Inadaiwa Boni Yai Kwenye Nusu mkate yuko Jimbo la Kawe na Yeriko Nyerere yuko Kigamboni baada ya Makonda kukubalika Arusha
Sugu anakwenda Makete na Ntobi anamuondoa Katambi
Uchaguzi wa Chadema...
Wilaya Ya Ileje mkoa wa mbeya na wilaya ya CHITIPA nchini Malawi zimeimarisha uhusiano na ushirikiano mzuri ili kudumisha urafiki na ujirani mwema.
Pamoja na kwamba Tamzania na Malawi zipo...
Hii ni kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi ,uwe uchaguzi mdogo, uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu. Kila chama ni muhimu kufanya maandalizi ili kuepuka kutupa lawama kusikostahili...
Nakumbuka Mkuu wa mkoa na waziri Mchengerwa alishawahi kulalamika uzembe wa kupangilia abiria sehemu ya kusubiri kuingia kwenye treni ya SGR
Inaonekana meneja wa SGR dodoma ana kiburi au uwezo...
Kama siku ya leo ningepata bahati ya kuonana na Mhe. Rais na kupata fursa ya kuzungumza naye, ningemwambia yafuatayo:
Kwanza, ningemshukuru kwa kutoa ajira nyingi sana kwenye kada ya Afya na...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amewaomaba wananchi wa Kahama Mjini kumchagua Sweetbert Nkuba aliyewania kugombea ubunge endapo atapitishwa na chama chake cha...
Siandiki mengi.
Ila mtu huyu ni mnafiki mkubwa.
Alikuwepo serikalini na Chamani wakati serikali aliyokua akiitumikia iliwatendea baadhi ya Watanzania kama wanavyotendewa Leo hii. Mbona...
Salaam!
Sasa tushike katiba ya chama au katiba ya nchi kwenye suala hili?
Kwa kuwa mchakato wa kupata mgombea Urais kwenye vyama kulingana na katiba kifungu 38:2A umetaja muda kuanza mambo hayo...
Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.
Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.
Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye...
Kulingana na katiba, kanuni za bunge au tume ya uchaguzi Tanzania kuna muda maalumu wa vyama vya siasa kuteua wagombea wa urais, ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu??
Soma hiki kipande cha hotuba ya J k Nyerere ili twende sambamba kupata jibu sahihi kuhusu watoa rushwa nyakati za uchaguzi hukusudia kumtumikia nani...
Tunajua wazi kuwa mgombea urais kwa tiketi...
Katika desturi za kimahakama, uamuzi ukisha fikiwa baina ya watu wawili kuhusu shauri fulani, mahakama hiyo hiyo hairuhusiwi tena kurudia kulisikiliza shauri hilo hilo baina ya watu hao hao tena...
Tunaawalika Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa toka popote Duniani waje kushuhudia Chama Chenye Sera ya Kula Misosi (CHAUMMA) wakishindwa kihalali. Karne ya 21 unapiga kampeni ya Kula ubwabwa...
Naomba nikwambie kuwa ukiendelea na hii tabia yako ya kupuuza maoni na matakwa ya wengi, kuna siku utakuja kupingwa kwa kuzomewa hadharani na heshima yako itashuka vibaya sana.
Mwaka 2015...
Hakika kuna jambo Gwajima alikuwa analipanga. Alikuwa anajikosha kujifanya nini sijui, kipindi cha uchaguzi dola inakuwa makini kwa asilimia 1000,000, kama unataka kufadhili magenge ya uhalifu...
My Take
Haters wa SSH wanapata tabu sana yaani wamebakia na fitina,uzushi na majungu Kila Kona mama amewakaba π€£π€£ππ
https://www.instagram.com/p/DMcrO4Mqdsn/?igsh=dW96djZ5anVtOTZn