Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Ndugu Nuru John Ngereja ameanza majukumu yake rasmi baada ya kukabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Katibu CCM Mkoa wa Morogoro, Ndugu Solomon Kasaba...
0 Reactions
3 Replies
798 Views
Kesho tarehe 26/3/2025 Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Mh. Tundu Lissu atafanya mkutano mkubwa wa hadhara mjini Sumbawanga kuendeleza kampeni ya No Reforms No Election. Kitu cha kushangaza ni kuwa...
9 Reactions
103 Replies
6K Views
KIKAO cha Kamisheni ya Ushauri ya Mkoa (RCC) wa Geita kimeridhia majimbo mawili ya uchaguzi ya Chato na Busanda yagawanywe kupata majimbo manne ili kuchagiza maendeleo. Kupata matukio na taarifa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Chama cha ACT Wazalendo kimesema hakiwezi kunyamaza kimya endapo CHADEMA itakandamizwa, kikisisitiza mshikamano wake na chama hicho kikuu cha upinzani nchini. Akizungumza katika kikao cha ndani...
10 Reactions
34 Replies
2K Views
Baada ya Jana John Heche kionekana akiwa na Baraza Dogo la Viongozi wa dini walioalikwa kuaddress na kueleweshwa kuhus No Reform No Election leo huko Makambako ni Gumzo. Watu ni wengi sana...
15 Reactions
44 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekanusha madai kuwa gari lake lilitumika kubeba wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mnamo Machi 22, 2025, kama ilivyosambaa kwenye mitandao ya kijamii. Kwa...
12 Reactions
40 Replies
4K Views
Wakuu Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa kwenye mkutano mkuu wa 39 wa jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania ameeleza kuwa watashughulikiwa suala la mishahara ya wakurugenzi wa halmashauri na posho...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu, Sasa mnaanza kumtumia tapeli Mwamposa kutafuta namna ya kufungia mitandao ya kijamii! Eti watanzania waanze kutumia mitandao ILIYOPIMWA! Mnataka kupitisha agenda ya kuanza kuchunguza watu...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kilimanjaro, kimemwandikia barua Mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, Lembruce Mchome kikimtaka ajieleze ndani ya siku 14 kwa nini...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu, Naamini wengi kama mimi hatujaelewa kabisa jinsi suala hili linalotishia usalama wa taifa lilivyopita kimya kimya. Ugonjwa kama Ebola ni muda mchache tu kufuta generation ya watu...
2 Reactions
2 Replies
293 Views
Wanajukwaa bila shaka ni wa zima wa afya njema. Wahenga walisema "kuuliza si ujinga" Hivi msimamo wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wa No Reform No Election ni kitu gani kinawapa...
5 Reactions
101 Replies
4K Views
Hii ni aibu sana kwa kiongozi, yaani kwa vile yeye hana pesa kwaajili ya kampeni, lakini pia baada ya kujipima na kujitathimini kwamba haupo uwezekano wa yeye kushinda uchaguzi mkuu wa Oct, kwa...
3 Reactions
110 Replies
3K Views
Akiwa Rukwa, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu baada ya kuulizwa Miaka 4 ya Rais Samia ya uongozi wake amesema "tunataka atueleze Dioniz Kipanya...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM, Ally Hapi, amesema Rais wa Tanzani Dkt. Samia Suluhu Hassan anastahili pongezi kwa juhudi zake katika kuboresha sekta ya afya nchini ndani ya miaka minne...
0 Reactions
3 Replies
438 Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewasili mkoani Shinyanga kuanza ya kikazi ya siku tatu. Wasira amepokelewa mkoani humo leo Machi 26, 2025 akiwa...
2 Reactions
2 Replies
501 Views
Habarini wadau! Hii agenda imekuwa mwiba mkali sana Kwa CCM na machawa wake, wameingiwa mhaho, hawaoni pa kutokea. Kwa kweli wananchi tukiiunga mkono na ikafanikiwa ndio itakuwa mwisho wa hiki...
5 Reactions
5 Replies
510 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefanya ziara ya kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Kitunda, Kivule Msongola na Majohe njia 4 ambayo toka makataba wa ujenzi...
1 Reactions
8 Replies
945 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu amesema kuwa katika kutimiza ajenda ya "No Reform No Election' chama hicho kimelenga kuwajumuisha viongozi wa dini ili...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Ally Hapi, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa katika kupambana na adui wa maradhi, moja ya maadui watatu wakuu waliotajwa na Baba wa...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
Wanachadema katika eneo langu hawajajiandikisha katika daftari la kupiga kura baada ya kiongozi wetu Lissu kutuelekeza tususie uchaguzi. Wagombea wenzangu walikuwa wamerltunza hela wafanyie...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Back
Top Bottom