Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Othman Chande
Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, (Maarufu tume ya Jaji Chande) inatarajiwa kuwasilisha...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume hiyo imepokea ushahidi...
25 April 2026
CHAMA cha WANASHERIA wa AFRIKA (PALU) WAFUNGUA KESI MAHAKAMA ya AFRIKA -WATAKA WAUAJI WAKAMATWE NCHI YOYOTE
https://m.youtube.com/watch?v=FUh-ut4VDyQ
Chama cha Wanasheria wa...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema kamati kuu ya chama hicho imeazimia kuwa iundwe Tume Huru, itakayojumuisha watu wa ndani na nje ya nchi, ili kuchunguza matukio ya Oktoba 29, 2025.
Akiongea kwenye Mkutano wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Kabla na baada ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29, Jaji Juma amesema kuwa kuna watu hawataki maoni ya watu wengine yasikike, baada ya kutoa...
Siku ya Jumanne, tarehe 28 Aprili 2026, Kamati ya Seneti ya Marekani inayoshughulikia Mahusiano ya Nje (Senate Foreign Relations Committee) ilimhoji Bw. William Trachman. Huyu mwamba ameteuliwa na...
Viongozi wa vyama 13 vya upinzani nchini wamesisitiza msimamo wao wa kutokukubaliana na baadhi ya wananchi, wanasiasa, wadau wa masuala ya haki na wanaharakati nchini kutaka iundwe tume huru...
Kuna jirani yangu ameniletea habari kutoka mitandaoni bahati mbaya au nzuri huwa sina muda wa mambo haya ya mitandao, akanambia naomba unieleweshe.
Ripoti ya Chande kuhusu mauaji ya 29, Oktoba...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametaka Wakuu wa Vyombo vya Usalama Nchini wawajibishwe kutokana na mauaji ya raia wasiokuwa na hatia katika vuguvugu la...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amesema chama hicho kitaanza rasmi operesheni ya mikutano ya hadhara nchi nzima mwezi huu, ikiwa ni sehemu ya mikakati yake...
Hatimaye Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imetoa ripoti yake baada ya kufanya uchunguzi kwa siku 153.
Tume hiyo iliyoongozwa...
Halima Somda - THRDC
Asasi za kiraia na taasisi za watetezi wa haki za binadamu 14 leo Aprili 27 zimekosoa ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Amani wa Oktoba 29, 2025 wakitaka kuundwa kwa...
Wajinga wakitamalaki ,Dunia inakua sehemu ya kichekesho.
Hata hivo, HATUWEZI KAMWE KUSAMEHEE MAUAJI HAYA.
Yeye amuombe Mungu msamaha, sisi hatusamehe, NA HILI LITAKUA JUU YAO NA VIZAZI VYAO HATA...
Mjumbe wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, Balozi Radhia Msuya, ametoa ufafanuzi kuhusu idadi ya vifo iliyobainishwa katika ripoti ya tume hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo...
Baada ya Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Amani ya Oktoba 29, 2025 kukabidhi ripoti yake kwa Rais Samia Suluhu Hassan anapaswa kuchukua hatua za haraka kurejesha Imani ya wananchi kutokana na...
Hakika ushirika wa Wachawi haudumu, Watu wameuawa Kimara Ibrahim Juma anasema ni Gaza! Hivi huyu mzee alipataje Ujaji?
Aliyemdanganya Othman Chande kuongea na Wahariri kamuuza kwa bei chee mno...
Jaji chande ameyasema hayo leo, Aprili 28, 2025, wakati akizungumza kwenye mkutano wa tume ya uchunguzi na waandishi wa habari kuhusu matukio ya Vurugu za Oktoba 29, 2025 kabla na baada ya...
Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) imetoa tamko zito kuhusu hali ya amani na utulivu nchini kufuatia matukio ya uvunjifu wa amani yaliyojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.