Sheria zetu za uchaguzi zinatamka wazi kuwa tokea mtu ametangaza nia ya kugombea, akianza kugawa zawadi kwa wapiga kura, hiyo itahesabika ni rushwa.
Sa100 tangu alipojitangaza kuwa yeye ni...
WAZIRI wa Nchi OR Utumishi na Utawala bora, George Boniface Simbachawene na Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima wanatajwa kwenye mbio za Urais mwaka 2025 mara tu baada ya Bunge la Bajeti...
Falsafa ya 4rs ndio iliyowapa fursa na nafasi ya wananchi wote kuungana tena na waTanazania wengine baada ya kujificha kwa mabeberu kwa kipindi kirefu kwa sababu na visingizio mbalimbali vya...
Wakati Mwl. Julius K. Nyerere anaongoza mapambano ya kuwaondoa wakoloni nchini, lengo kuu lilikuwa Tanganyika ijitawale na haswa kutimiza ndoto yake ya kuliunganisha bara la Afrika kuwa kitu...
Wanabodi
Rais Samia alipoingia madarakani, amekuja na falsafa yake mpya ya 4R, kwa jina maarufu 4R za Samia.
Je hizi 4R za Samia, zimesaidia kitu au ni maneno maneno tuu?.
Karibu Tuzijadili...
Watanzania sasa hivi wamechachamaa hawamtaki Samia, kelele kibao mtandaoni
Lakini ukitazama kwa umakini, Watanzania hii imekuwa ndio tabia yao, wanasema hawamtaki kiongozi ila akindoka wanatamani...
Hakuna haja ya kupiga Porojo nyingi, Angalia Mwenyewe
Julai 20, 2025 Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini Mhe. Aida Khenani amefanya kikao cha ndani katika kata ya Kirando Jimbo la Nkasi Kaskazini...
Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) nchini Kenya imeondoa mashitaka ya ugaidi dhidi ya Mwanaharakati Boniface Mwangi, ambaye sasa anakabiliwa na mashitaka ya kumiliki risasi kinyume cha sheria...
Katibu wa CCM Mkoa wa Mara Iddy Mkowa amekanusha uvumi wa kuibiwa kwa sanduku la kura katika uchaguzi wa Madiwani Viti Maluum Wilaya ya Serengeti
Mkowa aneelezea kuwa kulikuwepo na jaribio la...
POLEPOLE ANA MGOMBEA WAKE MFUKONI?
Lilipoulizwa swali la huenda kupitishwa kwa mgombea mmoja kwenye kugombea nafasi ya Urais ikawa ni uoga wa kushindwa kwenye mkutano mkuu, Dkt. Dennis Muchunguzi...
Ni wazi kwamba Chama cha Mapinduzi kina la kujibu kuhusu hoja alizotoa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole na hasa suala la lkumpitisha mgombea urais wa chama hicho, Rais...
Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na...
Nimekaa hapa nafuatilia kwa kina kitakachotokea ndani ya siku 90 endapo serikali itakaidi AMRI HII ya ndugu Rolinga.
Kumbuka ni amri sio ombi. Mkifungua tutajua mmeogopa.
Msipofungua tutaona...
Mbunge mmoja Mkoani Shinyanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amedaiwa kugawa pikipiki kwa baadhi ya viongozi wa kata wa chama hicho ikiwa ni kishawishi cha kumpigia kura kwenye kura za maoni za...
Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu nchini Kenya, Boniface Mwangi ameachiliwa kwa dhamana baada ya kufunguliwa mashtaka ya kumiliki risasi kinyume cha sheria kuhusiana na madai ya kuhusika...
GT
Hatupaswi kuchezea nafasi ya uraisi kwa tamaa binafsi hili ni suala la kitaifa.
Linapokuja suala la uraisi maslahi ya Taifa lazima yakae mbele kwanza vyama pembeni Samia hana uwezo na udhubutu huo.
Hivi karibuni kuna vijana (kwa akili zao timamu) wameaumua kuunga mkono Chama cha Mapinduzi. Wakiwa wanaonyesha support kwa Serikali na chama kwenye mitandao ya kijamii, wamepokea kejeri, matusi...
Itakuwa ni akili Matope kama CCM itakubali Rais wao awe hajawahi kupimishwa ubavu na Makada wengine.
Umakamu alipata kwa Jinsia, Urais alipata kwa Ajali na sasa Apate kwa kupewa tena, No hii...