Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya ziara katika Makao Makuu ya Kituo cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Africa...
Mbunge wa Jimbo la Gairo Mkoani Morogoro Ahmed Shabiby ambaye anamaliza muda wake amechukua fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Gairo.
Shabiby ambaye ndiye aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo...
Jumatano wiki hii watanzania watakuwa kwenye zoezi la upigaji kura kuwachagua wenyeviti wa serikali za mitaa,wajumbe wa serikali za mitaa na wenyeviti wa vijiji.
Kutokana na jambo hilo serikali...
Wana UBUNGO kwa kauli moja tunaenda na Prof Dr Kitila Alexander Mkumbo (PhD). Barabara za mitaa zimejengwa mfano Manzese, Mabibo, Goba na UBUNGO. Tupewe nini tena?
CCM oyeeee!
Wakuu salama?
Watiania huko matumbo joto, presha inapanda na kushuka, wanaoroga wanachochea kuni na wanaosali wanasugua maguti/paji za uso kwelikweli kuhakikisha wanatoboa kwenye mchujo wa...
Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) taifa, Sigrada Mligo, ametangaza kujiondoa rasmi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akilalamikia kile...
Ni wakati sasa wa kuweka wazi na kwa lugha ya kisheria dhuluma inayofanywa kwa wapagazi (porters) wa Mlima Kilimanjaro. Hili si jambo la hisia tu, ni jambo la haki, ni jambo la sheria. Na ni jambo...
Haya ni maoni yangu:
Kwamba kama katiba inatamka wazi kwamba ikitokea Rais aliyeko madarakani amepumzika kwa amani, makamu wa rais atakikalia kiti ili kumalizia miaka iliyobaki ya aliyekufa...
Katika kila zama za siasa, kuna wanasiasa wachache wenye dira, msimamo, na rekodi safi ambao wanapopata umaarufu na kuwa tishio kwa wapinzani wao, huanza kushambuliwa kwa propaganda chafu, uvumi...
"Kwa mujibu wa utafiti ulioongozwa na Benki ya Dunia ulikadiria kuwa kuwekeza dola 1 katika maji safi hutengeneza faida ya dola 4 ya kiuchumi kutokana na kupunguzwa magonjwa ya matumbo (diarrhea)...
Unaweza kuhisi chuki au upinzani wa fikra ila hapa.
Raila ni mtu mwenye laana katika mikono ya siasa hakuna kiongozi ambaye hajawahi kupitia mateso ya machafuko huko Kenya bila Raila kutokuhusika...
Ni muhimu waTanzania waelewe kinacho elekea kutokea katika kutafuta uongozi wa nchi hii, iwe ni kwa ridhaa yao au kwa kulazimishwa kukubali kuongozwa kwa nguvu.
Endapo kinachoitwa uchaguzi...
Nafikiri shida ndo ipo hapa. Na uhuni huu tukienda nao miaka mitano ijayo. Taifa lote linaenda kuwa la si kuhalali na hakuna haki itatamalaki nchini Kwa sababu tutakuwa na reference ya number 1...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Amos Makalla amesema chama hicho kimesogeza vikao vyavuchujaji wa wagombea wa nafasi za ubunge na wabunge kutoka leo Julai 19, 2025 hadi Julai 26 ambako...
Kikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanyika majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu...
Hali ya demokrasia imekuwa ni mbaya kupitiliza kila kukicha
Viongozi sio chaguo la wananchi na wanafanya kila namna kuhodhi madaraka kwa dola na yeyote anaekuwa tishio kwenye nafasi zao...
Black people have strange behaviors that I’d love to study further.
Their hatred towards their fellow black people is just unbearable.
See what’s happening in SA
See how they hate each other
See...
Ukimya watawala masikio Dodoma
Chama Cha Mapinduzi CCM kilisogeza mbele muda wa kutoa taarifa ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu mchujo wa wagombea...