Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Aliyemuelewa Kamanda Muliro hapa atufafanulie na sisi wengine wenye vichwa vigumu tuelewe Hebu soma alichouliza hapa. Halafu Toa maoni yako.
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Hii ndio Taarifa mpya ya sasa iliyotufikia mezani, Nyingine zilizo kwenye mpango wa kudukuliwa na wadukuzi wa kukodiwa ni ile ya Sativa77 na Tito Magoti.
5 Reactions
14 Replies
820 Views
Majaliwa na Mpango ni Bata Vilema kwa sasa. Wapo wapo tu hakuna anaye wasikiliza ingawa ni viongozi. Kitu ambacho wamefanyiwa sio vizuri kwa taifa kuwa na viongozi ambao hawasikilizwi kwasababu...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Jakaya Kazungu Bakari ambae ajiita ni kada wa CCM, bila shaka ni mzaramo wa kutoka Pwani. Mambo anoongea yamekosa hekima na nidhamu na jamaa amekaa kishari mno. Msikilizeni...
2 Reactions
5 Replies
567 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Laban Kihongosi, amewataka wamiliki na wafanyakazi wa saluni jijini Arusha kufanya kazi kwa bidii, kutunza kipato chao, na kuendelea kuishi kwa mshikamano na amani...
0 Reactions
0 Replies
239 Views
Inadaiwa Boni Yai Kwenye Nusu mkate yuko Jimbo la Kawe na Yeriko Nyerere yuko Kigamboni baada ya Makonda kukubalika Arusha Sugu anakwenda Makete na Ntobi anamuondoa Katambi Uchaguzi wa Chadema...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Wilaya Ya Ileje mkoa wa mbeya na wilaya ya CHITIPA nchini Malawi zimeimarisha uhusiano na ushirikiano mzuri ili kudumisha urafiki na ujirani mwema. Pamoja na kwamba Tamzania na Malawi zipo...
0 Reactions
30 Replies
10K Views
Hii ni kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi ,uwe uchaguzi mdogo, uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu. Kila chama ni muhimu kufanya maandalizi ili kuepuka kutupa lawama kusikostahili...
1 Reactions
4 Replies
611 Views
Nakumbuka Mkuu wa mkoa na waziri Mchengerwa alishawahi kulalamika uzembe wa kupangilia abiria sehemu ya kusubiri kuingia kwenye treni ya SGR Inaonekana meneja wa SGR dodoma ana kiburi au uwezo...
5 Reactions
14 Replies
990 Views
Kama siku ya leo ningepata bahati ya kuonana na Mhe. Rais na kupata fursa ya kuzungumza naye, ningemwambia yafuatayo: Kwanza, ningemshukuru kwa kutoa ajira nyingi sana kwenye kada ya Afya na...
1 Reactions
7 Replies
749 Views
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amewaomaba wananchi wa Kahama Mjini kumchagua Sweetbert Nkuba aliyewania kugombea ubunge endapo atapitishwa na chama chake cha...
2 Reactions
2 Replies
533 Views
Ubunifu wa Gen Z yanayoendelea Tanganyika
8 Reactions
16 Replies
1K Views
Siandiki mengi. Ila mtu huyu ni mnafiki mkubwa. Alikuwepo serikalini na Chamani wakati serikali aliyokua akiitumikia iliwatendea baadhi ya Watanzania kama wanavyotendewa Leo hii. Mbona...
4 Reactions
39 Replies
1K Views
Salaam! Sasa tushike katiba ya chama au katiba ya nchi kwenye suala hili? Kwa kuwa mchakato wa kupata mgombea Urais kwenye vyama kulingana na katiba kifungu 38:2A umetaja muda kuanza mambo hayo...
10 Reactions
74 Replies
3K Views
Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia. Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi. Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye...
42 Reactions
111 Replies
6K Views
Kulingana na katiba, kanuni za bunge au tume ya uchaguzi Tanzania kuna muda maalumu wa vyama vya siasa kuteua wagombea wa urais, ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu??
0 Reactions
3 Replies
287 Views
Watanzania mpoo, Leo nakutana na RIDHIWANI, mnataka nimwambie nini? Makavu bila chenga Leteni ujumbe wenu wa wazi, bila kuzunguka
1 Reactions
21 Replies
857 Views
Soma hiki kipande cha hotuba ya J k Nyerere ili twende sambamba kupata jibu sahihi kuhusu watoa rushwa nyakati za uchaguzi hukusudia kumtumikia nani... Tunajua wazi kuwa mgombea urais kwa tiketi...
0 Reactions
0 Replies
172 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…