Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni ukweli na uwazi usiopingika wafuasi wa chadema walijaribu kwa kila hali na mbinu zote kulilia CCM ipate mgombea ambaye ni "weak" ili waweze kuinanga CCM wakati wa kampeni. Samia asingepitishwa...
-1 Reactions
27 Replies
1K Views
Huyu Jasiri Tundu Lisu akikohoa tu hadi CCM kunayumbayumba kidogo Askofu Gwajima na Komredi Polepole hawakuweza kumaliza Press zao bila kutaja Reform Mzee Mwinyi ni baba wa Demokrasia Tundu...
30 Reactions
105 Replies
4K Views
https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/national/experts-back-ppp-model-for-vision-2050-growth-5124098 === Kwa tafsiri isiyo sahihi sana, Wataalam wamekubaliana kwamba ikiwa Tanzania inahama...
3 Reactions
19 Replies
849 Views
“Nguvu yetu ndani ya CCM ni umoja, na umoja tunao, CCM iko sawa sawa kabisa, kuna mshikamano wa kutosha, …ndani ya CCM hakuna makundi…”-Makamu Mwenyekiti wa CCM-Stephen Wasira.
0 Reactions
8 Replies
550 Views
Naomba wanasheria na wadau wengine wa mambo ya uchaguzi watusaidie kutupa ufafanuzi juu ya hiili. Pia, nini maana na wajibu wa kisheria wa wanaoitwa wadhamini ili tuone implication yake katika...
4 Reactions
64 Replies
3K Views
kumbe kuchapisha maudhui mtandaoni mpaka uwe na leseni au wachokonozi wanaonewa na mamlaka ya Tanzania? Nimesikia kundi la wachokonozi linadaiwa kuchapisha vitu bila leseni mtandaoni naomba...
0 Reactions
0 Replies
236 Views
"Hisia ni hisia, mimi siwezi kujibu hisia za watu, wala siwezi kuwazuia kuhisi" - Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Stephen Wasira.
1 Reactions
0 Replies
294 Views
"....(No Reforms no election) na yenyewe ni kauli mbiu, nchi lazima iongee...hakuna wakati ambapo kumekuwepo na nchi bila maneno..."-Makamu Mwenyekiti CCM -Stephen Wasira.
1 Reactions
0 Replies
306 Views
Wanu Hafidh Ameir, Mbunge wa Viti Maalum ameshiriki katika Ufunguzi wa Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Pamoja la ACP-EU chini ya Mkataba Mpya wa Samoa uliosainiwa mwezi Novemba 2023. Wanu Hafidh...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Baada ya kuifungia Chadema na kununua Chauma ili mihadae dunia kuwa Tanzania kuna vyama vya upinzani ni mateso makubwa kwa Chauma. Huu ni moja ya mikitano yao ambayo inapokelewa kwa nyomi la kufa...
22 Reactions
34 Replies
2K Views
Naangazia mada yangu kwa muktadha wa kutoa maoni kwa tume maalumu ya mipango ya nchi. Ni wakati muafaka wa kufikiri na kufanyia kazi kwa haraka. Tanzania kupitia JWTZ ifanye uwekezaji huu muhimu...
3 Reactions
67 Replies
2K Views
Vyuo vikuu nchini. Hamuoni jitihada za Alhaji Kimbisa? Aliyeleta hoja Mkutano Mkuu ya kumpitisha Mwenyekiti wetu kama MGOMBEA PEKEE Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 apewe maua yake. #OktobaTUNATIKI#
0 Reactions
3 Replies
390 Views
Kwa Maslahi Mapana ya Taifa kwa sasa hakuna haja ya ku tick 2025 .kiuzalendo zaidi tunahitaji mabadiliko makubwa sana katika mfumo wa uchaguzi na katiba kwa ujumla. Binafsi naamini kama Mama...
4 Reactions
42 Replies
1K Views
Uongozi wa kijeshi nchini Burkina Faso umevunja tume ya uchaguzi, hatua ambayo imeibua mijadala mikali kuhusu mustakabali wa demokrasia nchini humo. Kwa mujibu wa tamko rasmi, serikali ya kijeshi...
1 Reactions
13 Replies
709 Views
Wanaukumbi. Mchakato wa Rais Samia kupitishwa kuwa mgombea pekee wa CCM kwa uchaguzi wa 2025 ni wa kihalali kwa mujibu wa Katiba ya CCM, na umefuata historia na utaratibu wa chama uliodumu kwa...
8 Reactions
115 Replies
4K Views
Wamehongana mchana kweupe kuanzia nje ya ukumbi mpaka ndani ya ukumbi. My take kama wanaCCM wanahonga namna hii kupata udiwani tu. Je kwenye ubunge na urais? Kwa ujumla hawapo kwa ajili ya...
3 Reactions
1 Replies
287 Views
Maafisa na wasimamizi wa uchaguzi katika mikoa ya Mwanza na Mara wametakiwa kuhakikisha wanavishirikisha vyama vya siasa kikamilifu katika mchakato wa uchaguzi, huku wakizingatia sheria na...
0 Reactions
1 Replies
266 Views
Tukichambua hali inayoendelea kwa sasa kwa mtazamo wa kawaida, imeanza kuwa wazi kwamba endapo watapeleka majina matatu kwenye Mkutano Mkuu, kuna uwezekano mkubwa wa mambo kutokwenda vizuri...
16 Reactions
76 Replies
5K Views
Clip hii inajieleza wazi: Uhayawani gani huu? Kwamba ni kwa niaba ya nani hii? Tushirikiane kuwadhibiti wahuni.
2 Reactions
21 Replies
883 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…