wakuu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda nafasi zote 84 za Uenyekiti wa viijiji katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu uliofanyika jana...
0 Reactions
0 Replies
445 Views
Wakuu, Hii ni Arusha wananchi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waandamana kupinga matokeo wakidai haki yao jana usiku baada ya matokeo kutangazwa. Kupata taarifa na matukio ya...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Moja wapo ya mambo ambayo nilitamani kuyaona katika uchaguzi huu, ni kuona wanawake nao wanashinda katika nafasi walizawania. Hongera sana na kafanye kazi haswa kwenye mtaa wako! ================...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu, Mawakala wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Bukene na Wakala wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Jimbo la Nzega vijijini, wamekimbia na maboksi ya kupigia kura baada...
1 Reactions
3 Replies
799 Views
Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA katika mkutano wake wa hadhara wilayani Tarime mkoani Mara amesema mwanachama atakayempigia simu akilalamika kwamba hawajamtangaza...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Leo majira ya saa 5 asubuhi nimeenda kupiga kura (uchaguzi wa wenyekiti) Mimi sio mwanasiasa na sijui hata majina ya wanao gombea, lakini nilijipanga kuenda kuwachagua wagombea wa upinzani pekee...
29 Reactions
71 Replies
4K Views
Hatimaye Chama cha ACT Wazalendo wamenyakuwa kiti cha uwenyekiti moja wapo wa mtaa ndani ya Jiji la Dar es Salaam. Tuendelea kusubiri wapi tena watachukua nafasi ==================== Chama cha...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
1. Kulikuwa na utulivu mkubwa.... 2. Waliojiandisha na wasiojindikisha ilikuwa RUKSA kupiga kura. Nimeshuhudia mwenyewe ninaowajua hawakujiandikisha wanapiga kura. 3. Mchuano ni mkali CCM na...
4 Reactions
17 Replies
844 Views
Wakuu, Amesema Mchengerwa wakati anahojiwa na mwandishi wa TBC, kuwa kuna baadhi ya maeneo ambayo kumetoa sintofahamu mbalimbali, hasa maeneo ya Morogoro kuwa amewaambia watafanya uchaguzi...
1 Reactions
11 Replies
836 Views
Watu wanne wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa wakidaiwa kufanya vurugu kwenye vituo vya kupigia kura kwenye Wilaya za Pangani na Tanga mjini, wakati upigaji kura ukiendelea. Akizungumza...
1 Reactions
7 Replies
888 Views
Wakuu mambo yameanza kuchangamka sasa. Unaweza kusema walichokuwa wanatarajia wamekikosa kabisa! =============== Baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM tawi la SOKONI katika mtaa wa MGUMIA...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom