Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

https://www.facebook.com/share/r/16o6d5w3Gq/ Chadema wangeshinda ingekuwa sawa ila hawashindagi
0 Reactions
2 Replies
321 Views
Asije akajitokeza mtu kufanya uwendawazimu huu. Vyombo vya ulinzi na usalama mkiona viashiria tu mtimueni haraka sana mwenye fikra za KIPUMBAVU kama hizi.
7 Reactions
61 Replies
3K Views
Hakuna mwanasiasa mpya ndani ya CCM Ambaye angeweza kuaminiwa na kukabidhiwa kijiti iwapo hayati Magufuli angekuwa anamalizia muda wake leo hii. Kama yupo basi Magufuli kwa uwazi kabisa angemteua...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
1. Malengo yasiyo na uhalisia Nimemsikiliza Rostam Aziz anasema tume ya kutengeneza dira walikuwa wanalenga Tanzania iwe na ukubwa wa uchumi(GDP) kati ya $bilion 500-700, wao sekta binafsi wakina...
20 Reactions
73 Replies
4K Views
Umefanya vyema umeuzilia ibada na watu wenye msimamo mkali juu ya Mungu wanaomwabudu Wewe kama wakili hujui kuwa ibara ya 19 ya katoba ya JMT imetoa uhuru wa kuabudu bila ya bugudha? Sasa...
0 Reactions
0 Replies
220 Views
Asante kwa 4RS zilizo unganisha taifa na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu. Asante kwa maendeleo ya uhakika ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimataifa kwa muda mfupi tu...
8 Reactions
84 Replies
3K Views
Chanzo:Manara Tv Mfanyabiashara maarufu mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro, Alhaji Ibrahim Shayo, Julai 20, 2025, amechangia Shilingi milioni tano kwa ajili ya ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la...
1 Reactions
6 Replies
648 Views
Kwa heshima na taadhima , Nina ombi la kukutana na katibu Mkuu wa CCM au Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa lengo la kufikisha salamu zangu njema kwa Chama Cha Mapinduzi Natanguliza shukrani za dhati...
0 Reactions
14 Replies
655 Views
GT Kikwete na Samia waliogopa nini? Unampitisha Mgombea uraisi kwa kusema unadhani tumekubaliana unadhani like seriously?
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Polepole ni Mhuni namba moja kwenye CCM - Mafufu
0 Reactions
12 Replies
744 Views
Malengo ya kuanzishwa ofisi ya msajili vyama vya siasa hayajawahi fikiwa na hayatofikiwa . taswira ya sasa ni kwamba msajili wa vyama vya siasa yupo kwa ajili ya kuhujumu chama chenye nguvu ya...
1 Reactions
4 Replies
357 Views
Kwanza kabisa walikiuka katiba maana mgombea wa urais amehudumu vipindi viwili vilivyowekwa kwa mujibu wa katiba. Mbaya zaidi hata kwenye chaguzi za ndani wanaibiana kur Taifa hili linahitaji...
4 Reactions
4 Replies
284 Views
Kwa yanayoendelea Tanzania, ikiwa kwa CCM, Mwenyekiti angekua sio lazima awe yule ambaye ni Rais, Naamini CHAMA KINGEKUA KIMESHAMREJESHA RAIS KWENYE MSTARI. Sasa Rais ambaye ana miliki vyombo vya...
3 Reactions
2 Replies
409 Views
Kuna kitu mnakosea sana kukaa kimya na kuacha vijana wadogo kama akina Hilda Newton kumshambulia Mbowe na kumvunjia heshima kwa kiwango kikubwa, hii siyo sawa na haikubaliki hata kidogo na mbegu...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Huyu Bashe Kwa Lugha nyepesi kabisa unaweza muita ni CHAWA asiyemtanzia ambaye anatumia Janja kujiweka karibu zaidi ya Mamlaka ya Juu, ili aendelee kuchukua Nafasi za Watanzania. Suala lake la...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Wanazi hawana mpango wa kutoa haki kupitia Mahakama , ingekua hivo Kesi ya LISSU ingekua tayari Mahakama Kuu . Ingekua hivo ,huyo Muhuni angekua keshajutoa kwenye Kesi. HECHE HECHE HECHE...
1 Reactions
5 Replies
353 Views
Mheshimiwa Mrisho Mashaka Gambo, Mbunge wa Arusha Mjini, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa heshima na taadhima, ninayo furaha kubwa kukuandikia waraka huu kama kijana na mkazi wa...
0 Reactions
7 Replies
773 Views
Mara kadhaa tumekuwa tukisikia maneno kuwa Rais sio mtu bali ni taasisi ndiomaana wanaomtukana wanashughulikiwa ipasavyo Ukifuatilia yanayojiri mitandaoni ambayo ndio uhalisia kamili wa mtaani...
0 Reactions
0 Replies
202 Views
Haka kajamaa tumegundua sio kanafunzi ka Chuo chochote Tanzania, Sio Kwa Vyuo vya TCU, Wala NACTEVET !. Kwa Mujibu wa Miongozo ,Kanuni, Sheria Katiba zinazoongoza TAHLISO , ni umoja ambao...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Sina lengo la kumjibu Polepole wala sijaona hoja ya kumjibu. Pia siungi mkono kinachoendelea CCM na wakati yeye anakula kodi zetu enzi za Magu alikuwa anatuambia"Unaijua Vieite wewe " He is...
0 Reactions
19 Replies
713 Views
Back
Top Bottom