Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jimbo la Nachingwea Mkoani LINDI muda mfupi baada ya kutangazwa kwa matokeo ya watia waliorudishwa na Chama cha Mapinduzi Taifa kuja kupigiwa kura na...
Nadhani wote tunawakumbuka wale wabunge 19 walioingizwa bungeni kinyemela kwa tiketi ya CHADEMA huku chama kikiwa hakitambui uwakili wao.
Yaliongelewa mengi sana, kesi ikaenda mahakamani...
Msikilize Nape alivyokuwa anapinga wa Tanzania wasipate umeme walale gizani.
Sababu wamiliki wa gesi wapige hela za Tanesco kuwauzia gesi izalishe umeme. Maana umeme wa maji hauna faida kwa wapigaji
Msoga kuweni na aibu kidogo, mnajenga chuki dhidi ya vizazi vyenu!
Angalau weka watu mshindanishwe....mkipita it is OK,.....haya mnayofanya hakuna anayewaunga mkono!
Umuhimu wa No reform no Election sasa naona walikatwa wanaona.
Sasa hamuwezi kwenda kugombea kwa sheria hizi bila reform maana mafisadi na wezi wanaibia chama kimoja tu ni lazima mfumo ubadilike...
Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini ndg Mrisho Gambo yuko katika hatua za mwishomwisho za kuteuliwa, kuapishwa na kupelekwa Havanna Cuba kuiwakilisha nchi katika uga wa kidiplomasia kama balozi...
Ndoshi, alena kishimbhe, alena thuja
Kila kona wamefurahi kuanzia stendi ya zamani mpaka vijijini huko Bukamila Ilemela na kwingine kote.
Alipokuwa katibu wizara ya Fedha alidharau sana watu...
Zimeimarika sana na kua za kistaarabu.
Hakuna tena uropokaji unakiuka sheria, hakuna tena mikutano ya hadhara ya fujo na matusi, hakuna tena mfululizo wa mikutano ya kamati kuu Chadema na press...
Jambo la Kushangaza, Hii familia nao wanafurahia tuu, hivi hata Ridhiwani alishindwa kumshauri Mzee Kikwete, Mzee chomekea majina walau Manne, ila tumalizane na Wajumbe ?.
Kwamba ukiwa...
Pamoja na hali mbaya tunayopitia kisiasa, Ntaendelea kusema kwamba heri nusu shari kuliko shari kamili.
Imagine Remote ingeshikwa na Msukuma, Mnyakyusa, Mchaga au Mhaya, Pangetosha ?
Imagine...
Walidhani kwa kumfungia Tundu Lissu ndani mambo ndio yatakuwa mepesi, kumbe sasa ukuta mzima umepasuka ni afadhali yangekuwa ya mlango tu.
Jinsi siku zinavyokwenda ndio CCM inavyozidi kupoteza...
Wananchi wa Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga wamemtaka Mbunge wao, January Makamba kujiuzulu nafasi hiyo kwani ameshindwa kutekeleza aliyowaahidi wakati wa kampeni.
Wamesema, Uchaguzi Mkuu wa mwaka...
Kama ulipata kazi na hukufanya kazi uliyotakiwa kufanya waliokuajiri wanakuja na msimamo wao.
Mungu Ibariki Tanzania
----
Bumbuli Wamtaka January Makamba Ajiuzulu Ubunge, Wadai Hana Tija kwa...
Yani watoto pendwa wa mama wote wana wapinzani.
Iweje familia ya mzee Kikwete isiwe na upinzani.
Kwamba huko Mchinga na Chalinze hakuna wana CCM waliotia nia kabisa kuyahitaji hayo majimbo?
Huenda mmeshajua kuwa sehemu kubwa ya Wananchi wana upeo mdogo wa ufahamu kuweza kufikiri na kutambua kuwa mnawapotosha kwa manufaa yenu kulingana na ukosefu wa elimu au kuw na elimu duni...
1.Wafuasi na wanachama wa CHADEMA hatusambazi kazi za chama mitandaoni kwa kiwango cha kutosha. Tumejazana Facebook, Twitter, Instagram, TikTok na kwingine huko, lakini hatubebi kazi za chama...
MAMBO 20 USIYOYAJUA JUU YA MAGUFULI
1. Magufuli ameandikwa kwa lugha 134 kwa mwaka jana katika nchi mbali mbali dunian
2. Magufuli Ana uwezo wa kukariri namba 22, kwa wakati mmoja, craming...