Copy and paste
Viongozi wengi wa kisiasa huwa wanajitengenezea taswira fulani ktk uongozi wao.
Kwa mfano aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Sokoine, alijijengea taswira inayofanana kidogo na taswira...
Asalaam alykhum, Tumsifu Yesu Kristo.
Mimi siyo mtabiri.
Nimeona wazi kabisa mchezo wa siasa siyo mzuri na hauna dini, bali dini inachukuliwa na wanasiasa kama kinga kwa wananchi wao.
Kikubwa...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA. Amos Makalla, amesema baadhi ya wanasiasa wanaoikosoa serikali wanapaswa kuwa wa kweli kwa umma, kwani nao wamefaidika na fursa mbalimbali...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanza kwa mchakato wa kuchunguza na kugawa au kubadili majina ya majimbo ya uchaguzi ambapo itapokea mapendekezo kuanzia tarehe 27 Februari, 2025...
==
Bila kujali mfugaji unamifugo mingapi Mama Samia atakupa chanjo na hereni kwa mifugo yako yote bure kabisa.
Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa kati ya mwezi Mei...
Kwa kile kinachoonekana mbunge wa Vunjo Dk Charles Kimei kuchokwa na wapiga kura wake baada ya kujikuta akipata wakati mgumu mbele ya waziri wa Tamisemi Mohamed Mchengerwa pale alipoanza kuzomewa...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema
"Lazima tuambiane ukweli, sisi viongozi huku meza kuu na nyinyi viongozi huko, kwa sababu sote tunakwenda kwenye maamuzi...
Wanabodi,
Kati ya maeneo magumu sana kwenye tasnia ya habari ambayo kwa sisi Tanzania tumelikosa, tunaendelea kulikosa, na kama hawatajitokeza watu wenye uwezo wa kulifanya, tutaendelea kulikosa...
Mbunge wa Jimbo la Manonga Seif Khamis Gulamali Amuomba Waziri Mkuu Shule moja jimbo la Nzega Vijijini ipewe jina la Mbunge wao Dkt. Khamis Kigwangala.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
Angalizo kwa Wanabodi na Mode
Bandiko hili ni C&P kutoka kwa mwana JF fulani.
Kwasababu mwandishi ni member wetu humu na humu hajaileta, naomba ikitokea ameileta humu, then futa hili bandiko...
Nilipopata tetesi hizi za Rais wa Yanga kuwa mwaka 2025 atakwenda kugombea ubunge Jimbo la Kongwa nilibisha na sababu iliyonifanya nibishe ni sijawai kumuona Enjinia Hersi Said akijiusisha na...
Nawakumbusha tuu Samia Suluhu Hassan ni Suluhu ya matatizo ya Watanzania.
1.Azindua mradi wa Maji Butimba 71bln
2.Azindua mradi wa Maji Lamadi.12.8bln
3.Aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji...
Kutoka Huko Youtube leo naona Kuna unabii Mkubwa sana kuelekea uchaguzi mkuu ambao unatarajiwa kufanyika Octoba mwaka Huu.
Nimekuta video ya Mtu wa Mungu Nabii Philbert akitabiri mambo mazito...
Chama cha siasa cha Wakulima (AAFP) leo kimemteua rasmi kada wake, Kunje Ngombale-Mwiru kuwa mgombea wa urais atakayewakilisha chama hicho katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka...
Habari za usiku wakuu!
Licha ya kuwa Mhe. Rais anajitahidi kwa uwezo wake wote kutoa mchango wake katika kuipa nchi maendeleo lakini bado mwitikio kwa wananchi ni mdogo sana. Bado hajapata nguvu...
Serikali na CCM mmepaparuka huko na kusema taarifa ya Gwajima ina walakini, inalenga kuleta chuki kwa serikali, kwamba inabidi serikali iseme upande wake.
Orodha ya Gwajima ndio hiyo orodha ya...
Ukicheki CCM inavyoendesha hii nchi asilimia zaidi ya 90% ni mfumo wa kijamaa hasa ikijiegemeza sana na kukopi CCP ya China.
Mara nyingi CCM imekuwa ikiwapiga change la macho mabepari kwa...
Umewahi kujiuliza au kutafakari ikiwa leo hii Nyerere angukuwa hai kushuhudia kinachoendelea nchini Tanzania au ndani ya CCM angesema au kufanya nini? Okay, najua utasema Nyerere angekuwapo...
Nimeumia sana, imenichukua masaa kadhaa kusema chochote baada ya uamuzi huu mgumu wa waliokuwa viongozi wakuu wa Chama changu Chadema Naibu Katibu Mkuu Bara Mh Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.