October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Nininini! Hao vinyang'unya!
Weeh! Wametepeta tepetepeee! Hahahaa! Walidhani wanagonga mlango wa makuti, kumbe walishindilia chuma kilichojaa ndindindii! Si mchezo bwana! Tumeshasema: Boss ni mmoja tu, wala si wa kupokezana vijikaratasi! Wale wa ndumilakuwili waache kupuliza baridi na moto! Mkome kabisa!"
Oktoba? Hilo jambo letu ni moja tu! Kuchukua na kuweka. Tena kwa mpigo! Mama yatosha, nyinyi wengine msubiri pembezoni mkiwa mnaoga na sabuni ya magadi. Msilete haraka haraka za kusumbua watu.
Ombi lenu? Ehee... mkae chonjo, litaangaliwa kwa usahihi. Mkija na ngebe au midomo ya kujifanya munajua hamtapata hata hiyo 30! Na watoto wenu watabaki hewani, hawatakuwa hata kwenye ramani ya mtaa wa Mwembe Mchomeke!
Mshaelewa? Eeh! Twambieni kheri. Si kila siku nyinyi ndio mnapiga meza!
Na bado kitawaramba mbona