Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa wenzao wa CCM wanaojitokea hadharani kumpinga Rais Samia Hassan Suluhu inawezekana wanachangamoto ya Afya ya Akili...
3 Reactions
52 Replies
2K Views
Hii nimeipenda sana, na itatumika kama reference siku za mbeleni, sijui Msajili wa vyama atachomoka vipi. Jaji Mtungi amekuwa mwiba mkali kwa kukandamiza CHADEMA, amewafanyia ushetani mkubwa eti...
5 Reactions
18 Replies
794 Views
Tunashuhudia Sekretariet ya CCM ikiendelea na uchambuzi wa wagombea Ubunge na Madiwani. Naishauri Sekretariet ifanye kazi hii kwa umaakini mkubwa kwa kuangalia CV ya kila mgombea. Katika Bunge...
0 Reactions
3 Replies
339 Views
Huyu jamaa nadhani ni upepo tu umemtembelea vizuri,lkn kiuhalisia he is not competent kabisa na hivyo vyeo alivyopewa. Nashindwa kuelewa majukumu yake huwa anafanya saa ngapi coz muda mwingi yuko...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Kila mtu analitumia kwa muda wake. Wengine wanaenda katika hilo pagala kujisaidia. Wengine kufanyia matucy na wale maskini humo wanaenda kulala. Wanaishi humo. Wenzao wanaenda kufanyia haja zao...
3 Reactions
20 Replies
696 Views
Gari V8 moja ni kipato cha mtu mmoja kwa miaka 30 kama kilivyowekwa kwenye mpango wa 2050 at a rate of 1.6 milioni Tsh per month HATUTAFIKA POPOTE , NI KUJIDANGANYA
0 Reactions
0 Replies
222 Views
Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyooshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia...
9 Reactions
98 Replies
3K Views
Africa na mashariki ya kati kila Hekalu Lina Big Boys Watoa Order Nini kifanyike na Nini kisifanyike kwenye Hekalu", kwenye Nchi Ya kusadikika Wananchi mtamlaumu Malkia Bure Big Boys ndio Watoa...
2 Reactions
16 Replies
756 Views
Wakati nikifungua akaunti hii nilikuwa na furaha sana tena sana kwani niliona hakika Taifa linaenda kuongozwa na brain. Ukiangalia tarehe ya kuanza kwa akaunti hii na tukio lililokuwepo wakati huo...
16 Reactions
47 Replies
2K Views
Nininini! Hao vinyang'unya! Weeh! Wametepeta tepetepeee! Hahahaa! Walidhani wanagonga mlango wa makuti, kumbe walishindilia chuma kilichojaa ndindindii! Si mchezo bwana! Tumeshasema: Boss ni...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Wakuu ==== kwani nyie mnasemaje? Akizungumza na wanachama wa jukwaa la vijana na wanawake nchini ndg. Naseem Makombe Katibu wa vyuo na vyuo vikuu TK-ΜOWEMENT Naseem Makombe amewataka wana TK...
0 Reactions
2 Replies
250 Views
MBUNGE WANU ASHIRIKI MKUTANO MKUU MAALUM WA UWT - KUSINI UNGUJA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kusini Unguja, Mhe. Wanu Hafidh Ameir ameshiriki katika Mkutano Mkuu Maaalum wa Umoja wa Wanawake...
0 Reactions
0 Replies
363 Views
Kiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais, toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka, kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa...
3 Reactions
60 Replies
3K Views
Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada awasili nchini kwa ziara ya Kikazi Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada Mhe. Randeep Sarai amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku Tatu...
2 Reactions
9 Replies
611 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshindi wa Miss World 2025 Bi. Opal Suchata Chuangsri mara baada ya mazungumzo yaliofanyika...
12 Reactions
131 Replies
9K Views
Mimi ni mmoja wa watu nisioridhika na maelezo yaliyotolewa na serikali kupitia kwa Katibu Mkuu wa wizara ya Nishati ndg Felchesmi Mramba, juu ya sababu za kuagiza umeme toka Ethiopia. Sababu...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
Katika karne hii ya kasi ya teknolojia na ushindani wa kiuchumi, vijana wengi wamebanwa na mfumo wa kusubiri, kuomba, na kulaumu. Hili ni onyo na pia ni mwanga: kama hutajenga uwezo wako binafsi...
0 Reactions
2 Replies
305 Views
Wenye CCM Yao wameanza kuhoji Je huyu aneyejiita mwana CCM aliyesema ameshashika vyeo vikubwa ndani ya CCM. JE ni lini alijiunga na ÇCM? Je ni kweli anataka tumuamini eti anaijua katiba,mienendo...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
MTU Kama Polepole , Mwanadiplomasia na mwenye uthubutu anatoka katika Chuo bora cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy.
5 Reactions
78 Replies
2K Views
Wabaya wako au wabaya chama chenu wapo humohumo chamani.Nadhani ushalijua hilo kitambo.Wakati mnaendelea kugombana,naomba mtoe tu baba wa watu,usijitafutie dhambi za nyongeza tu.
6 Reactions
36 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…